Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
wahaya nyie hamkosagi wanawake wengiwengi naye kashawaona na anaju kama unajua hajui jua leo anajua na ndio sababu anasema hivyo na hapo kachoka sasa akifikia kukutamkia hivo siku nyingine mkasirishe zaidi ataropoka yote yaliyoko moyoni kwake na ndio utaujua ukweli wote ,axcheni bana wanaume mnakera sana .ila kusema kweli sijawahi kugombana na mume wangu na pia naogopa ugomvi mie tutachekajeeeeeeeeeee baada ya ugomvi najiuliza nitaanzia wapi kuurudisha ule upendo kabla ya ugomvi so kwasababu it will cost me huwa hata kama anamakosa napotezea na hii imesaidia sana kwangu mie :all men like to win the game no matter he is a victim .sasa akili kichwani usigombane na mtu live longerkama yapi jose?
Ameolewa kwa ndoa ya kanisani;
tumejaliwa watoto tena kwa kuchanganya jinsia;
anaishi kwake;
sina hawala;
nifanyeje ndugu yangu!