Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

Meseji kubwa ninayoipata hapa ni kwamba wamechora Speaker amelala ndiyo maana Bungeni watu wanafujo kiasi hiki na kulifanya Bunge letu kukosa heshma mbona enzi za Sitta tulikuwa hatujawhi kusikia maneno kama Fakyuu, Mbwa nakadhalika? Ila wamtake radhi Speaker ina maana ana mdomo mbaya kiasi hiki?
Mdomo umechorwa mbaya kuonyesha anavyo waibu vibaya wabunge wa upinzani, kwa dharau na kebehi.
Picha imetulua.
 
hali halisi ndio ilivyo. 2nashindwa kujadili mambo ya msingi badala yake 2napigizana kelele zisizo namsingi. Aliyechora hajakosea.
 
Jamaa kafunguka kweli, kuna wanaochapa urabu, wapo wengine wanajiremba, wengine miguu juu ya meza, serukamba ndio kaua kabisa , ana......oa hadharani

Siyo tu ana.......oa hadharani bali ana.......olea kiti cha MH. SUPIKA, maana MH. SUPIKA mwenyewe yuko hoi kwa usingizi!!!!

Ila huyo jamaa kaua kila kitu, hivi kwanini Mr. Dhaifu asiamuru tuende kuwatia adabu hawa jamaa? Wamelidhalilisha BUNGE letu, yaani mpaka N.Y.U.P.I zinaanikwa ndani ya ukumbi wa BUNGE?!!! Wengine miguu juu ya meza, wengine ndo wanapeana miadi ya kwenda PUMZIKA GUEST HOUSE!!! ILA KUNA KA-UKWELI KWA MBALI!!!!!!!!!!!
 
MAKOFI KWA WAKENYA, SISI NI WAJINGA TUNASTAHILI HAYA! :clap2::clap2:
 
wakenya hawajadhihaki bunge wala nini. hiyo ndiyo hali halisi iliyoko bungeni Tanzania. Kwanza hata kuliita Bunge tukufu ni kama kuzalilisha UTUKUFU kama UTUKUFU. Naweza kuungana na msemaji aliyesema kuwa Tz hatuna Bunge bali kijiwe tu cha bunge.
 
attachment.php

Mwangalie Serukamba hiyo ndiyo maana na neno lake Bungeni

Hii ni aibu kubwa kwa bunge la nchi huru na yenye kujivunia amani. Sijui wabunge wetu mnaotuwakilisha mmeipokea vipi hii katuni na mmejifunza nini kutokana nayo?????
 
Nadhani hii sio dhihaka bali ndo ukweli wenyewe.hivi kwa hali ya bunge la sasa unaweza kusema tz tuna bunge?
 
nimemuona Jenusta Muhagama anajiangalia kwenye kioo,alafu Nchemba yupo chini chakari bia!
 
mh. seru-kamba walishaanza kumsema sema kuwa angeliweza kuwa PM ajaye lakini sina uhakika alipokuwa akitamka 'fu... you' alijua kuwa hii kauli ingelisambaa dunia nzima na kulibrand bunge letu tukufu kuwa si tukufu tena! Sasa hata wajukuu zake wataikutwa na si ajabu wakaogopa hata kujitambulisha kuwa ni wa uzao wake.
 
Hii ni aibu kubwa kwa bunge la nchi huru na yenye kujivunia amani. Sijui wabunge wetu mnaotuwakilisha mmeipokea vipi hii katuni na mmejifunza nini kutokana nayo?????
Watasema wamedhalilishwa wakati wanajidhalilisha wenyewe.
 
Wakenya gani si katuni ya GADO hii, ni kweli tupu tena afadhali yake yeye kachora hivyo tu na tafsida kibao sie ndio tunaona hao jamaa hakuna wanachokifanya huko zaidi ya kupoteza rasilimali za nchi hii. Hakuna CCM au wapinzani wote maganyaga!

Wakenya wangewachora ndio mngerusha ngumi kabisa.
 
huyu ni mtanzania anayeishi na kufanya kazi zake kenya,safi sana GADDO.ingekuwa hapa,ungesikia bungeni wanaomba mwongozo wa spika ili akamatwe. kwa media za kenya nyeusi ni nyeusi ,nyeupe ni nyeupe,siyo huku bongo amabpo habari zinapitiwa kwanza na watoa habari kabla ya kuchapishwa! shame on them!
 
bunge letu limepoteza muelekeo lakini hatujafika huku. hii ni dhihaka kubwa na hapa imeonesha jinsi gani wenzetu wanavyo tuchukulia. watanzani tumekuwa watu wa kujipndekeza sana na kuwapamba wakenya lakini wao wana tukejeli kiasi hiki. naamini wakenya mametudhalilisha na wamedhalilisha bunge letu na wabunge wetu.
japo naamini kosa la mwandishi lisichukuliwe kama kosa la wakenya lakini hii ni fedheha sana kwa bunge letu.
 
attachment.php

Mwangalie Serukamba hiyo ndiyo maana na neno lake Bungeni

Duh! Bi kiroboto kapiga usingizi kama kawaida yake huku wabunge wameanika bikini, skin tite, koschumu, Boxer, soksi,huku wengine wanapiga ulabu kwa raha zao. Ama kweli tafsiri inaonyesha kuwa Bunge la Tanzania ni sawa na DANGURO.
 
Back
Top Bottom