mkuu
Tutor B nipo mtu wangu
nilikuwa nawasoma akina
snowhite,
Blaki Womani na wengineo wenye kujua masuala ya ndoa na nione wanasemaje kwanza
Sio uone kama vile unafanya ila fanya mpaka ufikie kiwango chako na kamwe usimuulize au kumwambia mwanamke eti umekosa nini kwangu kama chakula nakupa na mavazi na malazi sijui na usafiri
hayo ni ya ziada wala sio ya muhimu kwake
Muhimu sana kwake ni wewe na unavyomhandle na kumjali na kumpa maneno mazuri na sifa za hapa na pale za kila siku
The way unavyoongea nae hata unapojua kwamba hapa kachemsha ila humuonyeshi kuwa kachemsha unamsifia hata pale ambapo unaona kwamba ni wrong
Nyama ya ulimi mkuu na maneno mazuri na zaidi usimlinganishe wala kumfananisha na mwanamke yeyote mliyewahi kukutana nae