Before ilikuwa marufuku kusema Tz pana corona. ( tuliamini lakini wamekubali corona ipo,, pengine wametugeuka)Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo .
Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ni serikali yenyewe , leo Waziri Mkuu anapoanza kutilia shaka bidhaa ambazo zinapitishwa na mamlaka anazozisimamia na kulipiwa kodi , tena zilizotengenezwa kwa viwango vya WHO na wakati huo huo akaanza ku promote barakoa za "Dengrizi" zisizo na viwango vyovyote , zilizoshonwa na fundi cherehani wa Buza kwa Mpalange ambaye hata VETA hakupita , inahitajika Maombi mazito sana kwa ajili ya nchi hii .
Nawaomba wasomi na wataalam ( hasa wa afya ) mtuthibitishie bila uoga kama kweli barakoa za " Climplin au chilimeni ama dengrizi " zinaweza kuwa na ubora kuliko barakoa zinazotengenezwa kwa viwango vinavyoelekezwa na WHO .
Naomba kuwasilisha .
Huyu nae anajulikana na watz wote ni kibaraka wa beberus,wakumpuuza Kama hujamskia vile.yy asubili ajira wnayotaka kumnunulia na beberus, UN,Ila ole wake ashindwe fitina kutekeleza fitina wanazotaka azitekeleze!!! Ajiandae kisaikolojia.
Wanataka kupotosha kuwa barakoa toka nje ndio zimeleta corona hii second wave. Nadhani hawakukumbuka kuwa kwenye huo upotoshaji wao wanaotaka kuufanya, TBS wana wajibu huo. Haya ndio mambo yanayozidi kuchochea upatikanaji wa katiba mpya, kwani inaonekana kabisa mtu mmoja anapokuwa na maamuzi yote ya nchi nini kinaweza kutokea.
Nadhani Barakoa ni ''medical device'' kwahiyo wanaohusika nayo ni TMDA.Kuna utata kidogo kwenye maneno yanayi semwa na baadhi ya viongozi, eti wananchi vaeni barakoa lakini lazima mjiridhishe zimetoka wapi na usalama wake..
Na haya maneno ya wasiwasi wa viwango vya barakoa yametolewa na kiongozi senior kabisa (top 3 ).
Najiuliza , ina maana huyu kiongozi
1. Hajui kazi za TBS.. kwanini badala ya kuwaambia wananchi akaagiza TBS wafanye kazi yao.
2. Je hawajui kwamba wananchi tunajua kwamba bidhaa zote zinalindwa na sheria inayo simamia TBS?
Hakuna sababu ya viongozi wa siasa kuanza kututisha wananchi kwamba baadhi ya bidhaa hazina ubora wakati tumewaamini kuunda vyombo vya kusimamia ubora..
Tunahitaji kusikia TBS wamechoma makontena mangapi ya barakoa?
Wananchi tunaamini barakoa kama bidhaa nyingine ni salaam kwa sababu wale tulio wapa kazi ya kusimamia ubora wanafanya kazi yao.
View attachment 1707829
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana!!Kuna utata kidogo kwenye maneno yanayi semwa na baadhi ya viongozi, eti wananchi vaeni barakoa lakini lazima mjiridhishe zimetoka wapi na usalama wake..
Na haya maneno ya wasiwasi wa viwango vya barakoa yametolewa na kiongozi senior kabisa (top 3 ).
Najiuliza , ina maana huyu kiongozi
1. Hajui kazi za TBS.. kwanini badala ya kuwaambia wananchi akaagiza TBS wafanye kazi yao.
2. Je hawajui kwamba wananchi tunajua kwamba bidhaa zote zinalindwa na sheria inayo simamia TBS?
Hakuna sababu ya viongozi wa siasa kuanza kututisha wananchi kwamba baadhi ya bidhaa hazina ubora wakati tumewaamini kuunda vyombo vya kusimamia ubora..
Tunahitaji kusikia TBS wamechoma makontena mangapi ya barakoa?
Wananchi tunaamini barakoa kama bidhaa nyingine ni salaam kwa sababu wale tulio wapa kazi ya kusimamia ubora wanafanya kazi yao.
View attachment 1707829
Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo .
Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ni serikali yenyewe , leo Waziri Mkuu anapoanza kutilia shaka bidhaa ambazo zinapitishwa na mamlaka anazozisimamia na kulipiwa kodi , tena zilizotengenezwa kwa viwango vya WHO na wakati huo huo akaanza ku promote barakoa za "Dengrizi" zisizo na viwango vyovyote , zilizoshonwa na fundi cherehani wa Buza kwa Mpalange ambaye hata VETA hakupita , inahitajika Maombi mazito sana kwa ajili ya nchi hii .
Nawaomba wasomi na wataalam ( hasa wa afya ) mtuthibitishie bila uoga kama kweli barakoa za " Climplin au chilimeni ama dengrizi " zinaweza kuwa na ubora kuliko barakoa zinazotengenezwa kwa viwango vinavyoelekezwa na WHO .
Naomba kuwasilisha .
Baada ya kushindwa kwa hoja msala tunahamishia kwenye barakoa. Wanataka kusema tulizovaa mwaka jana ndo zimeibua hili Corona la sasa?Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo .
Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ni serikali yenyewe , leo Waziri Mkuu anapoanza kutilia shaka bidhaa ambazo zinapitishwa na mamlaka anazozisimamia na kulipiwa kodi , tena zilizotengenezwa kwa viwango vya WHO na wakati huo huo akaanza ku promote barakoa za "Dengrizi" zisizo na viwango vyovyote , zilizoshonwa na fundi cherehani wa Buza kwa Mpalange ambaye hata VETA hakupita , inahitajika Maombi mazito sana kwa ajili ya nchi hii .
Nawaomba wasomi na wataalam ( hasa wa afya ) mtuthibitishie bila uoga kama kweli barakoa za " Climplin au chilimeni ama dengrizi " zinaweza kuwa na ubora kuliko barakoa zinazotengenezwa kwa viwango vinavyoelekezwa na WHO .
Naomba kuwasilisha .
labda !Baada ya kushindwa kwa hoja msala tunahamishia kwenye barakoa. Wanataka kusema tulizovaa mwaka jana ndo zimeibua hili Corona la sasa?
waziri Yuko sahihi,kipindi Cha mapambano lazma kujihami katika mazingira yote yenye kutiliwa shaka.lakini pia inshu sio upendeze unapozivaa balakoa,muhimu ni kujikinga.hakuna sababu ya kuongeza pato la taifa kwa nchi za nje kwa kuagiza balakoa,wakati tunauwezo wa kuzitengeneza hapahapa kwa vitenge vyetu,na vitambaa vyetu.tuache ujinga wa kubeza vya kwetu.