Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 113
FMEs I like the way unavyoapproach mjadala na unavyojua kusimamia ishu. Binafsi huwa naepuka kujadili mambo ya miongo mingi iliyopita kama hayawezi kuwa intergrated kwa hali ya sasa. Sina sababu ya kuanza kumchimba Mzee Malecela.- Mkuu Aanfal, heshima yako sana Malecela sio malaika isipokuwa haters wake hawana facts za kutosha kuthibitisha mapungufu yake kiuongozi, sasa unashauri nini mkuu kwamba kwa vile hakuna facts na anaonekana kama Malaika, basi ahukumiwe tu kusulubiwa maana bila hivyo itaonekana kama yeye ni malaika, is that why we here at JF?
- Kwanini mkuu na wewe usijitume ukaleta facts za mapungufu yake, kwani ni wapi nimemlazimisha mtu hapa kuamini uongo wangu mimi ninaweka facts tu, Malecela aliposema kwamba ufisadi ni hoja ya CCM sio ya Dr. Slaa, nilisema wazi kwamba he is wrong yeye na Mama kilango wamekosea kwa sababu facts zilikuwa wazi, otherwise sikulazimishi wewe wala member yoyote hapa kuamini uongo wangu wa kumtetea anybody licha ya Malecela tu kama ninavyofanya siku zote.
- Ni vizuri sana tukawa wakweli maana hii forums inasomwa na wananchi wengi sana, sasa tukiwapotosha itakuwa sio vyema kuweka historia iliyopinda, otherwise heshima zangu kwako kwa kuwa very fair!
Respect.
FMEs!
Ukizipia hoja za watu wengi woote inaonekana wamesikia kupitia vyombo vya habari au hata simulizi ambavyo vyombo hivyo vimekuwa vikitumika kama source zetu mbalimbali ingawa wakati fulani NAVYO HUTELEZA.
Hoja yangu sasa; wewe mwenyewe umetoa ushahidi kupita kwa jamaa wa karibu wa Melecela na wale waliokuwa wanafanyakazi chini ya shirika ambalo Malecela alikuwa akilisimamia (Tafsiri nzuri mgongano wa maslahi). Unadhani ushahidi wa maneno yako kutoka kwa kundi la watu unajitosheleza kukuamini? Nadhani hukuwa na haja ya kutoa list ndefu ya watu walikuwa chini ya Malecela. Kimsingi hoja yako ya kudai ushahidi kwa waliomtuhum ndiyo ilikuwa imara otherwise objectivity inakuwa impaired.