kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,940
- 7,847
Akitia break tu tz anang'olewa kucha bila ganziAliyechora hii katuni ni Mbongo, tena Mnyakyusa wa Mbeya.
Akitia break tu tz anang'olewa kucha bila ganziAliyechora hii katuni ni Mbongo, tena Mnyakyusa wa Mbeya.
bunge letu limepoteza muelekeo lakini hatujafika huku. hii ni dhihaka kubwa na hapa imeonesha jinsi gani wenzetu wanavyo tuchukulia. watanzani tumekuwa watu wa kujipndekeza sana na kuwapamba wakenya lakini wao wana tukejeli kiasi hiki. naamini wakenya mametudhalilisha na wamedhalilisha bunge letu na wabunge wetu.
japo naamini kosa la mwandishi lisichukuliwe kama kosa la wakenya lakini hii ni fedheha sana kwa bunge letu.
![]()
Mwangalie Serukamba hiyo ndiyo maana na neno lake Bungeni
Godfrey MWAMPAMBA ni Mtanzania na Mnyakyusa pyua!
wadau heb angalia jinsi wakenya wanavyodhihaki bunge letu tukufu,
View attachment 92823
Mkuu unajitambua lakini au unasema tu kwa kuwa umebakia na tulichokuwa nacho zamani? Sasa hivi wenzetu wako mbali mno.Akili zako umeshikiwa na Wakenya?
Aliyechora hii katuni ni Mbongo, tena Mnyakyusa wa Mbeya.
Akitia break tu tz anang'olewa kucha bila ganzi
Amini amini nakuambia kuwa Shonza na Mwampamba SIYO Wanyakyusa kwa kabila na kwa matendo. Hawana yamini ya Kinyakyusa. Tafiti upya safari.
DUh!
sasa nimeelewa iyo picha.
Esp Serukamba peeing on ?Ndugai
And I can also see some couple in love with glasses of wine.... ndo kina nani tena?