What else do you a fool? a fool is simply a fool.
Nothing wrong with that. Is he not a fool?
huyu jamaa uwezo wake wa kuelewa unatia mashaka na unashangaa Tabora walifikiria nini kumfanya mwakilishi wao.
Mfuatilie michango yake na utakubaliana nami. Labda kwa vile brother wake alisoma na JK ndicho kilimsaidia.
Hapo kwenye red, nimemuona juzi ITV akisema kuwa wamepata Euro 700,000 kwa kumuuza Emmanuel Okwi ambazo wangezitumia kuendeleza uwanja wao huko Bunju na mshangao wangu ni kumuona Okwi akirejea Bongo!!
Sioni ajabu kwa msomali kuwa na lugha chafuMh. Aden Rage,
Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu.
Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.
i dont believe on the color of the skin, kama rage akawe mbunge somalia, how about Obama?
Hakuna mtu anachukia wageni au watanzania wenye asili ya nchi zingine! Ninacholaani ni watanzania wenye asili zingine wanavyowanyayasa wazawa, mfano wahindi wanavonyanyasa wafanyakazi wa ndani au wafanyakazi kwenye maduka yao! au wasomali wenye ubabe wa kijinga kama Rage! au watanzania wenye asili zingine kama akina rostam na manji wanavohamisha uchumi wetu na kuhamishia canada na kwingineko halafu hawafuati sheria za nchi maana wamenunua viongozi! mtu akiitwa sio raia ana haki ya kwenda mahakamani, mfano rage sio raia!!hivi kwanini watanzania hatuna uzalendo wa kuheshimu watanzania wenye asili nyingine??hakuna nchi duniani inayoendelea na wazawa peke yake ndio maana toka zamani wakulima na wafugaji walikuwa wanahama hama ili kutafuta maendeleo,sasa mimi naona itungwe sheria mtu yeyote atayemwambia mtu wewe sio raia wa tanzania bila uthibitisho alipe faini au apewe kifungo kwani hiyo iko mpaka mitaani watanzania wenye asili mbalimbali wanapata shida ya kutukanwa kuwa siyo watanzania kwa kuwa tu rangi yao ipo tofauti.
Mheshimiwa, Mkuu, Ndugu zomba, hata kama mtu ni mpumbavu, nadhani kwa itifaki za bungeni hawaitani hivyo. Unataka kusema wale tunaowajua kuwa ni mafisadi, tuwaite hivyo bungeni au popote hadharani? Kwa nini maneno Silly na Dhaifu yalikemewa au ndio yale ya mkuki kwa nguruwe?What else do you call a fool? a fool is simply a fool.
Nothing wrong with that. Is he not a fool?
Inawezekana lakini mboja kama chuki kwa MSIMBAZI?Ismail Rage,Kasim Dewji,Hassan Hasanoo ndio wanaongoza kwa kununua pembe za tembo hapa dar!ofisi yao ipo haidery plaza!na huzibeba kwa magari ya STK ofisi ya waziri mkuu toka lindi.Ipo siku mtaamini maneno yangu
kaaaz kwelikweliMh. Aden Rage,
Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu.
Pole sana,wewe ni shabiki wa simba nini ndo mana ulimuona ana maana????yaan wenzio walimuona hana maana tangu yupo TFF wewe unamuona hana maana leo????mtu amewah kufungwa kwa ubadhilifu,aliwah kupanda jukwaan na SILAHA PASIPO SABABU,,,,,,KUMBE SIKU ZOOOTE HIZO ULIKUA UNAMUONA WA MAANA,DAH!!!!!!!!
Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.
Msameheni bure! Bado ana mawenge ya jela!Mh. Aden Rage,
Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu.
Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.
Hakuna mtu anachukia wageni au watanzania wenye asili ya nchi zingine! Ninacholaani ni watanzania wenye asili zingine wanavyowanyayasa wazawa, mfano wahindi wanavonyanyasa wafanyakazi wa ndani au wafanyakazi kwenye maduka yao! au wasomali wenye ubabe wa kijinga kama Rage! au watanzania wenye asili zingine kama akina rostam na manji wanavohamisha uchumi wetu na kuhamishia canada na kwingineko halafu hawafuati sheria za nchi maana wamenunua viongozi! mtu akiitwa sio raia ana haki ya kwenda mahakamani, mfano rage sio raia!!
Mheshimiwa, Mkuu, Ndugu zomba, hata kama mtu ni mpumbavu, nadhani kwa itifaki za bungeni hawaitani hivyo. Unataka kusema wale tunaowajua kuwa ni mafisadi, tuwaite hivyo bungeni au popote hadharani? Kwa nini maneno Silly na Dhaifu yalikemewa au ndio yale ya mkuki kwa nguruwe?
Hapa sio baba na mwana ni wana siasa kwa wanasiasa na siasa ni mchezo mchafu ndio kazi ya siasa unaweza ambiwa kaa chini usitafute sifa za bure magazetini unawashwa hii ndio siasa unatakiwa ustahamili fool maana yake ni mjinga sasa mjinga maana yake nini ?Ukiwa unabishana na baba yako mkapingana , utamwambia hivyo? Ukijibu hilo
Hasa akiwa anaoana na maana ye neno hilo. Au kwa sababu ni wa chadema? He is indeed a fool!
Tusi poteze muda kumjadili mtu mwepesi kama rage.
Najua amefanya makusudi ili wananchi wamjadili.
Sioni ajabu kwa msomali kuwa na lugha chafu
Sukubaliani na kumpinga kwa sababu ya usomali wake, nadhani ni haki kwa kila mwanaadamu kushiriki kwenye shughuli za maendeleo ya jamii anamoishi ikijumuisha kupata fursa ya uongozi.Umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango?
Huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!