Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

Kwa akili yako ndefu naomba unithibitishie kiashiria ya kuwa muandishi kakosoa kwa kubomoa. Hii ndio tatizo la akili za kushikiwa na kuimba mapambio.
Kijana penda kushirikisha akili yako kwa unayofanya hiyo itakusaidia sana.
Manake acha kukurupuka kuhoji uhalali wa usicho kijua.
Wenye akili wameshaelewa
 
Ona sasa ni kitu gani umeandika wewe nj bure kabisa itabidi tuanzishe vijiji vya ujamaa kupeleka watu kama nyie wenye akili finyu na wavivu kufikiri. na Kama ni wenye akili huwa wanajulikana kwa akili timamu laki kwa hii akili yako itakuwa akili ya kushikiwa,mihemko, na mizuka.
 
Tatizo lenu uvccm mnapenda kuexagurate vitu tofauti na halisi. kama wewe umekuwa shabiki wa mapambio usilazimishe watanzania nao wafuate huo mkondo. watanzania wanaojitambua wanapenda kuhoji, kutafakari na sio kwa habari za kimbea.
Ndio mana nakwambia wewe ni bure kabisa, uvccm wametokea wapi kwenye hii mada.
Siwajui uvccm wala hata kuwaona.
Naona unajazba na uvccm sana walikufanya nini?
Kijana una akili fupi sana, nenda kalale upumzishe akili yako
 
Swali la msingi zaidi na ujibu kwa hoja.

Je umejuaje hyo picha ni ya magu na kadharauliwa na western media. naomba uthibitishe hilo pasi na shaka. tofauti na hapo wewe utakuwa jipu.
 
Ona sasa ni kitu gani umeandika wewe nj bure kabisa itabidi tuanzishe vijiji vya ujamaa kupeleka watu kama nyie wenye akili finyu na wavivu kufikiri. na Kama ni wenye akili huwa wanajulikana kwa akili timamu laki kwa hii akili yako itakuwa akili ya kushikiwa,mihemko, na mizuka.
Naona umeshaanza kupanic kijana, relax ujenge hoja.
 
Swali la msingi zaidi na ujibu kwa hoja.

Je umejuaje hyo picha ni ya magu na kadharauliwa na western media. naomba uthibitishe hilo pasi na shaka. tofauti na hapo wewe utakuwa jipu.

Bila shaka wewe utakuwa jipu tena mtumishi hewa.
Naona sasa umechanganyikiwa kijana.
Lala upumzishe akili yako, ukiamka utaujua ukweli.
 
Kwa muanekano wa wa haraka wa taaluma ya sanaa ya kikaragosi kwa picha yako inamaanisha fanani alikuwa anataka kufikisha ujumbe kwa hadhari katika mtindo wa tungo tata kwa njia ya usanii wa mchoro au kikaragosi ikimaanisha, 1. rais wako anaishi na majipu ikulu, 2. yeye mwenyewe anaweza kuwa jipu kutokana na taarifa ya CAG kwa wizara aliyokuwa anaitumia, 3. chama alichonacho magu ni jipu mpaka limemuambukiza jipu.

sasa hapo kafedheshwa wapi ndugu yangu kama great thinker.
 
Magufuli kwanini hakujiuzulu uwaziri kama hakukubaliana na sera mbovu ya uuzwaji nyumba?means alikuwabalianna na maamuzi/ushauri wa mabosi zake sumaye
Hakujiudhuru/jiuzulu kwa sababu alikuwa na nia ya dhati ya kuja wakomboa watanzania baadaye...alitakiwa kubaki huko serikalini ili aweze kujua mfumo wa wizi na ufisadi unavyofanya kazi. Hivi unadhani kwa haraka haraka angejiudhuru muda huo angeweza kuja kutumbua majipi ya sasa bila kujua mifumo ya ufisadi imekaaje?
Hata hivyo mara kadhaa alionyesha kukerwa na maamuzi kandamizi na yawezekana kama angeondoka wakati huo uwenda mabaya ya kifisadi yangezidi zaidi ya hapo tulipofika 2015.
 
Kwa muanekano wa wa haraka wa taaluma ya sanaa ya kikaragosi kwa picha yako inamaanisha fanani alikuwa anataka kufikisha ujumbe kwa hadhari katika mtindo wa tungo tata kwa njia ya usanii wa mchoro au kikaragosi ikimaanisha, 1. rais wako anaishi na majipu ikulu, 2. yeye mwenyewe anaweza kuwa jipu kutokana na taarifa ya CAG kwa wizara aliyokuwa anaitumia, 3. chama alichonacho magu ni jipu mpaka limemuambukiza jipu.

