Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
- Thread starter
- #261
wanawake ni kama mvua inanyesha sehemu yoyote ile hata kama ni kwenye kinyesi kwa kifupi hata ufanyeje kikubwa ni uvumilivu tu. Nje ya hapo utavunja ndoa, utakuwa na wananwake hata zaidi ya 10 haijarishi umri wao maana ndio walivyo
Wakikusikia watakuua ndg yangu! Nimekusoma!