Hiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena?Katumia busara tumuache apumzike asije kuwa kama yule bata
Mtu mwenye busara hushaurika sio sawa na yule bata alishauriwa hadi na press conference lakini akang'ang'ania kugombea mwisho wa siku chaliiHiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena?
Mwite tu Jina la staha ingawa alizingua sana.Machawa walimfanya ashipaze shingo akavunjikaHiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena?