Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

mbona unatumia neno kumdhalilisha mkuu, mtu ukikosolewa hujadhalilishwa
pale ni kama mtu anavyofanya makala tu, yeye akatumia mchoro

hii ni dunia ya free media mkuu, mhariri ana haki ya kutoa maoni yake ili mradi hajavunja sheria yoyote ile kama uchochezi, na ile DW Swahili ni kwa ajili ya watu wa ukanda huu,

mbona akina Kagame, Zuma, Mswati, Obama n.k wanakosolewa sana na international media
Ndiyo hiyo katuni ina mdhalilisha na pia ina mhujum Rais JPM,
mana tayar western country zimeshaona maslai yao yameguswa kwa namna moja au nyingine na ndio mana wameanza fitna kwa propaganda zao ili kuiaminisha dunia kwamba Rais JPM anakosea kwa hatua anazochukua, nchi nyingine kama Japan, Urusi n.k zimeona lengo lake ndio mana zinampa support kwa namna tofauti ili aweze kusonga mbele, tuliona U.S.A walianza na MCC sasa wanatumia media zao.
Pia kijana unatakiwa ujue kwamba western media lengo ni kureport negative issue kuhusu africa na ndio mana tunaona walivyomuandana Mugabe.
Sasa huyu Gado ni mtanzania mwenzetu siwezi kumuacha aendelee na uo ujinga wa kumdhalilisha na kumhujum Raisi kwa kutumiwa na western media kama DW.
Leo wameanza na hilo hatujui kesho watareport nini kuhusu mambo anayoyafanya Rais wetu na ndio mana watanzania tunatakiwa tukemee huu ujinga unaofanywa kwa kisingizio cha uhuru wa habar waliouanzisha wao wenyewe na badae wakaamia kwenye uhuru wa ndoa za jinsia moja.
Amka kijana acha kulaza akili namna hiyo.
 
Baba yako au mama yako au wewe binafsi ungepata moja ya hizo nyumba ungeandika haya uliyoyaandika??
Hizo nyumba ziliwafaidisha wa TZ wenzetu au mataifa ya nje?
Queen Esther

alikubali kufanya jambo lisilo na tija kwa taifa kwani ni lazima angebakia kuwa wazir asie na msaada kwa wakat huo kuliko kushirik uovu? tayat cv ina doa.
 
Ndiyo hiyo katuni ina mdhalilisha na pia ina mhujum Rais JPM,
mana tayar western country zimeshaona maslai yao yameguswa kwa namna moja au nyingine na ndio mana wameanza fitna kwa propaganda zao ili kuiaminisha dunia kwamba Rais JPM anakosea kwa hatua anazochukua, nchi nyingine kama Japan, Urusi n.k zimeona lengo lake ndio mana zinampa support kwa namna tofauti ili aweze kusonga mbele, tuliona U.S.A walianza na MCC sasa wanatumia media zao.
Pia kijana unatakiwa ujue kwamba western media lengo ni kureport negative issue kuhusu africa na ndio mana tunaona walivyomuandana Mugabe.
Sasa huyu Gado ni mtanzania mwenzetu siwezi kumuacha aendelee na uo ujinga wa kumdhalilisha na kumhujum Raisi kwa kutumiwa na western media kama DW.
Leo wameanza na hilo hatujui kesho watareport nini kuhusu mambo anayoyafanya Rais wetu na ndio mana watanzania tunatakiwa tukemee huu ujinga unaofanywa kwa kisingizio cha uhuru wa habar waliouanzisha wao wenyewe na badae wakaamia kwenye uhuru wa ndoa za jinsia moja.
Amka kijana acha kulaza akili namna hiyo.
naona tupo far apart kwenye huu mjadala, anyway amini unachoamini maana hutaki hata kuwleweshwa..bye
 
Baba yako au mama yako au wewe binafsi ungepata moja ya hizo nyumba ungeandika haya uliyoyaandika??
Hizo nyumba ziliwafaidisha wa TZ wenzetu au mataifa ya nje?
Queen Esther

kwani anavyotumbua majipu ni kwa kuwa baba yake au mama yake hawakupata nafas ya kuiba wangeiba angakuwa anafurahia wezi alooo umetisha. na unafurahia kwa kuwa baba yako na familia yako mmepata mali haramu.
 
Kuna ndg mmoja kwenye maandiko alimuona baba yake amelewa yuko uchi, akacheka na akaenda kuwaita ndg zake waone sinema ya bure. Wale ndg zake wakachukua nguo wakaenda kinyumenyume wakamfunika baba yao. Baba alipoamka akamlaani yule aliyemcheka na kuwabariki waliomhifadhi.

Tunapozungumzia kuheshimu mamlaka ni vizuri ukaelewa jambo hilo kwa faida yako na uzao wako.

Queen Esther

Magufuli hakosolewi?
ni mungu?
 
Somo la "critical analysis" linahitajika sana kufundishwa.

Queen Esther

kwani anavyotumbua majipu ni kwa kuwa baba yake au mama yake hawakupata nafas ya kuiba wangeiba angakuwa anafurahia wezi alooo umetisha. na unafurahia kwa kuwa baba yako na familia yako mmepata mali haramu.
 
Haujaelewa na ndio mana unatetea huo ujinga wa DW na huyo Gado mchoraji ndio mana nakwambia akili zako fupi sana kijana.
DW sio local media kama unavyofikiria jambo lolote watalopost lazima litakuwa na impact kubwa duniani na kama unaweza itafute hiyo taarifa ya DW iliyomchora Rais wetu JPM utaona matokeo yake.
Penda kujifunza kitu usichokijua kijana itakusaidia sana
kijana kwa unachowaza na kuongea hapa ni kama mtu aliepanic na hofu kubwa. kwani ni dhambi kwa rais kukosolewa ata kimataifa? mbona nyinyi wafuasi wa malaika mnakuwa waoga kukosolewa kwenye vyombo vya habari mpaka bunge la kiccm likifungiwa gizani kisa kukosolewa.
Mwenye akili fupi ni wewe, sad enough hupendi hata kujifunza
katuni ya mtume na katuni ya magufuli wapi na wapi?
hivi unajua maana ya katuni na lengo lake ni nini?
hebu nenda kasome kabla ya kuja kupost upuuzi wako hapa
 
Mitindo huru, katuni hii inaweza kuwa na maana nyingi. Mojawapo labda ni kumkumbusha/kumtaarifu Magufuri kwamba inabidi aanze kwanza kuyatumbua majipu aliyonayo karibu zaidi kabla ya kuyafuata yaliyopo mbali ( aanze na ya Ikulu, Wizara aliyokuwa akiiongoza kabla ya uchaguzi etc)

Hakuna anayemhujumu hapa.
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Nisaidie umejuaje kuwa huyo aliyechorwa ni rais wetu?
 
naona tupo far apart kwenye huu mjadala, anyway amini unachoamini maana hutaki hata kuwleweshwa..bye
Mjadala upo wazi kijana, ila kwa akili zako fupi umeshindwa kuelewa.
Usipende kushikiwa masikio na western media ukadhani kila wanachofanya ni sawa.
Wanapotoa taarifa nzur tuwaunge mkono na pia wanapokosea tuwakosoe hasa kwa mustakabali wa taifa letu.
Rais JPM kajitolea kuinyosha hii nchi watu mnabuni ujinga kutaka kumrudisha nyuma, tunajua nae hajakamilika kibinadam lakini sio kufikia hatua ya kumchora kwa namna ile.
 
Hivi waziri wa Ujenzi ,Nyumba na makazi ana mamlaka ya kuuza nyumba ya serikali kweli?....Utasema mbona hata sakata la samaki alitia hasara serikali....!!! Ukweli ni kuwa wanasheria wa serikali ndiyo walihujumu kesi ya samaki kiasi cha serikali kushindwa. Nikwamba meli iliyokuwa nafanya uvuvi haramu ilikuwa na makosa ya kimashitaka 19. wanasheria na DDP wakapeleka shitaka moja mahakamani; Mh. Waziri wakati huo (Magufuli) akalalamika kwa Mwanasheria/Jaji juu ya kupeleka mshitaka machache huku wakiacha mashitaka muhimu ya kuwatia hatiani watuhumiwa...wakapeleka mashtaka matatu...na bado yale ya kuwatia hatiani watuhumia hayakupelekwa...katika hali hiyo Waziri (wakati huo Magufuli) angefanya nini?

Magufuli kwanini hakujiuzulu uwaziri kama hakukubaliana na sera mbovu ya uuzwaji nyumba?means alikuwabalianna na maamuzi/ushauri wa mabosi zake sumaye
 
