FDR.Jr
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 1,359
- 353
Hii ya Cigweiyimis sina hakika nayo maana nilikuwa std iii na niko kijijini radio mpaka dingi arudi toka kwenye palizi za pamba!!! Hahahaaaaaaaaaaaaa!! Sina coment hapo ila ilitumika ktk kuhalalisha kumnyima urais 1995 na kum descredit alipoteuliwa kuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu. Tanzania na vimbwaanga vyake, kazi kweririikweriKama kumbukumbu zangu ziko sahihi.....nafikiri hiyo statement inafanana na ile iliyotolewa na Mh Pius Msekwa..........uko sahihi ilitamkwa na Pius Msekwa alipoteuliwa kuwa m/kiti wa Bodi Vodacom na siye Ben William Mkapa
7. "You can Go to Hell"........JS Malecela alipokuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi.........