dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,143
- 49,418
... duh; kwamba Rais ni nusu Bunge; na ile nusu nyingine inakamilishwa na Spika na wabunge. Kwamba, ile nusu ya Spika na wenzie inatunga sheria na nusu ya pili ya Rais nayo inatunga sheria kwa matamko! Hatari sana.Ilitokana na dhana ya kwamba Bunge ni Rais na wabunge so wabunge wanatunga sheria kwa vikao vyao na Rais akitamka kwa sababu ni nusu ya pili ya bunge ni kwamba inakuwa katunga sheria! Dhana hii iliundwa zaidi kipindi cha awamu ya kwanza wakati nchi ilikuwa inaendeshwa zaidi kwa decrees, matamko ya mwalimu hadi kukaibuka dhana ingine kwamba fikra za mwalimu ni sahihi muda wote na zidumu! Kwa ujumla ishapitwa na wakati na imekuwa ikitumiwa vibaya muda mwingi sana.
So kwenye katiba utaipata kwenye tafsiri ya Bunge kwamba ni wabunge na Rais.