Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

Mw
Zipi hizo? Kama ni zile za wakati akiwa waziri, basi majibu mazuri anayo kamanda sumaye. Yale yalikuwa ni makubaliano ya mwenyekiti wa baraza la mawaziri yaani rais na baraza la mawaziri, kwa maelezo ya Sumaye. Nakuwekea link, kuna uzi jamaa kaweka clip ya maelezo ya sumaye humu jf.

Kuna Clip ktk page ya uzi huu hapo chini, bofya umsikie kamanda sumaye.

UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
mwenyekiti wa baraza la mawaxiri alikuwa sumaye au mkapa?
 
Huyu mwandishi aishie huko huko Ujerumani anakotumiwa kama toilet paper, asirudi TZ maana hata uzao wake utageuka kuwa mkosi hivyo Ardhi itawatema. Kuheshimu mamlaka ni amri na sio mjadala.

Queen Esther

Hiyo katuni inamdhalilisha Raisi wetu Magufuli, lakini wadau wanavyoitetea ni kama wako kwenye kampeni ya kuitetea hiyo media.
Lengo la katuni ni kufikisha ujumbe wa ukweli kwa namna ya utani. Ndio tunaona watu kama Masoud Kipanya, Nathan Mpangala na wengineo wakifikisha ujumbe kwa namna ya katuni na uo ujumbe ukaleta matokeo kwenye jamii. Media kama DW wanafikia hatua ya kumchora Raisi namna hiyo na watu wanaleta ujuaji wa kijinga kuunga mkono na kuhoji uhalali wa udhalilishaji namna kwa Raisi
 
Kukalili ndio upuuzi gani wewe Uvccm.??
Watanzania mnatakiwa mjivunie kidogo mlichonacho,
Raisi JPM ameamua kujitoa na kuiweka hii nchi sawa na kuhatarisha maisha yake lakini watu wanajifanya hawaoni anachofanya. Kila siku wanaendelea kubuni ujinga wa kutaka Raisi JPM aonekane hafai kwa anayofanya.
Mada iliyoletwa jamvini ni namna muandishi Gado wa DW alivyolenga kuchora katuni ili kumdhalilisha Rais JPM, na sio kama mnavyopotosha kuwa mada ina lengo la kumchongani Raisi JPM na wajeruman.
Hata kama hao DW kwa kutumia mchoraji Gado walitumiwa au hawakutumiwa na wajeruman kuchora hiyo katuni lazima mimi kama mtanzania niwakemee wasije wakarudia. Sababu hata kwa kanali Gadafi walianza na propaganda kama hizo
Huyo katumwa na BBC awachafue DW sijuia kama kuna ushahidi kuwa DW ndiyo wameichora na kuisambaza kote .

Wewe utakuwa na chuki na DW maana umeamua maksudi kuwachonganisha na Magufuli, kwani DW ndiyo waliagiza hiyo katuni ichorwe?

Katuni ni kitu cha kawaida lakini mleta mada kwa maksudi mazima kaamua kuichonganisha Serikali ya ujerumani na Magufuli kwa visingizio feki kuwa ilikuwa ikuunga mkono chadema na hiyo katuni DW ndiyo wamesambaza kote, Huo ni ujinga mkubwa kufanya Uchonganishi wa kizamani Hivi.

Si Watanzania wote bali ni wajinga wachache wanataka kufanya Uchonganishi baina ya DW na Serikali,

Hakuna Udhalilishaji hapo mkuu bali huyo mtu ni mjinga sana kaamua kuandika Ujinga ili awachonganishe DW na Magufuli tu wala si zaidi ya hapo.
 
Ilikuwa ni maelekezo ya Rais Mkapa na Waziri Mkuu Sumaye, je una hoja nyingine??

Queen Esther

Kama ana msimamo na alijua ni jambo haramu angeomba kujiuzulu uwaziri kuonesha kupinga sera mbovu,so alikuwa sehemu ya ouvu wa mkapa na sumaye queen acha kurukaruka kama porpcorn
 
Tatizo hujui hata richmond ni nini, umekaririshwa tu na mbowe nawe umeingia kichwa, kifua na fumbatio.
Cha msingi Wewe jua kuwa JPM sio fisadi. Ana mapungufu mengine ila sio ya ufisadi. Richmond ni kampuni hewa iliyotengenezwa huko Us ili kupiga hela. JK amewahi sema alishirikiana na mawaziri wake hatua za mwanzo na kutoa go ahead ya kutafuta kampuni ya kufua umeme, baada ya hapo akaachiwa waziri mkuu, waziri mkuu akaja na richmond. Stori ianzie hapo, yeye alikuwa ni waziri mkuu, katafute kazi na majukumu ya waziri mkuu ni yapi, kinachofanya isemekane ni kampuni yake ni signatories zinazomuhusisha yeye indirectly ambazo ni tata. Rejea Dr. slaa na hoja yake siku anasema anaachana na siasa za vyama.
Suala la CAG, ni lini na wapi hiyo taarifa ilisema JPM kanufaika nayo directly au indirectly?? Hapo ni corrupted system tu.
Maneno mepesi kama haya kadanganye kijijini kwenu nadhani watakuelewa kiurahisi zaidi. Kama kutafuta kampani aliachiwa Lowasa, kutafuta hiyo boti mbovu Baraza lilienda lote? Kuuza nyumba kwa bei rahisi baraza lilihisika lote? Unajua kweli maana ya ministerial responsibility? Tafuta repoti ya CAG ya 2013/2014 usome ndo urudi hapa na haya mapovu yako.
 
