Kauli hii inanikera, nifanyeje?

Kauli hii inanikera, nifanyeje?

We vipi! Shaoma msamaha unaendelea kunisakama ili iweje?

taratibu mwosha huoshwa!
nilikwambia nitakupa makavu mpaka ukae chini kwa pamoja tusaidiane kuwekana sawa!upo tayari?umeshachoka kutukana na kutoa maneno ya kashfa?umemaliza?then kama umemaliza now we can talk !KWA FAIDA YAKO NA NDOA YAKO!UKIENDELEZA MATUSI SIKUKAWIZI!
 
Mkuu sikuungi mkono kwenye RED ila naomba uelewe kuna wanawake wa namna hiyo haswa wale wanaohisi ni most beatiful na kwamba wewe mumewe ulibahatika sana kumpata na pia anajihisi kwa viwango vyake vya kudhani vya uzuri aliyakiwa aolewa na yule na si huyu. Anajaribu akifikiri akirudi kwao atapata the dream husband kumbe kule anaenda kudoda ile mbaya.
MKUU KAMA NI MCHAGGA ANAKWAMBIA HIVYO HUYO ANAKUTISHIA KWANI WAKISHAOLEWA IKATOKEA AMERUDI HOME KWA SABABU ZA UGOMVI WA NDOA HUWA WAZEE HAWACHELEWESHI HUKAA NA KUMREJESHA KWA MUMEWE KABLA HATA WIKI HAIJAPITA KWANI KWAO INAJULIKANA NA NDIVYO ILIVYO KUWA ALISHAAGA NA HAWATAKI KUKAA NA MZIGO WA MTU.

Uko sahihi kabisa; shawambia tangu mwanzo tatizo ni kudekezwa kwao kwani ni mtoto wa kike peke yake; hivyo hata kaka zake wanamdekeza sana kupita kiasi.
 
niko kwenye mstari tangia hapo; ila inapotokea kero nikaijadiri humu; ikatokea wa kunijibu vibaya unataka nijibu nini? Kwa ujumla nawaheshimu wanawake sana tena sana.

si kwel huwathamin wanawake na mbaya zaid huyo mkeo wamchukulia kama kifaa cha kutotolea watoto kama ulivyosema, unakuja na kaul za dharau kwa wanawake alafu wataka tukusifu,eti wanawake wanaakil ndogo weeh akil yangu mie we waingia 50 times, jirekebishe!!
 
taratibu mwosha huoshwa!
nilikwambia nitakupa makavu mpaka ukae chini kwa pamoja tusaidiane kuwekana sawa!upo tayari?umeshachoka kutukana na kutoa maneno ya kashfa?umemaliza?then kama umemaliza now we can talk !KWA FAIDA YAKO NA NDOA YAKO!UKIENDELEZA MATUSI SIKUKAWIZI!

We mama m2 mzima au binti mdogo wangu!
OK; nakusikiliza, endelea ...
 
taratibu mwosha huoshwa!
nilikwambia nitakupa makavu mpaka ukae chini kwa pamoja tusaidiane kuwekana sawa!upo tayari?umeshachoka kutukana na kutoa maneno ya kashfa?umemaliza?then kama umemaliza now we can talk !KWA FAIDA YAKO NA NDOA YAKO!UKIENDELEZA MATUSI SIKUKAWIZI!

umemkalishaaaaa!aminia haya akueleze tatizo lake umtatulie!
 
si kwel huwathamin wanawake na mbaya zaid huyo mkeo wamchukulia kama kifaa cha kutotolea watoto kama ulivyosema, unakuja na kaul za dharau kwa wanawake alafu wataka tukusifu,eti wanawake wanaakil ndogo weeh akil yangu mie we waingia 50 times, jirekebishe!!
Shaomba msamaha lakini naona hutaki kunielewa - kulikoni?
 
Una vidumu? Kauli hiyo inaonesha mkeo ana taarifa za vidumu vyako au umewahi kumsema hata kwa utani kwingineko?
 
Kwa maneno hayo inaonesha wazi kuwa mkeo hana Amani na wewe ndio maana ana sema hayo maneno.

Na inawezekana ana hisi kunyanyasika kutokana na maneno unyo mwambia ndio maana ana kwambia ana kwao!

Kwenye ugomvi kuna mengi pengine mnapo gombana kuna maneno wewe unayatoa mfano " hujaja na kitu hapa, nakulisha na kivisha" haya maneno yanaweza kupelekea mtu kusema hivyo!

Swala la kukwambia kuwa atawapisha wengine wajaribu pia linawezekana linatokana na maneno unayo yatamka kwenye ugomvi mfano kumwambia" kupika kwenyewe ujui" hapa kwa haraka lazima atamke hayo maneno pia inawezekana vitendo unavyo muonesha vinamfanya ajione hana thamani kwako.

Hebu jaribu kubadilika uone!
 
Kero za ndoa sio kuwa na mahawara tu, inawezekana huna mahawara ila labda
-una kauli mbaya
-una ghubu, kosa la miaka kumi iliyopita utalikumbusha weee
-mchoyo
-mbinafsi
-humjali
-mkorofi
-mbabe
-hushauriki
-una dharau na nyodo
na mengineyo, hivyo jichunguze

Kama yapi Jose?
Ameolewa kwa ndoa ya kanisani;
Tumejaliwa watoto tena kwa kuchanganya jinsia;
Anaishi kwake;
Sina hawala;
Nifanyeje ndugu yangu!
 
Kwa maneno hayo inaonesha wazi kuwa mkeo hana Amani na wewe ndio maana ana sema hayo maneno.

Na inawezekana ana hisi kunyanyasika kutokana na maneno unyo mwambia ndio maana ana kwambia ana kwao!

Kwenye ugomvi kuna mengi pengine mnapo gombana kuna maneno wewe unayatoa mfano " hujaja na kitu hapa, nakulisha na kivisha" haya maneno yanaweza kupelekea mtu kusema hivyo!

Swala la kukwambia kuwa atawapisha wengine wajaribu pia linawezekana linatokana na maneno unayo yatamka kwenye ugomvi mfano kumwambia" kupika kwenyewe ujui" hapa kwa haraka lazima atamke hayo maneno pia inawezekana vitendo unavyo muonesha vinamfanya ajione hana thamani kwako.

Hebu jaribu kubadilika uone!

Ruttashobolwa; waitu ninsiima muno; ulikuwa wapi muda wote!
 
Mkuu sikuungi mkono kwenye RED ila naomba uelewe kuna wanawake wa namna hiyo haswa wale wanaohisi ni most beatiful na kwamba wewe mumewe ulibahatika sana kumpata na pia anajihisi kwa viwango vyake vya kudhani vya uzuri aliyakiwa aolewa na yule na si huyu. Anajaribu akifikiri akirudi kwao atapata the dream husband kumbe kule anaenda kudoda ile mbaya.
MKUU KAMA NI MCHAGGA ANAKWAMBIA HIVYO HUYO ANAKUTISHIA KWANI WAKISHAOLEWA IKATOKEA AMERUDI HOME KWA SABABU ZA UGOMVI WA NDOA HUWA WAZEE HAWACHELEWESHI HUKAA NA KUMREJESHA KWA MUMEWE KABLA HATA WIKI HAIJAPITA KWANI KWAO INAJULIKANA NA NDIVYO ILIVYO KUWA ALISHAAGA NA HAWATAKI KUKAA NA MZIGO WA MTU.

Sipingani na mawazo yako na naheshimu mawazo yako mkuu ila ukweli unabaki pale pale kuwa katika maisha ya kawaida bila kuanza kuangalia makundi fulani ya kikabila au jamii bado tunaona kuwa ni lazima kuwe na sababu,mwanamke hawezi kuamka kitandani na mumewe na kumwambia nina kwetu hata ukiniacha nitaenda huko,hata sisimizi watashangaa!

Kama ni uzuri basi hanao tena maana keshatumika miaka kumi yupo na mumewe sasa huo uzuri unaouongelea hapa ni wa namna gani?Ingekuwa wana muda mchache toka waoane tungeshauri vingine ila kwa kuwa wameishi miaka mingi bado suala la uzuri halina nafasi.

Tushughulike na chanzo cha matatizo kama kweli tunataka kujenga mahusiano ya ndoa zetu na tuache tabia ya kushughulika na matokeo.

Ndoa na iheshimiwe.

Nawasilisha.
 
haya umeongeza wamekuwa wawili na ile interview ya Ciello ilikusinda amekukubali kwa kigezo gani pesa ya barik au
Ciello hakupenda pesa alimipenda mimi ndio maana akanieleza anachohitaji, ila ndo ivyo watu wachawi wametimia unafiki hata mke kaniacha, nam chukua Baba V, Mtambuzi na ErickB52 hawa ndio chanzo.... Cha kunitenganisha na wife
 
Kero za ndoa sio kuwa na mahawara tu, inawezekana huna mahawara ila labda
-una kauli mbaya
-una ghubu, kosa la miaka kumi iliyopita utalikumbusha weee
-mchoyo
-mbinafsi
-humjali
-mkorofi
-mbabe
-hushauriki
-una dharau na nyodo
na mengineyo, hivyo jichunguze

Wawezaje kujitambua kuwa una mapungufu ya namna hizo zote?

Kwa hali ya kawaida m2 yeyote mwenye tabia ya kujisimamia kwa mambo mengi huwa anasemekana kuwa na dharau. Mimi kama mimi napenda kujisimamia kwa mambo mengi, labda ndo tatizo.

Niwaelezeni kitu;
Kuliwahi kutokea mgogoro mdogo - akawaita wadhamini wa ndoa eti tuuongelee; niliwatimua na kuwambia kuwa sijawaita; mambo ya nyumbani kwangu hasa yanayohusiana na ndoa napenda niya-handle mwenyewe. Hivyo ndivyo nilivyo!
 
Wakwangu huwa anasema..."hapa siondoki ng'o..."

Huwa ananiambia "kama kuondoka niondoke mie"

Huyo wa kwako Tutor B yupo poa kabisa hahaha

Anyway, wanawake/wake zetu mara nyingi wanajifikiria kuwa wapo insecure...sijui kwa nini?

Mume ni kichwa cha nyumba. Mume asipoimiliki nafasi yake sawasawa kunakuwa na udhaifu wa mahusiano. Chukueni nafasi zenu kama viongozi wa nyumba. Pia msisahau kuwa Mungu amewataka wanawake wawatii waume zao na wanaume wawapende wake zao. Je mnawapenda wake zenu?? Jichunguzeni kwanza ili owte mvumiliane na kuishi kwa upendo.
 
Si kihivyo; ila kama inawezekana itoe in general;

kukua sio umri kakangu ni uzoefu na busara jinsi ya kuishi na watu!
kwanza pole na yote!ndo ukubwa huo!
nimekuuliza maswali yangu kama sita hizi kwenye post imepita
1.wewe na mkeo mna mawasiliano ya aina gani?
2.unamsikiliza kihisia,yani unaweza kumuelewa hata kabla hajaongea kitu?
3.mkeo anajivunia wewe kuwa mume wake?
4.wewa unafahamu thamani ya ndoa,mke na familia?
5.unatimiza wajibu wako kama mume(hii ni zaidi ya kuwa baba yani kuwa na uwezo wa kuleta watoto duniani)
6.mna nafasi ya kusali na mkeo pamoja?
7.mkeo ana fahamu hili linakukera kiasi gani?ulishawahi kumwambia na kumuonyesha kuwa hupendi?
8.mkeo anajua nafasi yake yeye kama mwanamke kwenye akili yako?
9.wewe unajua mapungufu yako kama mume na kama mwanaume?(hivi ni vitu viwili tofauti)
10.value ndoa yako katika makundi yafutayo
A)NI NZURI NAITHAMINI NA NI MIMI KATIKA UKAMILIFU WANGU
B)YA KAWAIDA NAKUBALI CHANGAMOTO
C)SI MUHIMU NAWEZA KUISHI MWENYEWE
 
Wawezaje kujitambua kuwa una mapungufu ya namna hizo zote?

Kwa hali ya kawaida m2 yeyote mwenye tabia ya kujisimamia kwa mambo mengi huwa anasemekana kuwa na dharau. Mimi kama mimi napenda kujisimamia kwa mambo mengi, labda ndo tatizo.

Niwaelezeni kitu;
Kuliwahi kutokea mgogoro mdogo - akawaita wadhamini wa ndoa eti tuuongelee; niliwatimua na kuwambia kuwa sijawaita; mambo ya nyumbani kwangu hasa yanayohusiana na ndoa napenda niya-handle mwenyewe. Hivyo ndivyo nilivyo!

SAFI !lakini kwa kuyashughulikia matatizo in a positive way!
 
Back
Top Bottom