LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Waislamu Siku hizi wamebanwa duh..
Bakwata ni chombo binafsi cha CCMPonda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Uwiano huko CCM upo sawa? Mbona hata Bakwata yenyewe haikubaliki kwa waislam wote ni chombo binafsi cha CCMSheikh Ponda mbona hajahoji uwiano wa kidini wa viongozi hapo CHADEMA?? Au ndio kusema CHADEMA kuna uwiano Sawa??
Wana njaa mno mwenzao Ponda anahimiza haki wao wanaenda kuchukua pesa toka kwa polepole kisha wanajitoa fahamuMashekhe Ubwabwa hawana mvuto na ni machukizo mbele ya Watanzania
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi ni weupe sanaMajigambo, matusi, mbwembwe zote mwisho tarehe 28
Kuanzia tarehe 29 tukutane hapa kupeana pole na pongezi😁😁😁😁😁
Maendeleo hayana vyama
Njaa zake zimempelekea kununuliwa na polepole kisha kuongea ujingaDah hata huyu Sheikh Kipozeo, sheikh wetu wa mtaa akipita kijiweni kwetu tunamuona ni mtu-huru wa kusema akionacho ni swafi leo hii anaondoa uhuru wake kisa CCM Mpya !
itakuwa ni kwa Hisani ya cyprian Musiba maana mashehe njaa hununuliwa hata na mtunza bustani wa CCMMasheikh njaa wamekusanywa kwa hisani ya Lumumba
Watanzania wameamka wanajua mashehe njaa huipenda CCM kwani shehe njaa ni mtu hupenda uonevu unyanyasaji kuwabambikia kesi unaofanywa na CCM,ukiona shehe anashabikia vitendo haramu vya CCM basi ujue huyo ni shehe njaa shehe majini wale mashehe wachawi wenye roho mbaya lakini wanajificha kwenye misikitiShekh ponda yuko makini, màshekh ubwabwa mnatesekà bure?
Sasa tunafanyajeCCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi ni weupe sana
Jumuia za kimataifa zitawanyoosha kuanzia tarehe 28Sasa tunafanyaje
afadhali mashehe ubwabwa!Afadhali!
Jumuia za kimataifa zitawanyoosha kuanzia tarehe 28
Mbona kila mmoja anazungumza kivyake, wanawakilisha kundi gani? Maana tunajua Ponda ni katibu wa kamati ya kupigania haki za waislam tanzania, pia ni katibu wa shura ya maimamu, pia nakumbuka ni kiongozi wa jumuia na taasisi za kiislam Tanzania.Pembeni pale namuona Sheikh Alhad Mussa Salum Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mwisho namuona pia Sharifu Majini(Mtia Nia Jimbo la Handeni Kwa tiketi ya CCM)