Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

Riz1 Mtoto wa Kiongozi - Mimi si Fisadi Naishi Kimjini mjini Nina kipande kidoogo cha Uwanja wa Urithi na Toyota Collola Hayo ma Vogue mnayoniona nayo si yangu Bongo tunaishi kijini mjini.. Lake Oil sio Yetu.

Shimbo!
 
Basil Pesa Mbili Mramba alisema hiviii "Hata kama wananchi watakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe" wakati huo alikuwa waziri wa fedha. Hao ndio viongozi wetu
 
mkapa:waandishi wa tz upeo wao mdogo ndio maana nafanya mahojiano na waandishi wa nje
pinda:vihela vyenyewe vidogo vinaishia kuwapa wapiga kura wetu wanapokuja dodoma
kikwete:foleni dar es salaam ni ishara ya maisha bora
 
Ili ulewe sio lazima utumie pombe! Hata chakula, soda, maji navyo hulewesha. Na mtu akishalewa anapungukiwa umakini na kupoteza kumbukukumbu. Hawa watu wamelewa madaraka, tena madaraka tuliyowapa sisi wenyewe kwa kuwaamini.
 
[1] "Mimi na Kikwete hatukukuta Barabarani" Lowassa

[2] Baada ya Lowasaa kuliingiza taifa kwenye mkataba wa kitapeli uliokomba mabilioni ya fedha za wananchi kikwete akaishia kusema "suala la Lowassa ni ajali ya kisiasa tu"
 
.Mwantumu Mahiza - Waliomaliza vyuo na
kukosa ajira waanzishe
miradi ya kufuga kuku
inalipa sana.

Nape - Tutawashikisha ukuta.

Wassira - Mnaulizia mvua kwani nani
kawaambia mimi ni waziri
wa mvua?

OCD Arusha - Wakazi wa Arusha ni mapanya.
Tunaomba viongozi mchunguze kauli zenu kabla ya kusema.
 
Watu wameambia waeleze kauli tata za mawaziri lakini wanaleta hadi za JK, Lowassa, OCD....... Hao nao wamekuwa mawaziri?
 
Back
Top Bottom