Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

Nimeshindwa kuku-quote, Isaya Nehemia, umeniquote vibaya mpaka hau-quote-iki.

Baki na mtazamo wako nami nibaki na wangu, ila jaribu kuelewa kuwa waziri sio leo analala anapata wazo kesho anaenda litekeleza, LAZIMA lipitie baraza la mawaziri. Naongelea miradi mikubwa, suala la lowasa lazima lendelee kushikiwa bango maana hao kina mbowe hawajamsafisha hadharani, walimwita fisadi na walisema ushahidi wanao.
Kama ni kuamua nani wa kumuamini kuwa ndio mmiliki wa richmond, na JK pia alisema mmiliki wa richmond ni Lowassa pale Mwanza.
Mbona yenyewe unaitoa kwenye Baraza la mawaziri? Mimi cpendi kila mtu abaki na msimamo wake, umesema mkataba mkubwa lazima ujadiliwe na kupitishwa na Baraza la mawaziri, kwa hiyo Baraza lilikaa kujadili na kupitisha kampuni ya Lowasa? Basi tutoke huko, je, na yale mabilioni zaidi ya 200 yaliyokaa vibaya kwenye wizara yake kwenye repoti ya CAG nayo ni Baraza la mawaziri ndo inahusika?
 
nashangaa hivi ni kwa nini watanzania wana get emotional au kutokwa na povu, Magufuli akikosolewa? yaani watu wamekuwa na mihemko ya ajabu sana, kitu kama hiki mtu anakuja kulalamika rais anahujumiwa? anahujumiwa kwa kuchorwa katuni? Magufuli yupo perfect? Magufuli amefanya maamuzi mangapi yenye mapungufu, tangia alipokuwa rais (achilia mbali alipokuwa waziri) sasa amechorwa katuni unakuja kulalamika hivi?

huyu nae anamhujumu??
13102770_1050987328294507_4159556746248088152_n.jpg

1914486_10153998367259339_7421105697833280630_n-jpg.329925

hapa jf mtu ukimkosoa magufuli unashangaa unaanza kujibiwa na ishu za lowassa, dah huu ni upunguani kweli, kila anayemkosoa magufuli ni wa lowassa siku hizi
tumia kichwa kufikiri sio moyo
mie muda mwingine mpaka naogopa kukosoa,tena nahisi hawa waimba mapambio ukikutana nao wanaweza hata kukuua!t
 
Kama huyo ni kweli JPM kuna haja ya sisi kuungana kukukemea kwa kuwasaidia DW kumdhalilisha rais wetu. Kwa nini uisambaze? TCRA wanatakiwa wakumulike kwa karibu
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Kwa hiyo kila aliyeunga upinzani ni adui na si mzalendo? Kuna watanzania milioni sita na zaidi waliunga upinzani sasa sijui tuwapeleke wapi!
 
Mbona yenyewe unaitoa kwenye Baraza la mawaziri? Mimi cpendi kila mtu abaki na msimamo wake, umesema mkataba mkubwa lazima ujadiliwe na kupitishwa na Baraza la mawaziri, kwa hiyo Baraza lilikaa kujadili na kupitisha kampuni ya Lowasa? Basi tutoke huko, je, na yale mabilioni zaidi ya 200 yaliyokaa vibaya kwenye wizara yake kwenye repoti ya CAG nayo ni Baraza la mawaziri ndo inahusika?
Tatizo hujui hata richmond ni nini, umekaririshwa tu na mbowe nawe umeingia kichwa, kifua na fumbatio.
Cha msingi Wewe jua kuwa JPM sio fisadi. Ana mapungufu mengine ila sio ya ufisadi. Richmond ni kampuni hewa iliyotengenezwa huko Us ili kupiga hela. JK amewahi sema alishirikiana na mawaziri wake hatua za mwanzo na kutoa go ahead ya kutafuta kampuni ya kufua umeme, baada ya hapo akaachiwa waziri mkuu, waziri mkuu akaja na richmond. Stori ianzie hapo, yeye alikuwa ni waziri mkuu, katafute kazi na majukumu ya waziri mkuu ni yapi, kinachofanya isemekane ni kampuni yake ni signatories zinazomuhusisha yeye indirectly ambazo ni tata. Rejea Dr. slaa na hoja yake siku anasema anaachana na siasa za vyama.
Suala la CAG, ni lini na wapi hiyo taarifa ilisema JPM kanufaika nayo directly au indirectly?? Hapo ni corrupted system tu.
 
Wanaposema yeye ni jipu wawe specific ni wapi kabugi, kusema tu ni jipu ni ubwegghe!

nasubiri nione atajibuje?
 
