Acha ushirikina na imani za kupiga ramliHakujiudhuru/jiuzulu kwa sababu alikuwa na nia ya dhati ya kuja wakomboa watanzania baadaye...alitakiwa kubaki huko serikalini ili aweze kujua mfumo wa wizi na ufisadi unavyofanya kazi. Hivi unadhani kwa haraka haraka angejiudhuru muda huo angeweza kuja kutumbua majipi ya sasa bila kujua mifumo ya ufisadi imekaaje?
Hata hivyo mara kadhaa alionyesha kukerwa na maamuzi kandamizi na yawezekana kama angeondoka wakati huo uwenda mabaya ya kifisadi yangezidi zaidi ya hapo tulipofika 2015.
nikiona hivi najua umenielewa barabara. ...!Acha ushirikina na imani za kupiga ramli
Aliuza nyumba bei poa
1. Mkuu unaweza kunifafanulia utaratibu wa kununu kivuko hicho ulikuwaje, huku ukitaja washiriki na wajibu wao kwa kila hatua, na wakati?Kivuko cha Bagamoyo-Dar kiko wapi?
1. Mkuu unaweza kunifafanulia utaratibu wa kununu kivuko hicho ulikuwaje, huku ukitaja washiriki na wajibu wao kwa kila hatua, na wakati?
2.Unaweza kutupa pia kutueleza ripoti zote za CAG na PAC zilisemaje juu ya mchakato na uahalisia wa gharama zilizotumika kununua kivuko hicho?
===============
Ukitupatia maelezo haya tutakuwa tayari kujadili kwa kina suala hili la kivuko bila kuonea mtu. Ila kwa utaratibu huu wa kujadili bila nyaraka na takwimu muhimu tunaoneana!
We mpuuzi kweli..sumaye huyohuyo ndo wakati wa kampeni alikuwa anazunguka na ukawa akidai mafisadi wengi wapo ccm na kutanabaisha ufisadi wa huyo unayemtetea kuhusu kivuko & uuzwaji nyumba za serikali kwa bei chee tena kuwauzia mpaka wadogo zao...sasa hapo unataka tuamini kipi...?? Unataka tuamini clips zipi anazomtetea or anazomsiliba???or wewe clip ikimsiliba huyo jamaa akili yako huwa inaganda kama zezeta na masikio yanakuziba??Kama kukupa taarifa uliyoanza kui-quote wewe, basi acha povu litoke ili kukuokoa wewe mfu, Nimekwambia hali ilivyo na kasikilize hiyo clip ya sumaye na jaribu kidogo kuipa akili nafasi. Kuna KUSIKILIZA na KUSIKIA, nakushauri uisikilize.
View attachment 343829
Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.
Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.
Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.
Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.
Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.
Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Na nyingine wanasema aliwapa wasiostahili kama nduguze na mchpukoAliuza nyumba bei poa
Kivuko cha Bagamoyo-Dar kiko wapi?