Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

MWIZI WA FAT HANA MPANGO ,KWANZA MSOMALI HALAFU MWIzI,AKILI NDOGO[/QUOT

Nani akili ndogo ? msogwa ? sii yeye bila ya aibu na kutokana na ujinga wa kutoijua historia ya Muungano na Ujinga wa kutoijua utamaduni na mila za watu wa zanzibar aliwashambulia kwa nini wamewataka wageni na wenyeji wasiofunga kutokula wazi na kwa kujionesha na pia serikali hiyo iliwataka wana wake wasitembee uchi wakati huu wa mwezi wa ramadhani.
Lakini mchungaji kwa ujinga wake wa kutojua mambo ametaka serikali ya mungano kuzuia hali hio..
zaidi ya ujinga huu mnataka nini ?
 
Kama mlimsikiliza jana akilalamika alivyozungukwa na Yanga kuhusu yule mchezaji wa APR na Limpompo ya DRC.. Kama ulimsikiliza vizuri kuna mahali kamtunishia misuri hata mkuu wa inchi, hivi Rage yukoje? Na maovu yote aliyonayo ya wizi, kufungwa, bado mkuu wa inchi kenda Tabora wakati wa uchaguzi mkuu kamnadi kamshika na mkono amewaonyeshea wapiga kura wake,amemfanyia kampeni, leo hii anamtunishia misuri .

Nimechoka mwili mzima.
 
Two wrongs do not make it right

Kama Rage ni mhalifu basi sio sababu ya Ridhiwan

kuinyang'anya Simba mchezaji waliomsajili kwa ubabe wa 'mtoto wa Rais'
 
Dhaifu wake ndo unamfanya aonekane mpuuzi tu;huwez kulalamika kwa jambo unalolihusudu nawe pia smba na yanga ubabaishaji tu;why hajazungumzia tuhuma za redondo toka azam?
 
rage analalamika nini wakati yeye na ridhiwani wote ni ccm na wamezowea dhuluma sasa wamedhulumiana wenyewe kwa wenyewe,mbwa mwitu wakikosa nyama wanamla mwenzao!
 
Raisi wa APR amesikika leo (kupitia radio one) akisema Hajawai kuoonana na rage live kumsajiri mbuy twite na akasema yanga ndio waliokuwa wa kwanza kuzungumza na apr na mchezaji mwenyewe ,tena kabla mkataba wa twite haujaisha na akasema mchakato wote ulifanywa na abdala binkleb (sio riz 1).Kiongozi huyo wa apr anasema aliongea na rage mara1 tu na rage kwenye tena kwenye simu na alimuonya rage juu ya mchezo mchafu anaotaka kuufanya.POLENI WANA SIMBA KWA KUWA NA KIONGOZI MWANASIASA ,rage amerudia yaleyale ya asamoah mwaka jana
 
inawezekana huyo raisi naye alitengenezwa akiulizwa amruke rage,maneno ya rage yanaweza kuwa na ukweli pia ukizingatia huu mwezi watu wa imani yake huwa wanauheshimu sana,cdhani kama anaweza kungopa ingawaje inawezekana pia kwani binadamu pia hatueleweki
 
Rage anaongopa wala hajali mwezi mtukufu. Aliwadanganya wanasimba kuhusu kufuzu kwa Okwi. Hivyo kazoea kudanganya
 
Rais wa APR kalishwa maneno tu ili kumsafisha mtoto wa Kigogo wa Serikali. Huyu mtoto wa Kigogo tunajua alivyovuruga UVCCM, na sasa amehamia kwenye soka baada ya babake kumkataza kujihusisha na mambo ya UVCCM, huu mchezo wote lengo lake ni kutaka kuidhofisha Simba ili waifunge 5-0
 
sana tu mdakuzi,huo ndo ukweli,huyu dogo ni mvurugaji kinyama,ingawa amesoma na ana mihela ya kifisadi ila nina shaka na upeo wake,kwa kuwa mara nyingi sana huwa anamuharibia sana dingi yake,cjui anatafuta nn huyu dogo,ujue namtamani,hivvv,anatembeaga na bodigadi??
 
Jamani Rage ana nini?mbona mtu mzima hovyo na muongo??aibu sana sipendi kusikia mtu mzima muongo hivyo hadi anatoa mapovu na machozi kumbe uongo!daa kweli siasa zinawaharibu sana wazee wa Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom