mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
- Thread starter
- #121
Hauwezi kunielewa kamwe na akili zako fupi, vikaragosi vya wafaransa kwa mtume muhhamad nimekupa mfano ili uelewe nini namaanisha lakini kwa akili zako fupi umetafsiri kwa unavyojua na kusema namfananisha Rais Magufuli na MUNGU.akili zangu fupi?
hahaaaa, nilikuambia unatumia mihemko unabisha, sasa Magufuli ndio unamfananisha na mtume Muhammad?
yaabi kumchora magufuli kama katuni ni kumdhalilisha? wakati wa kampeni alikuwa hachorwi?
na ukimchora ni kwamba unapinga kila kitu??
mara ngapi kipanya ana mchora kwa nini wasimzuie kama kuchorwa hakuruhusiwi?
Wanasiasa wangapi wenye nguvu wanachorwa na media? au wewe siasa umeanza kuzifuatilia 2015?
ushamuona magufuli ni mungu wako mapema yote hii kiasi kwamba akichorwa unatokwa na mapovu mengi kiasi hiki halafu unajiita una upeo mkubwa? kazi kweli
Kitu ambacho haujakielewa sio lazima ujibu.
Unajua hata kwa kanali Gadafi hizo western media ziliaminisha dunia kwamba Gadafi hafai kwa propaganda zao.
Penda kujifunza kitu usichokijua kuliko kuleta ujuaji na akili zako fupi