Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Sio kila mtu anaandaliwa kwa kusuguliwa kisimi....mwingine ukimgusa njia ya haja kubwa anawika kama kuku na ndo raha yake. Analowa vizuri na kuwa tayari kwa tendo






Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila mtu anaandaliwa kwa kusuguliwa kisimi....mwingine ukimgusa njia ya haja kubwa anawika kama kuku na ndo raha yake. Analowa vizuri na kuwa tayari kwa tendo






Ya??Haya mkuu nilipe hela tafadhali
Si mdomo umefanya ukadindisha ebooooYa??
Asante mkuu..😘😘😘
Kwangu ni kitu cha kawaida kwakuwa nimekulia mazingira inakofanyika lakini hakuna sehemu niliyosema naunga mkono. Hii ni mila ya baadhi ya makabila hapa nchini hivyo kwabaadhi ya mabinti hufikia hatua ya kutoroka na kwenda kufanyiwa au wengine huomba wenyewe wafanyiwe.
Tofauti ya zamani na sasa ni kwamba zamani binti alikatwa na sehemu ya kisimi kuondolewa, lakini siku hizi ni kuchanjwa tu hii huitwa kiccm (enzi za mzee wa msoga na ufisadi iliomekana jambo lolote la maana linaweza kufanywa kizembe na kusiwe na shida).
Ilikuwa nadra sana baada ya binti kukeketwa umkute anacheza ngoma ya asili (litungu) tena mchana wa jua kali kwani damu huvuja sana lakini kwasasa wanaume ndio hufanyiwa tohara asubuhi na mapema ili kabla ya jua kuwa kali wawe kivulini (nyumbani) ilhali kwa mabinti hufanyiwa kuanzia saa nne hadi mchana kulingana na idadi na eneo tukio linapofanyika.
Naomba nihitimishe kwakusema kuwa kwasasa madhara ya ukeketaji katika uhalisia wake ni madogo sana kuliko inavyoelezwa kwa vyombo vya habari. Kama nasema uongo nawaruhusu watafiti waingie kazini. Mchukue mwanamke aliyefanyiwa ukrketaji kuanzia 2000 kurudi nyumba na aliyefanyiwa kuanzia 2002 kuendelea kisha linganisha maumbile yao kwa kuzingatia mikato ya kisimi. Utagundua kabisa sikuhizi ni kama mabinti huenda eneo la tukio kutimiza mila na desturi na sio kukatwa sehemu zao. Zamani mwanamke anakaa ndani hata miezi miwili akiuguza kidonda wakati kwasasa baada ya wiki moja tu mabinti huanza kubananishwa uchochoroni au magetoni kwa wanaume.
Nimeandika matusi wanajf mnisamehe, kuna maneno ambayo nimelazimika kuyatumia ili nieleweke. Sio kwamba nafurahia lakini huo ndio uhalisia hasa kwa mila za kwetu wakurya (hasa wanyamongo) ila kwa koo zingine sina uelewa nako kwakuwa koo ya wanyamongo na watimbalu (wakira kwa mbali) huwa na tamaduni zinazoingiliana na hata maeneo yao yameendelea kidogo hii huwafanya kutotumia nguvu sana kwenye tohara.
Kwakuchomekea tu. Zamani kijana ili aonekane jasiri na ametimiza mila ilikuwa lazima atahiriwe kimila, wale waliotahitiwa hospitali ilifika mahali wakawa wanatengwa ama kutukanwa na wenzao wa rika sawa (saiga) na ilip3leka baadhi kurudiwa upya kutahiriwa na wazee. lakini siku hizi ni ngumu kukuta haya yakifanyika isipokuwa kwa kutaniana tu na ukimtukana mwenzako kwakuwa tu alitahiriwa hospitali utajuta.
Aisee!! Nisiseme sana. Mpaka stationary ilipotolewa hii kadi napafahamu.
jamii, itikadi, dini, mawazo au mtu anayetetea fgm kwa sababu yyte ile ni wakupingwa na kila mtuSwala la ukeketaji hata wamisionari walisalimu amri. Walishindwa kulitokomeza kabisa.
Kuna mengi sana nyuma ya ukeketaji. Ni ukatili kweli, ila utashangaa wakina mama pia wanataka ukeketaji uendelee. Katika baadhi ya makabila niliyotembelea kuhusu hili swala, wakina baba wakotayari kuachana nalo kuliko wakina mama. Ukiangalia ukeketaji kama mila, kiimani, kiuchumi na ngazi ya kimamlaka kwenye jamii, utaona mengi.
Kule Dodoma kuna makabila yanaamini usipomkeketa mtoto kabla hajafikisha umri wa miaka mitano atakufa kwa ugonjwa wa lawalawa. Na kuna wanaotoa ushuhuda kabisa. Lazima kuna sababu nyingine ila niimani yao. Mpaka nikajiuliza kama kuna tafiti za kisayansi zimefanyika kwenye hili ila sijakutana nazo bado, kama zipo.
Ndani ya miaka zaidi ya miwili nimekuwa nikifuatilia hili swala kwa Tanzania, nimejifunza mengi. Ila mwisho wa siku lina madhara makubwa sana ya kimwili na kisaikolojia pia.
unaweza kuwasaidia polisi kwa siri. polisi walioko humu kadi ina jina na namba za simu please act upon hizi mila potofu zinatakiwa kuisha


