Katu usimkekete binti yako...

Katu usimkekete binti yako...

Ni kweli wanauelewa mdogo. Elimu ni muhimu.
Ila pia inabidi tutambue jinsi baadhi ya jamii zinazokeketa zinavyompa daraja la juu mwanamke aliyekeketwa. Tukumbuke kuwa jamii nyingi nchini hazitoi utambuzi wa mchango wa mwanamke hasa kwenye madaraja ya juu ya jamii hizo. Kuna fursa na "heshima" inayokuja na mila hiyo, kuna nafasi ya kipekee na kimamlaka anayopewa ngariba, utambuzi anaopewa mzazi/wazazi kwa kutimiza mila hiyo, heshima anayopewa binti pamoja na fursa zinazoambatana na daraja jipya..Hizi zote zinachangia wanawake kuendelea kukubaliana na hii mila. Halafu swala kubwa ni kutengwa na jamii yako...hili ni gumu sana.

Kuna mengi ningeandika ila kuelezea upana na kina cha hili suala. Sio rahisi kufutika ila inabidi tulibadilishe. Kuna ambao wamejaribu kuanzisha tohara mbadala Mikoa ya Mara na Manyara...yaani mila inazingatiwa ila binti hakatwi. Bado kuna ugumu wa kukubalika mia kwa mia japo kuna baadhi ya familia wameridhia.
Tanzania bado tuna Safari ndefu Yani mtu kuharibiwa viungo vyako unaona heshima but wanaoamini hayo mambo wako huko kijijini na hawasafiri Ila wanaokuja huku mjini wanapata saikolojiko effects wallah, uchi tu wenyewe unatisha sasa ukikatwa hvo vya ndani ni shida
 
Kwangu ni kitu cha kawaida kwakuwa nimekulia mazingira inakofanyika lakini hakuna sehemu niliyosema naunga mkono. Hii ni mila ya baadhi ya makabila hapa nchini hivyo kwabaadhi ya mabinti hufikia hatua ya kutoroka na kwenda kufanyiwa au wengine huomba wenyewe wafanyiwe.

Tofauti ya zamani na sasa ni kwamba zamani binti alikatwa na sehemu ya kisimi kuondolewa, lakini siku hizi ni kuchanjwa tu hii huitwa kiccm (enzi za mzee wa msoga na ufisadi iliomekana jambo lolote la maana linaweza kufanywa kizembe na kusiwe na shida).

Ilikuwa nadra sana baada ya binti kukeketwa umkute anacheza ngoma ya asili (litungu) tena mchana wa jua kali kwani damu huvuja sana lakini kwasasa wanaume ndio hufanyiwa tohara asubuhi na mapema ili kabla ya jua kuwa kali wawe kivulini (nyumbani) ilhali kwa mabinti hufanyiwa kuanzia saa nne hadi mchana kulingana na idadi na eneo tukio linapofanyika.

Naomba nihitimishe kwakusema kuwa kwasasa madhara ya ukeketaji katika uhalisia wake ni madogo sana kuliko inavyoelezwa kwa vyombo vya habari. Kama nasema uongo nawaruhusu watafiti waingie kazini. Mchukue mwanamke aliyefanyiwa ukrketaji kuanzia 2000 kurudi nyumba na aliyefanyiwa kuanzia 2002 kuendelea kisha linganisha maumbile yao kwa kuzingatia mikato ya kisimi. Utagundua kabisa sikuhizi ni kama mabinti huenda eneo la tukio kutimiza mila na desturi na sio kukatwa sehemu zao. Zamani mwanamke anakaa ndani hata miezi miwili akiuguza kidonda wakati kwasasa baada ya wiki moja tu mabinti huanza kubananishwa uchochoroni au magetoni kwa wanaume.

Nimeandika matusi wanajf mnisamehe, kuna maneno ambayo nimelazimika kuyatumia ili nieleweke. Sio kwamba nafurahia lakini huo ndio uhalisia hasa kwa mila za kwetu wakurya (hasa wanyamongo) ila kwa koo zingine sina uelewa nako kwakuwa koo ya wanyamongo na watimbalu (wakira kwa mbali) huwa na tamaduni zinazoingiliana na hata maeneo yao yameendelea kidogo hii huwafanya kutotumia nguvu sana kwenye tohara.

