Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Naenda sasa hivi; majibu kesho nitayaweka hapa hapa.
barikiwa sana
Naenda sasa hivi; majibu kesho nitayaweka hapa hapa.
yani ni raha mfano hakuna sasa huyu anamaliza kujenga nyumba halafu hampi nafasi mkewe kutengeneza nyumbani!hapo ndo matokeo yake huwa hivi!
Kwanini usijisimamie mwenyewe kuipinga kauli hiyo mpaka uombe na wengine?
Ruttashobolwa; waitu ninsiima muno; ulikuwa wapi muda wote!
Wawezaje kujitambua kuwa una mapungufu ya namna hizo zote?
Kwa hali ya kawaida m2 yeyote mwenye tabia ya kujisimamia kwa mambo mengi huwa anasemekana kuwa na dharau. Mimi kama mimi napenda kujisimamia kwa mambo mengi, labda ndo tatizo.
Niwaelezeni kitu;
Kuliwahi kutokea mgogoro mdogo - akawaita wadhamini wa ndoa eti tuuongelee; niliwatimua na kuwambia kuwa sijawaita; mambo ya nyumbani kwangu hasa yanayohusiana na ndoa napenda niya-handle mwenyewe. Hivyo ndivyo nilivyo!
Eh! hiyo kali m2 wangu!
Imenikumbusha mshkaji wangu mmoja alosema hivi "wanawake si ndugu / rafiki wala .... ni watu tu! " Utawazaje kuacha kwako na kuamia kwa mwingine kama kweli zinakutosha?
lol!wanaume wenzio wanaofaidi utamu wa wanawake wakisikia maneno kama haya huwa waagiza mug tu za kilauri wanakata kilaji na nyama choma huku wakimsifu Muumba kwa heri alizowajalia na baraka za kumiliki wanawake wa aina yetu!wapi Kaizer , Asprin, Mtambuzi The Boss, Dark City , HorsePower ,pacha wangu mtoto wa mama yangu SnowBall na wengine woote MNAOJIAMINI NI WANAUME WA UKWELI bila kumsahau mtani wangu watu8, Erickb52, kakaangu moto2012 na mashosti zangu WANAWAKE WA UKWELI gfsonwin, mke mwanzangu wa sirini cacico, FP dadangu uvi koki dada mkubwa? na wengine woote wa mrengo wa kulia
Basi jaribu kukaa na huyo mwenzi wako akueleze nini haswa huwa kinamkera toka kwako....pengine huwa hamna wasaa wa kurekebishana pale mnapokoseana zaidi ya kutumia maneno ya hasira na kejeli...
Ulikuwa wapi m2 wangu? nashukuru sana kwa ushauri wako; ila naamini mengi kati ya uloyataja najituma mkuu.
Huyu wala asitupotezee muda wetu, anakipata anachokistahili..... Unawezaje kupanda bangi ukategemea kuvuna chai?lol!wanaume wenzio wanaofaidi utamu wa wanawake wakisikia maneno kama haya huwa waagiza mug tu za kilauri wanakata kilaji na nyama choma huku wakimsifu Muumba kwa heri alizowajalia na baraka za kumiliki wanawake wa aina yetu!wapi Kaizer , Asprin, Mtambuzi The Boss, Dark City , HorsePower ,pacha wangu mtoto wa mama yangu SnowBall na wengine woote MNAOJIAMINI NI WANAUME WA UKWELI bila kumsahau mtani wangu watu8, Erickb52, kakaangu moto2012 na mashosti zangu WANAWAKE WA UKWELI gfsonwin, mke mwanzangu wa sirini cacico, FP dadangu uvi koki dada mkubwa? na wengine woote wa mrengo wa kulia
Mimi Nina miaka 13 ya ndoa na wala sijawahi hata kufikiria kuwa ninaweza kuwa na nyumba nyingine zaidi ya niliyonayo sembuse kumjibu mtu! Huyo dada angekuwepo huku labda angeweza kutuambia ni nini kinachomfanya amjibu mumewe hivyo. Unafikiri Kama mume anakutreat kama trash utashindwaje kuwaza kurudi kwenu? Kwa post zake humu naona mtoa mada Hana heshima kabisa kwa wanawake........sijui mwenzenu alzaliwa na nani?Nipo mwanawane, bado sie huko hatujafikishana japo tuna miaka 9 sasa ya ndoa...........LOL
Ngoja nijifunze hapa toka kwa wadau maana huenda ndoa yetu ikifikisha miaka kumi, na mie nitajajibiwa hivyo.....
Haya tiririkeni hapa nijifunze mie.
Kuna mengi katika maisha ya ndoa zaidi ya watoto, haijalishi ni ndoa ya kanisani au msikitini,kama huna hawala ila mazingira yote yanayokuzunguka yanaonesha hivyo unategemea nini toka kwa mwenza wako?
Maisha ya ndoa ni magumu sana hasa kwa vile nyie mmekutana huku mkiwa mmelelewa katika mazingira tofauti hivyo kuoneshana tabia tofauti ni jambo la kawaida na yafaa ukawa mvumilivu kwa mwenzio,na kama unaona hukosei basi kaa nae chini na zungumza nae jambi hili na mtafikia muafaka maana kwangu mimi si rahisi mwanamke kukwambia ana kwao na kusiwe na sababu inayomfanya aseme maneno hayo.
Kila tukiwa na mtafaruku na
mama watoto wangu ananambia kauli hii "Nitawapisha wengine waje
wajaribu, nina kwetu" Hivi mwanamke aliyeolewa, yuko ndani ya ndoa
zaidi ya miaka 10 anaweza kuendeleaje kufikiria kurudi kwao badala ya
kufikiria kujenga mji wake ambao unaweza kuwa kimbilio kwa jamaa zake
wanaoweza kuwa na matatizo?
Akili au matope??????
KAULI HII INANIKERA SANA!
Nkusa nilimaanisha JAMBO,kwa mtu ambaye kaenda shule anaelewa kuwa wakati unaandika unaweza kukosea lakini maana ya sentesi inabaki kuwa pale pale.Mkuu hapo kwenye Bold ulitaka kusema nn?