mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
- Thread starter
- #21
Watu msiwe na akili fupi namna hiyo, leo mnaunga mkono western media kwa kumdhalilisha Raisi namna hiyo.
Sio kila mtu ni CCM anapowakilisha mada inayodhalilisha nchi na wananchi wake.
Raisi awezi kumaliza mambo yote kwa mwaka moja adi wa mchore namna hiyo. Mnatakiwa mjikomboe na mawazo mgando ya mda wote kuwaza upinzani. Mjifunze kujivunia kidogo mlichonacho