Kwakuchomekea tu. Zamani kijana ili aonekane jasiri na ametimiza mila ilikuwa lazima atahiriwe kimila, wale waliotahitiwa hospitali ilifika mahali wakawa wanatengwa ama kutukanwa na wenzao wa rika sawa (saiga) na ilip3leka baadhi kurudiwa upya kutahiriwa na wazee. lakini siku hizi ni ngumu kukuta haya yakifanyika isipokuwa kwa kutaniana tu na ukimtukana mwenzako kwakuwa tu alitahiriwa hospitali utajuta.
Haya.....
 
Suala la binti kutahiriwa ni jambo jema na lenye kufaa, ila siyo lazima na lina faida kubwa sana kwao.

Tatizo hawa wetu wanafyeka kabisa kitu ambacho si sawa. Ama kuhusu kupata raha hao walio fyekwa wanapata raha tena sana (Hili halina shaka kabisa).

Ahsanteni.
Eeeeeh... Nawewe unatetea mila za kipuuzi namna hii
 
Blaza nakuung mkono asilimia mia na tano
Hili la kutofeel raha ni uongo tu. Sisi wenyejiwa huko ndio twaujua ukweli. Ni vile tu wanaume wengi wamezoea vya kutfuniwa. Na ukweli ni kuwa, ukiweza kumridhisha mwanamke aliyekeketwa na akatosheka hakuna mwanamke atakayekushinda dunia hii. Labda maiti
 
Wanasema wanapunguza hisia mwanamke ili asiwe Malaya kipindi Cha ukuaji wake.lakini naona kwenye Hilo walipuyanga asilimia ,..watoto wanaanza mapenZ darasa la nne japo wamekeketwa..
Nini lengo hasa la ukeketaji kwa watoto wa kike
 
Tanzania bado tuna Safari ndefu Yani mtu kuharibiwa viungo vyako unaona heshima but wanaoamini hayo mambo wako huko kijijini na hawasafiri Ila wanaokuja huku mjini wanapata saikolojiko effects wallah, uchi tu wenyewe unatisha sasa ukikatwa hvo vya ndani ni shida
Acha tu ndugu yangu. Ni kweli tunasafari ndefu. Huwezi amini kuna vijana kabisa wamekulia na wanaishi mijini wanarudi vijijini kwa makusudi kabisa kuoa mabinti walio keketwa.

Ukisikiliza masimulizi ya masahibu wanayopitia mabinti waliokimbia ukeketaji, utalia sana. Kuna mmoja mama yake mzazi alituma vijana wakamfungie nyikani aliwe na wanyamapori kwa sababu alikataa kukeketwa, ili kupisha laana kwenye familia. Mwingine alikeketwa akafariki wakaenda kumtupa mtoni kwa sababu mila hairuhusu msiba kwa binti aliyekeketwa akafa!

Kuna mengi sana.
 
Kwangu ni kitu cha kawaida kwakuwa nimekulia mazingira inakofanyika lakini hakuna sehemu niliyosema naunga mkono. Hii ni mila ya baadhi ya makabila hapa nchini hivyo kwabaadhi ya mabinti hufikia hatua ya kutoroka na kwenda kufanyiwa au wengine huomba wenyewe wafanyiwe.

Tofauti ya zamani na sasa ni kwamba zamani binti alikatwa na sehemu ya kisimi kuondolewa, lakini siku hizi ni kuchanjwa tu hii huitwa kiccm (enzi za mzee wa msoga na ufisadi iliomekana jambo lolote la maana linaweza kufanywa kizembe na kusiwe na shida).

Ilikuwa nadra sana baada ya binti kukeketwa umkute anacheza ngoma ya asili (litungu) tena mchana wa jua kali kwani damu huvuja sana lakini kwasasa wanaume ndio hufanyiwa tohara asubuhi na mapema ili kabla ya jua kuwa kali wawe kivulini (nyumbani) ilhali kwa mabinti hufanyiwa kuanzia saa nne hadi mchana kulingana na idadi na eneo tukio linapofanyika.

