Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,496
- 37,789
Hivi Tanzania inapambana na Wazungu au na Corona? Mbona mnatuchanganya?waziri Yuko sahihi,kipindi Cha mapambano lazma kujihami katika mazingira yote yenye kutiliwa shaka.lakini pia inshu sio upendeze unapozivaa balakoa,muhimu ni kujikinga.hakuna sababu ya kuongeza pato la taifa kwa nchi za nje kwa kuagiza balakoa,wakati tunauwezo wa kuzitengeneza hapahapa kwa vitenge vyetu,na vitambaa vyetu.tuache ujinga wa kubeza vya kwetu.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app