Barakoa za matambara ni deadliest .... Unaonekana kama mganga wa kienyeji ....alaf hii nchi mbna ina viongozi wajuaji Sana wazee
Baada ya Agent wa Lucifer Kutwaliwa hauwezi tena kusema huu Uharo wakoKama umegubikwa Na fikra za kizungu karagabao Sisi huku Ni kupiga nyungu Na TibaLishe kwani tumegunduaa ukiwa Na cd4 Kali mdudu huyu anakukamqta alafu anaoondoka mwenyewe bila kukudhuru
HakikaKama ulisema chanjo hazifai, barakoa si muhimu za kutoka nje shona mwenyewe, na kama ulikiwa unasabikia nyungu na juice za tangawizi, leo usije mbele ya umma na kiwaambia watu wachanje! Ni kujiuzulu tu! Wizara ya afya inamfaa Dr. Ndugulile yeye alisimamia anacho kiamini hadi alifukuzwa, tuna tabia ya viongozi kusema uongo wakijuwa ni uwongo na kwakuwa awawajibiki kwa kufanya hivyo wanayumbisha Nchi na kuleta madhara!