sasa hapo kafedheshwa wapi ndugu yangu kama great thinker.
Naona sasa tuko pamoja kijana,
Ni hivi huyu kijana Gado wa DW ya ujeruman amechora makusudi hiyo katuni ikimuonesha Rais JPM akiwa katika hali hio inawezekana kwa kutopenda au kupenda.
Wanachojaribu kufanya hao watu ni kutaka kuaminisha dunia kwamba Rais JPM anafanya makosa makubwa kwa anayofanya.
Ni jambo jema kumkosoa Rais JPM ila hamna jambo kubwa alilofanya Rais JPM tangu awe Rais hadi kumchora namna hiyo.
Kwa hiyo hao DW wanajaribu kumkatisha tamaa Rais JPM kwa anayofanya kwa kusingizia uhuru wa vyombo vya habar waliounzisha wao.
Rais mstaafu JK alifanya mengi mazur na mabaya ila hawajawah kumchora hivyo.
Inakuaje Rais aliyejitolea kuiweka hii nchi sawa wanamuanzishia fitna mapema namna hii, na ndio mana nasema wanamhujumu Rais JPM kwa namna moja ama nyingine kwa kutaka kuaminisha dunia Rais JPM anakosea kwa anayofanya kama walivyofanya kwa kanali Gadafi na Mugabe kwa kuwa walikuwa kinyume na maslah yao
 
Mleta mada naye ni jipu, baada ya kuleta hoja ya msingi kwanini mkuu amechorwa kama jipu ww unakuja kuongea pumba zako ambazo hazina mantiki yoyote. Kumbuka hata madaktari wanaowatibu wagonjwa kunauwezekano pia na wao wakapata maambukizi ya baadhi ya magonjwa.
 
Sidhani kama hizo hoja zako zina mashiko. magu anatambua kuna kazi ya kifalsafa kwa kupitia michoro,maneno,nyimbo,soga,ngano,hadithi nk ili kufikisha ujumbe. sasa wewe unakuza mambo na ujumbe ambao msanii alilokusudia kufijisha upo wazi ata report ya CAG ipo wazi na ni hoja ambazo zipo wazi na muhusika anahitaji kuangilia katika ofisi yake ya zamani.

swala la mchoro lisikuumize kichwa ata kipindi cha campaign tuliona vikatuni vingi kati ya lowassa na magu kipindi kile kwanini haukulalamika?!.

Pia nikukumbushi ata baadhi ya vitabu vya dini wao wenyewe kuna michoro walioweka kwenye vitabu vyao vikionyesha katuni za mitume na watakatifu mbona haukuandika hapa jukuani na kupinga.

Je kama ulijifunzia kupitia ujumbe wa michoro na vikatuni na ulielewa kwa nini hili la magu kuchorwa linakupa wasiwasu,kukera na kutokwa na mishipa na povu kwani magu ni zaidi ya watakatufu na nitume.
 
Hahaaa huyu mchora katuni alifikiria nini kuchora hicho kikatuni. Ila kina ukweli flani
 
Hiyo katuni inamdhalilisha Raisi wetu Magufuli, lakini wadau wanavyoitetea ni kama wako kwenye kampeni ya kuitetea hiyo media.
Lengo la katuni ni kufikisha ujumbe wa ukweli kwa namna ya utani. Ndio tunaona watu kama Masoud Kipanya, Nathan Mpangala na wengineo wakifikisha ujumbe kwa namna ya katuni na uo ujumbe ukaleta matokeo kwenye jamii. Media kama DW wanafikia hatua ya kumchora Raisi namna hiyo na watu wanaleta ujuaji wa kijinga kuunga mkono na kuhoji uhalali wa udhalilishaji namna kwa Raisi
Kwani Magufuli baba yako, naona povu linakutoka. Mbona mwenyewe yuko kimyaa, unadhani hajaiona hiyo katuni!!!!
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.

Yaani mnataka watanzania wote kwa ujumla wao waanze kugombana na mchora kikaragosi mmoja.....
kwani kuna ubaya gani kiongozi akichorwa ..Mbona kipanya kila siku anachora .......sioni tofauti ya picha ya Gado na ya Kipanya .....kipanya yeye alichora Magufuli kakaa mezani .....kuna gazeti lina picha ya MV DARISALAMA ...kile kivuko cha kwenda POLE cha bagamoyo ambacho bei yake ni zaidi ya BOTI YA KIFAHARI ya AZAM ...yenye kubeba idadi hiyo hiyo ya watu ila ina uwezo wa kwenda Bagamoyo kwa dakika 40 tu...kitafsiri ya fasihi Ujumbe ni mmoja.....kuwa hata yeye ana majipu yake !!
 
nashangaa hivi ni kwa nini watanzania wana get emotional au kutokwa na povu, Magufuli akikosolewa? yaani watu wamekuwa na mihemko ya ajabu sana, kitu kama hiki mtu anakuja kulalamika rais anahujumiwa? anahujumiwa kwa kuchorwa katuni? Magufuli yupo perfect? Magufuli amefanya maamuzi mangapi yenye mapungufu, tangia alipokuwa rais (achilia mbali alipokuwa waziri) sasa amechorwa katuni unakuja kulalamika hivi?

huyu nae anamhujumu??
13102770_1050987328294507_4159556746248088152_n.jpg

1914486_10153998367259339_7421105697833280630_n-jpg.329925

hapa jf mtu ukimkosoa magufuli unashangaa unaanza kujibiwa na ishu za lowassa, dah huu ni upunguani kweli, kila anayemkosoa magufuli ni wa lowassa siku hizi
tumia kichwa kufikiri sio moyo

You are very right ..nchi hi ina watt wengi sana wenye mtindio wa ubongo ..unaotokana na lishe duni ..kama ripoti fulani siku za karibuni ilivyosema .....mimi nikiajiri mfanyakazi ambaye kila ninachofanya ana sifu tu ..nitamfukuza kazi kwa kuwa atakuwa ni mnafiki.......wakati najua mimi kama binadamu sitegemei kuwa sahihi kwenye kila kitu ...
 
