Kauli ya Mkapa sasa itaeleweka vyema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Mkapa sasa itaeleweka vyema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana Mtoka Pabaya, Oct 19, 2012.

 1. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,309
  Likes Received: 6,158
  Trophy Points: 280
  Akiondoka madarakani, Rais Benjamin Mkapa alisema maneno ambayo pengine tuliyaona ya 'kizaramo' sana na hatukuyatilia maanani, lkn naamini sasa yamepata maana akilini mwetu; MTANIKUMBUKA!

  Naamini kuwa si Ponda wala UAMSHO wangekuwa na jeuri ya kuipa Serikali ULTIMATUM kwa mambo ambayo sheria na taratibu za nchi zinaelekeza vyema yafanyikaje. Hapa pia namkumbuka Mkapa.

  Binafsi naamini Ponda na Uamsho wasingefanya wanavyofanya endapo nchi hii ingekuwa haiongozwi Ki-ubwana Yakhe. Kwa hili nitamkumbuka Mkapa.

  Ni imani yangu yapo mengi tu ambayo kwayo Mkapa atakumbukwa. Mazuri kwa mabaya lkn yeto juu ya yote, TUNAMKUMBUKA.

  Hali ya sintofahamu juu ya amani ya nchi yetu ni sababu nyingine itanifanya nimkumbuke Rais Mkapa. Naamini kama Mkapa angekuwa magogoni, yule mjane wa Malawi asingetutukana tukicheka na kutabasamu.

  Dharau sasa zinatoka nje na ndani ya nchi. Tunadharauliwa hadi na wamama wajane wasio na waume, watu wasioenda shule na magaidi wadogo wadogo wa visiwani.

  Mungu umeibariki Tanzania tangu umbiko lake, lkn mbona sasa umeitupa?
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,150
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kwa kuleta hoja hii, jana nilichangia posti moja, nikasema tatizo letu ni udhaifu wa uongozi. Hao waislamu wasingefikia hatua waliyofikia, hasa ya kuchoma makanisa na kuharibu mali kisa eti mtoto kakojolea kurani. Mod naona kaona feki kafutilia mbali mchango wangu. Lakini hii ndo hali halisi. Tatizo la udhaifu wa uongozi ndo maana askari badala kufanya shughuli nyingine ya maendeleo, kila leo wako barabarani kutuliza vimaandamano visivyoeleweka. What a shame...
   
 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,309
  Likes Received: 6,158
  Trophy Points: 280
  Muda si mrefu utasikia matukio ya kutisha na amani itakuwa historia. Ukiona watu wanapata uthubutu wa kuua namna ya UAMSHO na bado wanaweza kusimama majukwaani kuipa serikali ultimatum basi jua tumefikia pabaya.
   
 4. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo wataka kusema kiongozi shupavu ni yule anaepambana vyema na waislam! kwa taarifa yako hii chembe ndogo ya amani iliyopo sasa hivi ni kwa sababu Rais amekuwa na busara sana katika kuyaendea haya mambo, kama ni wakati wa mkapa nadhani nusu ya watanzania wangeshapoteza maisha kwa vita za kidini, na wala asije akatokea kiongozi yeyote wa nchi hii akasema anapambana na wa waislam atakua ameharibu nchi, atafute jina jengine la maadui zake lakini si uislam na waislam, hapo ndipo kwenye shida. atakae kuwa hai atajionea mwenyewe, mimi naitakia kheri nchi yetu kila siku....
   
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,309
  Likes Received: 6,158
  Trophy Points: 280
  Tell me dear friend, serikali ikipambana na mtu anayehamasisha watu kuvamia viwanja vya watu na kuvunja uzio kisha kusimama majukwaani na kusema this is the way, itakuwa inapambana na Uislamu au na ujambazi wa kutumia silaha?

  Ni haki ya watu fulani kuvunja makanisa na kuyachoma moto?
   
 6. c

  chakochetu Senior Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ......bali EXREMISTS[imani kali]
   
 7. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
  yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!
   
 8. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ukiona simba amekula binadamu basi kuna tatizo wala tatizo sio simba....
   