Kwa hiyo kila aliyeunga upinzani ni adui na si mzalendo? Kuna watanzania milioni sita na zaidi waliunga upinzani sasa sijui tuwapeleke wapi!
nasubiri akujibu,hili nitajua pakuwapeleka ndugu zangu walioichagua chadema!
Tatizo hujui hata richmond ni nini, umekaririshwa tu na mbowe nawe umeingia kichwa, kifua na fumbatio.
Cha msingi Wewe jua kuwa JPM sio fisadi. Ana mapungufu mengine ila sio ya ufisadi. Richmond ni kampuni hewa iliyotengenezwa huko Us ili kupiga hela. JK amewahi sema alishirikiana na mawaziri wake hatua za mwanzo na kutoa go ahead ya kutafuta kampuni ya kufua umeme, baada ya hapo akaachiwa waziri mkuu, waziri mkuu akaja na richmond. Stori ianzie hapo, yeye alikuwa ni waziri mkuu, katafute kazi na majukumu ya waziri mkuu ni yapi, kinachofanya isemekane ni kampuni yake ni signatories zinazomuhusisha yeye indirectly ambazo ni tata. Rejea Dr. slaa na hoja yake siku anasema anaachana na siasa za vyama.
Suala la CAG, ni lini na wapi hiyo taarifa ilisema JPM kanufaika nayo directly au indirectly?? Hapo ni corrupted system tu.
naona unazidi kuamisha magoli,ahahaha
 
Mkuu DW siku zote wana mambo ya kijinga sana kwa kuagizwa na nchi yao kuleta uchochezi nchi mbalimbali,lauini hawawezi kwa propaganda za kitoto wanazofanya. Watanzania ndo tunauelewa ukweli wa viongozi wetu na utendaji kazi wao. Salma baada ya kujiteka akishirikiana na wanaharakati wenzake movie yao ilionekana kuwa na mashiko na hatimaye ikafa kifo cha panya alokula sumu. Haya yote ni kwa kuwa Mungu yu pamoja na Taifa hili.
Nasubiri ujerumani waje na kikombe kama mzee wa Dodoma pale kwenye mataa. Nitafurahije???
 
Sisi wa zanzibar tuliowengi hatuna imaninae wa Tanganyika muliuona uchaguzi wamarudio na muliona mahudhurio ya wapiga kura naona mumenyamaza kimya au mumeambizana
 
YOTE KWA YOTE, JPM ni binadamu, ana mapungufu yake ila sio ya ufisadi. Mpaka sasa rekodi yake ni safi.
Wa kumkosoa, timizeni wajibi wenu ila mtumie na akili pia.
JPM ndo rais wenu wa miaka 10 mpaka 2025, kwa neema za Mungu.
 
Sisi wa zanzibar tuliowengi hatuna imaninae wa Tanganyika muliuona uchaguzi wamarudio na muliona mahudhurio ya wapiga kura naona mumenyamaza kimya au mumeambizana
Andika tu kiarabu, kuna mtu atakuelewa na kutafsiri humu.
Wiki ilopita nimeongea na mzenji, kasema jamaa anakubalika balaa huko kwa jitihada zake za kurudisha nidhamu kwa watumishi wa umma.
 
In fact huu ni upuuzi kabisa. Na hawa watanzania wanaoshabikia ujinga wa DW nao tuwapime IQ.
 
Kijana wa mizuka na mihemko watanzania hatuungi mkono western media na wala atuungi mkono hyo malaika au mtakatifu wenu awe miongoni mwa majipu ili hali anatijitapa yeye ni mtumbua majipu wakati yeye ni jipu uchungu. tena jipu liliota katikati ya mapaja.
Acha kukalili kijana na misemo yako kama unaimba mipasho.
Wewe ni moja kati ya watanzania wasiojua nini wanataka, JK mlisema sana kwa aliyofanya ni sawa. Lakini kwa JPM hakuna kubwa baya alilofanya hadi kuchorwa namna ile kwa chombo cha habar kikubwa kama DW kinachotazamwa na nchi nyingi duniani, mi naita udhalilishaji kwa Raisi wetu aliyejitolea kuiweka sawa hii inchi. Tusimuhukumu JPM kwa yaliyopita kwa kuwa hakuwa na amri, nafikiri kwa sasa tumuunge mkono ili kumtia moyo apate ujasiri kuliko kuanza kuiga huu ujinga wa western media na propaganda zao ambao wao siku zote wanaripoti mabaya kuhusu afrika
 
Unatakiwa uwe unashirikisha na akili yako unapojibu hoja.
Unajua kuwa DW ni idhaa ya kiswahili ya habari kutoka ujerumani unajua ni nchi ngapi zinafatilia habar zao. Uoni kama huu ni udhalilishaji hata kwa watanzania wenyewe.
Unatakiwa uache kuleta ujuaji kujaribu kutetea vitu vinavyodhalilisha nchi.
Raisi Magufuli anawakilisha nchi ya Tanzania na sijaona kama baya alilofanya hadi wamchore hio katuni kiasi hicho.
Alinunua meli Chakavu ya 1970s kwa Tsh 7.9 bln. kisha Inspection and acceptance ripoti haijulikani ilipo.

Alikurupuka kutaifisha Samaki za wavuvi wa kigeni baharini, kisha Serikali kulipa fidia.

Aliuza nyumba za umma kwa bei chee.

Anahamisha mafungu ya fedha za umma yaliyopitishwa na Bunge kisha kuyapeleka Wizara aliyokuwa zamani. (jipu a.k.a conflict of Interest).

Hataki kukubali kwamba Tanroads na Wizara ya Ujenzi kuna Majipu kwa mujibu wa Ripoti ya CAG.

Anabariki uvunjanji wa Sheria, kanuni na taratibu za Utumishi wa umma kwa kufukuza fukuza watumishi bila mpangilio, kwa jina la Majipu, huku akiwaacha kina Chenge wa Escrow, Mhungo wa Escrow, Kitwanga wa Lugumi, Habindah wa Escrow, Mwakyembe aliyekuwa Bandari iliyopoteza makontena na Meli, Kinana wa meno ya Tembo. (JIPU A.K.A Double Standards)
 
Back
Top Bottom