Mjadala upo wazi kijana, ila kwa akili zako fupi umeshindwa kuelewa.
Usipende kushikiwa masikio na western media ukadhani kila wanachofanya ni sawa.
Wanapotoa taarifa nzur tuwaunge mkono na pia wanapokosea tuwakosoe hasa kwa mustakabali wa taifa letu.
Rais JPM kajitolea kuinyosha hii nchi watu mnabuni ujinga kutaka kumrudisha nyuma, tunajua nae hajakamilika kibinadam lakini sio kufikia hatua ya kumchora kwa namna ile.
kijana mbona unaishi kwa nadharia,mihemko na mizuka. hyo rais wako ni nani asikosolewa kwa kupitia western media. acheni kutudanganya na kutufundisha woga kwa hoja dhaifu namna hii. kiongozi bora ni yule anaekubali kusifiwa na kukosolewa pale panapokuwa sio sawa. iwe kwa western media au local media ni lazima akosolewe tu. hizo akili zenu za kimihemko zinaashiria ni akili za kushikiwa.
 
kijana kwa unachowaza na kuongea hapa ni kama mtu aliepanic na hofu kubwa. kwani ni dhambi kwa rais kukosolewa ata kimataifa? mbona nyinyi wafuasi wa malaika mnakuwa waoga kukosolewa kwenye vyombo vya habari mpaka bunge la kiccm likifungiwa gizani kisa kukosolewa.
Kijana acha ushabiki, hakuna mtu aliye panic au kuwa na hofu.
Wenye hofu ni hao DW na nchi zao waliomchora wakihofu Rais JPM ataendelea kutibua maslah yao Tanzania na afrika.
Naona ni kama umeshiba elimu ya mkoloni hadi umevimbiwa kiasi kwamba haujali chochote kuhusu nchi yako.
Jitambue kijana
 
nchi za magharibi tushazizoea,wakishaona raisi haendani na sera zao watatafuta tuu pakumkosoa.........hata kumuondoa madarakani...
kwa sasa nchi za magharibi lazima zimpinge magufuli maana hayupo karibu na nchi hizo badala yake miradi mingi na ushirikiano mkubwa anafanya na nchi pinzani na magharibi kama china,ambao ni mshindi mkubwa wa nchi za magharibi
 
Kijana acha ushabiki, hakuna mtu aliye panic au kuwa na hofu.
Wenye hofu ni hao DW na nchi zao waliomchora wakihofu Rais JPM ataendelea kutibua maslah yao Tanzania na afrika.
Naona ni kama umeshiba elimu ya mkoloni hadi umevimbiwa kiasi kwamba haujali chochote kuhusu nchi yako.
Jitambue kijana
Kijana usipende kuishi kimazoea na elimu yako ya kukaririsha kuwa mkoloni ni lazima atoke western countries na ni adui wa mtu mweusi hili hali adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kwa ulafi wa madaraka na ubinafsi wa kulimbikiza mali isivyo halali.

Naomba nikuulize swali la msingi je kwa picha yako ulyopost ulijuaje ni rais wako ndio kachorwa. naomba unithibitishie pasipo na shaka.
 
kijana mbona unaishi kwa nadharia,mihemko na mizuka. hyo rais wako ni nani asikosolewa kwa kupitia western media. acheni kutudanganya na kutufundisha woga kwa hoja dhaifu namna hii. kiongozi bora ni yule anaekubali kusifiwa na kukosolewa pale panapokuwa sio sawa. iwe kwa western media au local media ni lazima akosolewe tu. hizo akili zenu za kimihemko zinaashiria ni akili za kushikiwa.
Acha kukalili mambo na misemo yako kama unaimba mipasho kijana, na ndio mana nakwambia akili yako fupi.
Kukosoa ni jambo jema sehem yeyote ili kuweza kujenga ila kama mtu anakosoa kwa kubomoa huyo ni lazima nae akosolewe pia
 
Kwa akili yako ndefu naomba unithibitishie kiashiria ya kuwa muandishi kakosoa kwa kubomoa. Hii ndio tatizo la akili za kushikiwa na kuimba mapambio.
 
Kijana usipende kuishi kimazoea na elimu yako ya kukaririsha kuwa mkoloni ni lazima atoke western countries na ni adui wa mtu mweusi hili hali adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kwa ulafi wa madaraka na ubinafsi wa kulimbikiza mali isivyo halali.

Naomba nikuulize swali la msingi je kwa picha yako ulyopost ulijuaje ni rais wako ndio kachorwa. naomba unithibitishie pasipo na shaka.
Nilifikiri najadili na mtu mwenye point kumbe wewe ni bure kabisa, kama haujaelewa kinachoendelea kwenye uo mchoro, rudi umalize usingizi naona ni kama umeshtuka usingizini
 
Tatizo lenu uvccm mnapenda kuexagurate vitu tofauti na halisi. kama wewe umekuwa shabiki wa mapambio usilazimishe watanzania nao wafuate huo mkondo. watanzania wanaojitambua wanapenda kuhoji, kutafakari na sio kwa habari za kimbea.
 
Back
Top Bottom