Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,648
- 102,678
Kwani uongo?
Kwenye hii nchi, barakoa pekee yake ndio zinaingia toka nje? Je dawa na vifaa tiba vingine mnaviamini vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo?
Kuna utata kidogo kwenye maneno yanayi semwa na baadhi ya viongozi, eti wananchi vaeni barakoa lakini lazima mjiridhishe zimetoka wapi na usalama wake...
Kazi ipo !Hii nchi ina viongozi wajinga tu, Kama hizo barakoa zina shida kazi ya TBS ni nini???
Hata ndege tusiagize nje, tutengeneze za kwetu wenyewe. Magu ana roho ya ajabu sana, kuchota pesa za walipa kodi kununua ndege ili yeye apate sifa za kisiasa ni sawa lakini kutumia pesa za walipa kodi kununua PPE, anaona hasara sababu hazimpi political mileage!Sawa basi tungeanza na
1. Condomu
2. Miswaki...
Asante sanaHata ndege tusiagize nje, tutengeneze za kwetu wenyewe. Magu ana roho ya ajabu sana, kuchota pesa za walipa kodi kununua ndege ili yeye apate sifa za kisiasa ni sawa lakini kutumia pesa za walipa kodi kununua PPE, anaona hasara sababu hazimpi political mileage!
Kinachosikitisha ni kuwa mwezi ujao TBS wataanza kukagua magari yanayoingizwa nchini, sasa kauli kama hizi zinatoa jibu tosha kwa uwezo wa TBS kwenye kazi yao, na kama TBS wako vizuri, basi kauli hizo zinaleta majibu ni kwa nini serikali imeamua kukagua magari hapa nchini, watu watalipishwa sana mara tatu tatu.Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo
Masikini Tanzania !Kinachosikitisha ni kuwa mwezi ujao TBS wataanza kukagua magari yanayoingizwa nchini, sasa kauli kama hizi zinatoa jibu tosha kwa uwezo wa TBS kwenye kazi yao, na kama TBS wako vizuri, basi kauli hizo zinaleta majibu ni kwa nini serikali imeamua kukagua magari hapa nchini, watu watalipishwa sana mara tatu tatu.
Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo
wewe na hao unaowatetea wote WAJINGAAcha ujinga wewe!
Kutumia barakoa kutoka nje ya nchi kuna hasara nyingi. Moja ni kwamba barakoa zaweza kutumika kuleta corona. Pili hasara ya capital flight. Tutengeneze barakoa zetu.
Nchi ni kama inaenda mrama, tuwaachie watalaam wa afya .we pm ni mwalimu ,unachojua ni maandalio, scheme of work, shajala .
Ohooooo !!!Nchi ni kama inaenda mrama, tuwaachie watalaam wa afya .we pm ni mwalimu ,unachojua ni maandalio, scheme of work, shajala .
They are of the same stance as they were both unknown teachers who ran away from classrooms of some unknown schools to try their luck in politics so that they could enter weak Bunge via black bags. They are a failed lot in everything thanks to failed CCM!PM is struggling to keep with his boss's stance.
Eee bhana eeeeThey are of the same stance as they were both unknown teachers who ran away from classrooms of some unknown schools to try their luck in politics so that they could enter weak Bunge via black bags. They are a failed lot in everything thanks to failed CCM!