mkuu hili jambo sio siri. Kadi kama hizo husambazwa na hao mabinti hupita barabara kuuKuna wakati inabidi uelewe kwa nini mwenzako anamtazamo tofauti. Ukishaelewa upande wake, ni rahisi kufahamu jinsi utakavyomvuta akubaliane na mtazamo wako.jamii, itikadi, dini, mawazo au mtu anayetetea fgm kwa sababu yyte ile ni wakupingwa na kila mtu
Sawa. Nimekuelewa msemaji wangu.Mzee acha kuruka ruka. Comment yako ipo wazi kwamba unasupport hilo jambo.
Suala la binti kutahiriwa ni jambo jema na lenye kufaa, ila siyo lazima na lina faida kubwa sana kwao.
Tatizo hawa wetu wanafyeka kabisa kitu ambacho si sawa. Ama kuhusu kupata raha hao walio fyekwa wanapata raha tena sana (Hili halina shaka kabisa).
Ahsanteni.




Atahisi unamchunguliaga yeye ili kujifunza haya mambo
Kwakua maumbile ya nunu ni kama mpasuko, basi pale huwa panafunikwa na mashavu ya nunu....
Samahani mkuu, Misijui bana wife asije akanikuta hapa bure...
![]()
View attachment 1646303
Kuna aina nne za ukeketaji
1. Wanaoondoa kisimi pekee (kuna baadhi ya makabila ya Dodoma ambayo hutumia hii)
2. Wanaoondoa kisimi na labia ndogo (baadhi ya makabila ya kaskazini - Mara, Arusha, Manyara)
3. Wanaoondoa kisimi, labia kubwa na ndogo
4. Wanaoondoa kisimi, labia kubwa na ndogo, kisha kushona uke. (Haya zaidi ni makabila ya Somalia na Ethiopia)
Aina zote hizi zina madhara mbalimbali na kwa viwango tofauti. Hiyo ya nne, uke hufunguliwa pindi utakapofanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza na mumewe. Ukiwa na mume katili, anaruhusiwa kushona tena akienda safari ambayo atakaa muda mrefu.
Tanzania bado tuna Safari ndefu Yani mtu kuharibiwa viungo vyako unaona heshima but wanaoamini hayo mambo wako huko kijijini na hawasafiri Ila wanaokuja huku mjini wanapata saikolojiko effects wallah, uchi tu wenyewe unatisha sasa ukikatwa hvo vya ndani ni shida




Eti uchi unatisha,kumbe hata nyinyi wenyewe huwa mnajiogopa mkiangalia?Hakuna nilipo tetea mila yoyote.
Watu wa mila wao wana kosea ila jambo la kutahiri wanawake lipo ila inakatwa sehemu ndogo sana kwa lengo maalumu siyo hawa wanao kata kabisa.
Asilimia kubwa ya wanawake wa Kiarab wanakatwa visimi kwa sababu ni jadi yao.kuhusu waarabu sio kweli
Oh! Pole zao jamani, kuna raha yake kukiwasha kwenye mwanga.