 9. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Serikali Dhaifu hufanya mambo Dhaifu
   
 10. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mkapa alikuwa na maamuzi huwezi mfananisha na BABA RIZ anayewaza kuwaweka watoto na vimada wake madarakani
   
 11. j

  jail JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe acha kutisha watu waislam ni nani mpaka washikilie amani ya nchi hii?ni nani anachoma makanisa?kama c chuki,wivu,ubinafsi dhidi ya wakristo ndo dini ya kislam inavyotaka mi nakerwa na hali ya uvunjivu wa amani wanaofanya waislam.hii ni imani ya ajabu sana duniani na tanzania.ona somalia,sudan,nigeria nk yanayofanyika huko ndo wanaleta hapa...alaf unasema wavumilivu?naona wakristo ndo wavumilivu nchi hii mtu wanavamia makanisa yao wanaishia kusamehe ki ujumla nawaona ni wavunjifu wa amani
   
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,309
  Likes Received: 6,158
  Trophy Points: 280
  Hata mimi sikusema dini ya mtu, nilizungumzia Ponda na UAMSHO.

  Namjua Ponda kwa uchochezi wake na si kwa dini yake. Hayo ya dini ya Ponda mimi sijayasema.

  Naijua UAMSHO kwa kadhia iliyofanya Zanzibar na sio kwa dini yake.

  Wewe umerukia kwenye dini kwa kuwa ndio silaha ya watu wajinga. Facts kwao hazina maana zaidi ya imani. Ukifuata facts utakubaliana na mm kuwa Ponda ni mpumbavu na ndio maana anaamini kuwa haki yake ataipata kwa mnunuzi badala ya aliyeuza.

  Kuhusu wasomi, huo ni upuuzi mkubwa mkuu. Jambo lililofanyika haliwezi kamwe kufanywa na mtu mwenye elimu nyingine zaidi ya ile aliyonayo Ponda. Hebu niambie ikiwa unaamini yule Dr. Twalib Ngoma anaweza kwenda na kundi la watu kudai mali ya waislamu ambayo tayari imeshauzwa?

  Hata wewe ni mjinga, nitakwambia kwa nini. Kama unadhani kuna wasomi wa imani kama yako, mbona usijiulize kwa nini wao hawashiriki mambo yale aliyofanya Ponda kama si kwa sababu ni mambo ya kijinga?

  Wote walioko pale na walioshiriki vurugu hizi ni vijana waliofeli maisha baada ya kuzaliwa wengi kwa mzazi mmoja kiasi resources hazikutosha kuwaendeleza, wamama waliokata tamaa ya maisha na wanazuoni wa madrasa ambao madarsa ya elimu ya magharibi yamewaacha, kama alivyo Ponda mwenyewe.

  Sidhani mtu na PhD unayoisema anaweza kuvaa suruali fupi. Atajiuliza tu maswali madogo; nivae suruali ichafuke mguu ubakie safi au nivae fupi isichafuke lkn mguu ujae vumbi.

  Mwenye PhD anajua kuwa ukimpa Juma mali akulindie, Juma akaiuza kwa Jabiri basi unayetakiwa kumdai ni Juma na sio kwenda kumfanyia fujo Jabiri.

  Kutetea ujinga hakuwezi kufanywa na mtu mwenye akili
   
 13. Naipuli

  Naipuli JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Najua kwamba una Jazba na Chuki ktk nafsi yako dhidi ya Waislamu. Lakini ninachotaka kukueleza ni kwamba hayo mawazo ulonayo ni ya kipuuzi na kishenzi. Nitakwamibia ni kwanini.
  1. Kama kweli wewe unapenda amani, hapa usingemtukana Sheikh Ponda kwa kumwita mpumbavu. Bilashaka ww ndiye mpumbavu.
  2. Unapozungumzia eti muislamu mwenye PhD hawezi kushiriki kwenye maandamano, Je, ww una orodha ya walioshiriki kwenye maandamano? Na unaposema eti hawavai suruali fupi, naomba utambue kwamba kuvaa kwa suruali fupi ama ndefu si kwa lengo la kuchafuka ama kutochafuka kwa miguu ya mvaaji. Je, unataka tukutajie majina ya wenye PhD na MaProfesa wanaovaa suruali fupi??
  3. Hivi! Kwa akili yako ulikuwa unategemea kwamba waislamu wote wangeshiriki kwenye hilo lililofnywa na Sheikh Ponda?
  Nafikiri kama umesoma/unasoma utakuwa unafahamu kidogo kuwa kwenye taasisi au mradi wowote lazima kuwe na HUMAN RESOURCE na NON-HUMAN RESOURCE. Sasa hao unaowaona wewe hawashiriki kwenye mambo kama hayo ujue kuna namna ambavyo wao wanashiriki.

