Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

What else do you call a fool? a fool is simply a fool.

Nothing wrong with that. Is he not a fool?
How can you call some one a fool without pointing out his/her foolishness? Surely, Aden Rage was unnecessarily arrogant and imbecile.
 
There is no any other polite way of describing this foolish MP Msigwa than calling him a FOOL.
Poor Ecoli, go back to stylistic lessons! otherwise tell us that you are obsessed with venomous hatred against Mp Msigwa!
 
hivi kwanini watanzania hatuna uzalendo wa kuheshimu watanzania wenye asili nyingine??hakuna nchi duniani inayoendelea na wazawa peke yake ndio maana toka zamani wakulima na wafugaji walikuwa wanahama hama ili kutafuta maendeleo,sasa mimi naona itungwe sheria mtu yeyote atayemwambia mtu wewe sio raia wa tanzania bila uthibitisho alipe faini au apewe kifungo kwani hiyo iko mpaka mitaani watanzania wenye asili mbalimbali wanapata shida ya kutukanwa kuwa siyo watanzania kwa kuwa tu rangi yao ipo tofauti.
Ukitaka kujua ni kwa nini Watanzania wanamsema vibaya Rage fuatilia yanayojili Somalia kuhusu Wasomali ambao Somali si asili yao kama wale wenye asili ya Wazigua.Ni wiki jana tu nilisikia wakilalamika BBC kwamba tangu Somali ijitawale jamii hiyo hawarusiwi hata kuchanganyika na Wasomali.
 
ha ha ha mnatetea mheshimiwa Msigwa au Mchungaji Msigwa?. Angebaki kanisani kuhubiri neno la bwana wala yasingemkuta ya kuitwa fool. Ameipenda zaidi dunia, he is a fool.
 
Watanzania mmekuwa wabaguzi sana. Tukianza kubaguana kwa namna hii itafika siku Wayao wataambiwa warudi Afrika Kusini, Wamakonde warudi Msumbiji, Wanyakyusa warudi Zambia, Wapemba warudi Oman, nk.
 
Napata shida hapa naomba msaada. Mchugaji Msingwa alisoma maoni yake binafsi au ni maoni ya kambi ya upinzani.
 
nimesoma gazeti moja pendwa sana katika jamii limeandika kuhusu baadhi ya waheshimiwa kuingia bungeni wakiwa wamelewa mihadarati ,gongo, sigara kubwa na mirungi( wasomali huipenda sana)
HEBU CHUNGUZENI PENGINE NI MMOJAWAPO WA WATUHUMIWA ,NA HII KAULI ALITOA AKIWA OUT OF SENSE
 
There is no any other polite way of describing this foolish MP Msigwa than calling him a FOOL.

naambiwa hapa kuwa mtu mwenye lugha za kuudhi kama wewe pengine anasumbuliwa na ugonjwa wa akili ambao kitaalam unaitwa “BIPOLAR DISORDER' Nashauri umuone daktari haraka.
 
Mh. Aden Rage,

Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu.

Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.

na bibi kiroboto alikuwa anakenua tu, hata kumtaka huyo alshababu kuomba radhi
 
"Never Urgue....never urgue with a fool" Huwezi kumtukana mtu kwa style hii...Sana utamwambia "You are a Fool"
Umeona tofauti? Vitu vingine sio lazima shule jamani.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema; Ibara ya 18(a) Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake. Ndicho alichofanya Rage na wewe pia umetumia uhuru huo huo kupotosha kile alichomaanisha Rage.
Kwa nini umeshikilia neno "FOOL" pekee? Hujaona eneo lingine zaidi ya hapo? Mbona hukuweka hata hiyo statement yote kama nilivyoiweka mimi basi ili watakaosoma waelewe the whole concept na sio kuwabana kwenye neno FOOL pekee?
Kwa style hii hakuna harakati hapo.....Mtaishia kubwabwaja tu.
Karibuni ADC tuna semina elekezi za namna gani tunaweza kufanya siasa za kistaarabu/kushindana kwa hoja na sio kutukana tukana ovyo.

Na hapa ndipo ninapoamini ADC ni CCM C.I stand to be corrected
 
Naomba BUNGE LA TANZANIA liwe linaendeshwa kwa Kiingereza au KIHINDI.

Kudadadeki, tuliosoma India Tutafaidi.

Kujibizana na Rage ni sawa na kumfukuza Kichaa huku ukiwa uchi kwa sababu kaiba nguo zako.

Waliomchagua wote kuwa kiongozi wa FAT, Mbunge na Simba lazima watakuwa Wanapakatwa............. I mean walipakatwa wakiwa watoto.

Endeleeni kumwambia Rage labda kuna siku ATAWASIKIA.

stevie-wonder-can-see-john-cenas-monkey-ass-lol.jpg
 
Kwa lugha hizi za Rage basi bora nihame simba, nitakua shabiki wa Manyema

umesahau nini ?? Luga za jela hizo .alipelekeshwa gerezani kwa sana tuu .mmesahau alifungwa jela huyo kwa wizi .alitoka jela ki ccm.ccm huyo
 
Rage ameongea ukweli limtu litoke kunywa kangara liropokee tUuu kama fooollll tena stupi kabisa session ijayo kutakuwa na kifaa bungeni cha kupima walevi tuone huyu na wenzie watapitia wapi kuingia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom