Kodi imeisha, uhusiano ukafa
khaahKuna mmoja kaanza kuleta eti bby mi sijala mara bby sikuu mtakula nini? Eheeee hapa nmeshtuka naanza kuandaa mazingira ya kusepa mara saivi et hana kifurushi cha kupiga
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Kaone unacheka wakati ndio zenu
Nikaachwa, alikuja nitafuta turudiane nikamwambia hatukuzaliwa wote akaanza kulia akiomba msamaha sijui hata nilikosea wapi
Pamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.Kaone unacheka wakati ndio zenu
Sawa tunadharau ila mboo zetu tamu😜Pamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie 🤣Kodi imeisha, uhusiano ukafa
Mimi tuligombana hiyo siku nikamuambia "yaan najitahid kushinda vishawishi huko nje, nakuheshimu natulia na wewe nakataa wanaume wengine kwa ajili yako alafu wewe unaniletea mambo meusi" akanijibu "sasa unangoja nini si uende kwa hao wanaume wengine" nikaanza kulia nikajua kishawaka ila alikuja akanisamehe baada ya mvurugano mkubwaNikaachwa, alikuja nitafuta turudiane nikamwambia hatukuzaliwa wote akaanza kulia akiomba msamaha sijui hata nilikosea wapi
Ee itabakia hivyo lkn kulia shida kwa mwanaume mimi basi sitaki kabisa.Sawa tunadharau ila mboo zetu tamu