Watanzania mnatakiwa mjivunie kidogo mlichonacho,
Raisi JPM ameamua kujitoa na kuiweka hii nchi sawa na kuhatarisha maisha yake lakini watu wanajifanya hawaoni anachofanya. Kila siku wanaendelea kubuni ujinga wa kutaka Raisi JPM aonekane hafai kwa anayofanya.
Mada iliyoletwa jamvini ni namna muandishi Gado wa DW alivyolenga kuchora katuni ili kumdhalilisha Rais JPM, na sio kama mnavyopotosha kuwa mada ina lengo la kumchongani Raisi JPM na wajeruman.
Hata kama hao DW kwa kutumia mchoraji Gado walitumiwa au hawakutumiwa na wajeruman kuchora hiyo katuni lazima mimi kama mtanzania niwakemee wasije wakarudia. Sababu hata kwa kanali Gadafi walianza na propaganda kama hizo
tatizo lako una tumia mihemko badala ya akili, anachomaanisha mchoraji ni kuwa magufuli nae ana makosa yake, je atajitumbua au nani atamtumbua?
Magufuli sio mungu, ni mwanasiasa na wanasiasa kukosolewa ni sehemu ya demokrasia, wewe unatokwa na povu!!!
 
Huyu mwandishi aishie huko huko Ujerumani anakotumiwa kama toilet paper, asirudi TZ maana hata uzao wake utageuka kuwa mkosi hivyo Ardhi itawatema. Kuheshimu mamlaka ni amri na sio mjadala.

Queen Esther
Magufuli hakosolewi?
ni mungu?
 
Mkuu DW siku zote wana mambo ya kijinga sana kwa kuagizwa na nchi yao kuleta uchochezi nchi mbalimbali,lauini hawawezi kwa propaganda za kitoto wanazofanya. Watanzania ndo tunauelewa ukweli wa viongozi wetu na utendaji kazi wao. Salma baada ya kujiteka akishirikiana na wanaharakati wenzake movie yao ilionekana kuwa na mashiko na hatimaye ikafa kifo cha panya alokula sumu. Haya yote ni kwa kuwa Mungu yu pamoja na Taifa hili.
 
Wacha upumbavu,
Kwani report ya CAG hujaisoma ukaona madudu ya huyo magufuli kwenye wizara aliyoiongoza awamu iliyopita?
Ajikamue jipu sasa.
 
Hahahahah jipu kubwa.
Litumbuliwe basi kumbe nae ni jipu?
Basi kama ndiyo hivyo hakuna mzima wote ni majipu kujikomba kote kule.
 
tatizo lako una tumia mihemko badala ya akili, anachomaanisha mchoraji ni kuwa magufuli nae ana makosa yake, je atajitumbua au nani atamtumbua?
Magufuli sio mungu, ni mwanasiasa na wanasiasa kukosolewa ni sehemu ya demokrasia, wewe unatokwa na povu!!!
Sidhani kama unajua maana halisi ya mhemko, na uelewa wako mdogo unapofikiri kuwa na akili ni kupinga kila kitu,
Huo ni ujinga wako mwingine ambao unatakiwa uache.
Kukosoa ni jambo jema ila alichofanya mchoraji Gado ni udhalilishaji kwa kiongozi wa nchi ambae mataifa yote yanamtambua kama nembo ya watanzania.
Sidhani kama unakumbuka walivyofanya baadhi ya wafaransa wakachora vikaragosi vya mtume muhammad unajua nini kilitokea badae,
Waislam walipinga zile propaganda za udhalilishaji kwa mtume wao.
Wewe na akili zako fupi unadhani kila kitu wanachofanya hawa waandishi makanjanja ni sawa wanapochora ujinga kama huo
 
Zipi hizo? Kama ni zile za wakati akiwa waziri, basi majibu mazuri anayo kamanda sumaye. Yale yalikuwa ni makubaliano ya mwenyekiti wa baraza la mawaziri yaani rais na baraza la mawaziri, kwa maelezo ya Sumaye. Nakuwekea link, kuna uzi jamaa kaweka clip ya maelezo ya sumaye humu jf.

Kuna Clip ktk page ya uzi huu hapo chini, bofya umsikie kamanda sumaye.

UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
Sumaye nae lilikua jipu akiwa ccm
 
Sidhani kama unajua maana halisi ya mhemko, na uelewa wako mdogo unapofikiri kuwa na akili ni kupinga kila kitu,
Huo ni ujinga wako mwingine ambao unatakiwa uache.
Kukosoa ni jambo jema ila alichofanya mchoraji Gado ni udhalilishaji kwa kiongozi wa nchi ambae mataifa yote yanamtambua kama nembo ya watanzania.
Sidhani kama unakumbuka walivyofanya baadhi ya wafaransa wakachora vikaragosi vya mtume muhammad unajua nini kilitokea badae,
Waislam walipinga zile propaganda za udhalilishaji kwa mtume wao.
Wewe na akili zako fupi unadhani kila kitu wanachofanya hawa waandishi makanjanja ni sawa wanapochora ujinga kama huo
akili zangu fupi?
hahaaaa, nilikuambia unatumia mihemko unabisha, sasa Magufuli ndio unamfananisha na mtume Muhammad?
yaabi kumchora magufuli kama katuni ni kumdhalilisha? wakati wa kampeni alikuwa hachorwi?

na ukimchora ni kwamba unapinga kila kitu??

mara ngapi kipanya ana mchora kwa nini wasimzuie kama kuchorwa hakuruhusiwi?
Wanasiasa wangapi wenye nguvu wanachorwa na media? au wewe siasa umeanza kuzifuatilia 2015?

ushamuona magufuli ni mungu wako mapema yote hii kiasi kwamba akichorwa unatokwa na mapovu mengi kiasi hiki halafu unajiita una upeo mkubwa? kazi kweli
 
Back
Top Bottom