Mleta mada naye ni jipu, baada ya kuleta hoja ya msingi kwanini mkuu amechorwa kama jipu ww unakuja kuongea pumba zako ambazo hazina mantiki yoyote. Kumbuka hata madaktari wanaowatibu wagonjwa kunauwezekano pia na wao wakapata maambukizi ya baadhi ya magonjwa.

Sidhani kama hizo hoja zako zina mashiko. magu anatambua kuna kazi ya kifalsafa kwa kupitia michoro,maneno,nyimbo,soga,ngano,hadithi nk ili kufikisha ujumbe. sasa wewe unakuza mambo na ujumbe ambao msanii alilokusudia kufijisha upo wazi ata report ya CAG ipo wazi na ni hoja ambazo zipo wazi na muhusika anahitaji kuangilia katika ofisi yake ya zamani.

swala la mchoro lisikuumize kichwa ata kipindi cha campaign tuliona vikatuni vingi kati ya lowassa na magu kipindi kile kwanini haukulalamika?!.

Pia nikukumbushi ata baadhi ya vitabu vya dini wao wenyewe kuna michoro walioweka kwenye vitabu vyao vikionyesha katuni za mitume na watakatifu mbona haukuandika hapa jukuani na kupinga.

Je kama ulijifunzia kupitia ujumbe wa michoro na vikatuni na ulielewa kwa nini hili la magu kuchorwa linakupa wasiwasu,kukera na kutokwa na mishipa na povu kwani magu ni zaidi ya watakatufu na nitume.

Kwani Magufuli baba yako, naona povu linakutoka. Mbona mwenyewe yuko kimyaa, unadhani hajaiona hiyo katuni!!!!

Yaani mnataka watanzania wote kwa ujumla wao waanze kugombana na mchora kikaragosi mmoja.....
kwani kuna ubaya gani kiongozi akichorwa ..Mbona kipanya kila siku anachora .......sioni tofauti ya picha ya Gado na ya Kipanya .....kipanya yeye alichora Magufuli kakaa mezani .....kuna gazeti lina picha ya MV DARISALAMA ...kile kivuko cha kwenda POLE cha bagamoyo ambacho bei yake ni zaidi ya BOTI YA KIFAHARI ya AZAM ...yenye kubeba idadi hiyo hiyo ya watu ila ina uwezo wa kwenda Bagamoyo kwa dakika 40 tu...kitafsiri ya fasihi Ujumbe ni mmoja.....kuwa hata yeye ana majipu yake !!

You are very right ..nchi hi ina watt wengi sana wenye mtindio wa ubongo ..unaotokana na lishe duni ..kama ripoti fulani siku za karibuni ilivyosema .....mimi nikiajiri mfanyakazi ambaye kila ninachofanya ana sifu tu ..nitamfukuza kazi kwa kuwa atakuwa ni mnafiki.......wakati najua mimi kama binadamu sitegemei kuwa sahihi kwenye kila kitu ...
Vijana naona Rais JPM anawachanganya sana nadhani atakuwa Rais JPM ameshawapitia na nafikiri hata nyie mnaweza kuwa kama yule mkorea aliepandikizwa na mmarekani ili a spy korea kaskazini na akakakamatwa.
Huyu Gado wa DW aliechora huo ujinga ni mtanzania lakini hata Nation Media ya Kenya ili mfukuza kwa ujinga kama huo.
Vijana wadogo mnaakili kama mmeachika hamjui hata hatma ya nchi yenu.
Akili zenu fupi hamuwezi kujua ukweli kwenye huo mchoro.
Nendeni kwenye kurasa ya DW muangalie hiyo taarifa ndio mtaujua ukweli sio mmejaa ushabiki
 
Kwani kuitwa jipu ni udhalilishaji? Mbona wengine mnawaita majipu na huku mkifurahi majukwaani. Kama kuitwa jipu ni fedheha basi tafuteni lugha nyingine badala ya hiyo jipu. Na pia mtu kuitwajipu ni lazima aanzie ama ashie level ipi ya kiutendaji?
 
nonesense. kwanza hiyo sheria MBOVU juzi juzi hapa imetukoshesha trillioni 1 za bure
Wewe! Hazikuwa pesa za bure, kuna watu wataalam walifanya ya kutafiti na kuandika pendekezo la kiufundi! Kwa fikra hizi haishangazi kuona Watanzania wa iana yako wakifuja pesa za miradi ya maendeleo.
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
To hell with Godfrey Mwampembwa
 
Back
Top Bottom