  Achana na Chuki na Roho mbaya.
   
 14. V

  Visionmark Senior Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha UONGO wako, hivi sasa wewe ni mtu mzima na unachokiongea hakiendani kabisa na umri wako!
   
 15. hamex

  hamex Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii m4c movement for church. Kumbe ndo maana mnaoanisha uamsho na dini
   
 16. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,633
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Kudos mkuu!yaan 'LIKE'umemaliza
   
 17. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,659
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280

  Umeongea ya ukweli ila binafsi simkumbuki Mkapa. Sikia, chanzo cha vurugu ndani ya nchi kama hivi sasa hapa Tanzania ni 'Bad Governance,' popote pale duniani nchi ikiongozwa na kiongozi mzembe asiyekuwa na msimamo hata sisimizi watatamba mbele ya mchwa kujivunia wingi wao. Si muheshimiwa karudi kula tende uarabuni jana, basi subirini kama hajakuja kwenye live TV hivi karibuni huku akituchekea, sasa sijuwi anakuwa anatusanifu au vipi. Huyu jamaa wala hana sifa za uongozi kabisa na hii nchi ilimshinda toka miaka kumi iliyopita ila basi tu ana uchu wa madaraka ili aendelee kutuibia. Mwinyi ni muislam, lakini aliendesha nchi kwa makini na uchungu zaidi mpaka akaleta ukapitalisti na watu wakamkumbuka kwa kumbatiza Mze wa ruksa ila ujinga kama unaofanywa sasa na hawa wahuni kulikuwa hakuna kwa sababu Mwinyi alikuwa na msimamo.
   
 18. M

  Maulid Daniel Senior Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  lazima mtamkumbuka mkapa kwa sababu kama ni kuwaua waislamu basi aliwaua sana halafu kitu ninachojifunza hapa ni kwamba makafiri wa kikristo mnapenda kuona waislamu wakinyanyaswa basi na hata hiyo 2015 akipatikana rais kafiri mapambano yataendelea tu
   
 19. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,659
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280

  Ni kweli, anaweka watoto wa vimada na vimada wake madarakani matokeo yake serikali inakuwa haina watu wenye ujuzi kwenye taasisi zake kwa ajili ya huu ujinga. We have too many incompetent people hapa nchini na ndiyo maana ukienda kufuatilia jambo fulani kwenye hizi taasisi utaambiwa muhusika hayupo katoka kidogo sasa wewe unayeniambia muhusika hayupo kazi yako nini? Ukifuatilia, utakuta Mze mzima kamweka pale ili ajaze namba. Yaani unaajiri mtu kutokana na kumchapa mama yake?
   
 20. M

  MamG Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkapa was a strong and a visionary leader no doubt about it while JK is weak and incompitent. Leo hii waislam mnamsema Mkapa wakati hiyo muslim university amewapa yeye kilikuwa chuo cha tanesco kile. Mnamsifia JK kwa sababu ya udini ila ukweli wote tunautambua kuwa jamaa ameangusha nchi kiuchumi na sasa ametufikisha kwenye udini na muda wananchi wake wasio na makosa wanaharibiwa mali zao na wahuni yeye yupo nje ya nchi anashangaa majengo. Kikwete msimamo hana na serikali yake ni legelege kila kitu yeye kwake ni mzaha tu. Na muwashukuru sana wakristo (NYERERE) kwa kutaifisha shule za wamissionary maana bila wakristo waislam wengi hata shule msingeenda mngeishia madrasa tu. Leo hii mkaseme mnabaguliwa na kuonewa wakati hata uongozi nchi hii sasa hivi unatolewa kwa upendeleo. Waislam acheni upumbavu mfanye shughuli za maendeleo na mkajifunze kutofautisha uislam na uarabu msifanye mambo kwa kuiga bila kuelewa madhara yake au mnataka kuwa kama syria.
   
Loading...