Acha kukalili kijana na misemo yako kama unaimba mipasho.
Wewe ni moja kati ya watanzania wasiojua nini wanataka, JK mlisema sana kwa aliyofanya ni sawa. Lakini kwa JPM hakuna kubwa baya alilofanya hadi kuchorwa namna ile kwa chombo cha habar kikubwa kama DW kinachotazamwa na nchi nyingi duniani, mi naita udhalilishaji kwa Raisi wetu aliyejitolea kuiweka sawa hii inchi. Tusimuhukumu JPM kwa yaliyopita kwa kuwa hakuwa na amri, nafikiri kwa sasa tumuunge mkono ili kumtia moyo apate ujasiri kuliko kuanza kuiga huu ujinga wa western media na propaganda zao ambao wao siku zote wanaripoti mabaya kuhusu afrika
Huyo katumwa na BBC awachafue DW sijuia kama kuna ushahidi kuwa DW ndiyo wameichora na kuisambaza kote .Unawezaje kuthibisha pasi na shaka kwamba hiyo picha ni ya rais .
Wewe utakuwa na chuki na DW maana umeamua maksudi kuwachonganisha na Magufuli, kwani DW ndiyo waliagiza hiyo katuni ichorwe?View attachment 343829
Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.
Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.
Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.
Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.
Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.
Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
mitindo huru
Wewe unamhujumu rais wetu kwa kumuita "magufuri". Rais wetu anaitwa Magufuli.
Acha hujuma hizo.
Si Watanzania wote bali ni wajinga wachache wanataka kufanya Uchonganishi baina ya DW na Serikali,Watanzania kwa kulalamika ni Shida, mara DW Mara BBC yaani habari mbaya ikitangazwa wao ni Kuwaza kuonewa
Lipo wazi wapi? Wanatumiwa wapi? Acha kukariri akili za Nape, ujerumani haina Tatizo na Serikali yaTanzania kabsa wanatoa misaada mingi sana, huko JWTZ Hosptal wamefanya makubwa pia hata Magufuli mwenyewe hutibiwa ujerumani hata daktari wake huja toka ujerumani kumcheki afya yake, huu Uchonganishi wa kijinga jinga unafaa ulaaniwe sana.Wajerumani wanatumiwa na UKAWA...hilo liko wazi
Hakuna Udhalilishaji hapo mkuu bali huyo mtu ni mjinga sana kaamua kuandika Ujinga ili awachonganishe DW na Magufuli tu wala si zaidi ya hapo.Ili kitu kiwe udhalilishwaji ni lazima uoneshe kuwa hicho kitu ni cha uongo. Kama ni ukweli unavyokiri hapa, huo udhalilishwaji unaujua wewe.
Kwani wao wanakupenda? Ujue kuwa hawawapendi wale wa ndioooooooooNilikuwa naipenda dw sshv nasitisha kuskiliza vipindi vyake na wassup nabloc
Hii picha nayo imechorwa na DW na kusambazwa kote?
Na wewe tena umetokea wapi yakhe, kale urojo halafu uje utuambie shida yako nini hasaSisi wa zanzibar tuliowengi hatuna imaninae wa Tanganyika muliuona uchaguzi wamarudio na muliona mahudhurio ya wapiga kura naona mumenyamaza kimya au mumeambizana
Utumwa bado haujatoka kwenye akili za watu. Yani tuko tayari na kukubaliana na chochote wanachokiona wao kuwa ni sahihi ili tusinyimwe misaada. Huo ni utumwa wa hali ya juu. Kuna siku mtaambiwa mpitishe sheria ya kuruhusu ushoga ili msinyimwe misaada.nonesense. kwanza hiyo sheria juzi juzi hapa imetukoshesha trillioni 1 za bure
Kivuko!Aliuza nyumba bei poa
trash ..Utumwa bado haujatoka kwenye akili za watu. Yani tuko tayari na kukubaliana na chochote wanachokiona wao kuwa ni sahihi ili tusinyimwe misaada. Huo ni utumwa wa hali ya juu. Kuna siku mtaambiwa mpitishe sheria ya kuruhusu ushoga ili msinyimwe misaada.