kauli tata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Naandaa Video Inayoonyesha Mkusanyiko Wa Kauli Tata Za Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati Zilivyochochea Vurugu wakati na baada ya Uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika. Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kauli tata za Emmanuel Nchimbi vs Samia na kauli tata za Jakaya Kikwete vs Magufuli wakimnukuu baba wa taifa

    Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
  3. Tonny Kapola Gas Station

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

    1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje" 2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe" 3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Kauli tata ya Rais Kikwete

    Miongoni mwa kauli tata za aliyekuwa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ni pamoja na hii ''Uliwe kwanza ndipo ule, usipokubali kuliwa hautakula. Akimalizia kwa kusema sina maana hiyo. Soma pia: Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata kwa Mfariji Mkuu wa Taifa

    by Pdizaina from X Nikikumbuka aliwahi kusema 1. Kwenye mbuga za wanyama kuna madini ya thamani Sana,na Simba wala hali madini. Tukachimbe " 2. Katiba ni kijitabu Tu 3. Hata mkipiga Kura kule kwingine lakini Sisi ndiyo tutakaounda serikali 4. Utekaji ni vijidrama Tu 5. Kifo ni Jambo la kawaida
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Uchaguzi Mkuu 2020 kuna waliotaka fomu moja majimboni, tuliwakatalia

    Akiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amesema "Hata wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi wa 2020 kuna watu huko kwenye majimbo yao walianza kutaka baadhi ya majimbo fomu iwe moja lakini tulikataa kwasababu ni utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi hauruhusu fomu moja"
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kiislamu tokeni hadharani mkemee kauli tata za mashehe

    Hapa naziita taasisi zote za kiislamu kuanzia Bakwata, Sunni jamaat,shia n.k Uislamu ni dini iliyojipambanua kama dininya haki na misimamo ya haki, kujali utu na heshima Kwa watu wote Kumekuwepo mashehe wanaotoa matamko tata kuhusu masuala ya utawala Bora hapa nchi Mfano Leo shehe Mawinda...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia

    Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata za Samia Zilizowaacha watu MIdomo wazi huku hawaamini kama Mkuu wa Nchi anaweza kutamka Maneno haya.

    GT Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kauli tata kutoka kwa "Mwananzengo"

    Anamaanisha anachosema? Amevunja sheria? Kauli yake inaashiria nini? Kama nimemwelewa, anasema waliomwua Magufuli ni Samia na Kikwete! Amemaanisha nini hasa?
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  13. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Ukoo aleta mtafaruku msibani baada ya kutoa kauli tata

    Nipo Marangu msibani nimemsindikiza best wangu aliyefiwa na shangazi yake na mazishi ni kesho. Sasa basi asubuhi ya leo tukiwa hapa msibani kuna mtafaruku mkubwa umetokea baada ya mzee mmoja anayetambuliwa kiukoo kama Mzee wa Ukoo kusema kwamba baada ya huo msiba atakayefuata kufa ni kaka wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka...
  16. J C

    JamiiForums Tanzania Hii kauli inamaanisha nini wadau?

    Mwanandani wangu wa kike amekuwa na tabia kuvutia mambo kwao mathalani kuwafundisha watoto tamaduni za kwao ikiwemo lugha na kusifia mambo mengi ya kwao. (kabila lake). Sasa Jana ghafla akaanza kumuongelea baba yake mzazi kiufupi siye aliyemlea alimzaa tu wakalea wengine hata MAHARI hakupokea...
Back
Top Bottom