Naomba nihitimishe kwakusema kuwa kwasasa madhara ya ukeketaji katika uhalisia wake ni madogo sana kuliko inavyoelezwa kwa vyombo vya habari. Kama nasema uongo nawaruhusu watafiti waingie kazini. Mchukue mwanamke aliyefanyiwa ukrketaji kuanzia 2000 kurudi nyumba na aliyefanyiwa kuanzia 2002 kuendelea kisha linganisha maumbile yao kwa kuzingatia mikato ya kisimi. Utagundua kabisa sikuhizi ni kama mabinti huenda eneo la tukio kutimiza mila na desturi na sio kukatwa sehemu zao. Zamani mwanamke anakaa ndani hata miezi miwili akiuguza kidonda wakati kwasasa baada ya wiki moja tu mabinti huanza kubananishwa uchochoroni au magetoni kwa wanaume.

Nimeandika matusi wanajf mnisamehe, kuna maneno ambayo nimelazimika kuyatumia ili nieleweke. Sio kwamba nafurahia lakini huo ndio uhalisia hasa kwa mila za kwetu wakurya (hasa wanyamongo) ila kwa koo zingine sina uelewa nako kwakuwa koo ya wanyamongo na watimbalu (wakira kwa mbali) huwa na tamaduni zinazoingiliana na hata maeneo yao yameendelea kidogo hii huwafanya kutotumia nguvu sana kwenye tohara.

Kwakuchomekea tu. Zamani kijana ili aonekane jasiri na ametimiza mila ilikuwa lazima atahiriwe kimila, wale waliotahitiwa hospitali ilifika mahali wakawa wanatengwa ama kutukanwa na wenzao wa rika sawa (saiga) na ilip3leka baadhi kurudiwa upya kutahiriwa na wazee. lakini siku hizi ni ngumu kukuta haya yakifanyika isipokuwa kwa kutaniana tu na ukimtukana mwenzako kwakuwa tu alitahiriwa hospitali utajuta.

Ukeketaji ni uonevu, usilipambe lionekane la kawaida,hata kama umetoka huko..
 
Baba mm nimekaa kule kanda maalum katika hii michezo ya kufukua fukua unaona ni kweupe kabisa. af ile kanda maalum pendwa wana ile kitu ni ndefu kama ile ya Bata mzinga, sasa ukikuta imekatwa huwa inajitahidi kukua huku ikiwa butu

Yani ukimchukua ukamvua nguo ukamuweka kwenye upepo utasikia mlio kama umepuliza chupa ya soda
Zenye mlio wa chupa ya soda ndo kazi zetu sisi wengine...za kujibanabana hatutaki.
 
Mwanamke Hana kisimi...unamuaamdaaje?..
Sio kila mtu anaandaliwa kwa kusuguliwa kisimi....mwingine ukimgusa njia ya haja kubwa anawika kama kuku na ndo raha yake. Analowa vizuri na kuwa tayari kwa tendo
 
Kitu ambacho hujui ni kwamba katika hizi jamii zenye mila za kukeketa mabinti wenyewe wanapenda na huwa wanajipeleka kukeketwa hata kama mzazi wake alikua hataki hayo mambo.
 
Acha tu ndugu yangu. Ni kweli tunasafari ndefu. Huwezi amini kuna vijana kabisa wamekulia na wanaishi mijini wanarudi vijijini kwa makusudi kabisa kuoa mabinti walio keketwa.

Ukisikiliza masimulizi ya masahibu wanayopitia mabinti waliokimbia ukeketaji, utalia sana. Kuna mmoja mama yake mzazi alituma vijana wakamfungie nyikani aliwe na wanyamapori kwa sababu alikataa kukeketwa, ili kupisha laana kwenye familia. Mwingine alikeketwa akafariki wakaenda kumtupa mtoni kwa sababu mila hairuhusu msiba kwa binti aliyekeketwa akafa!

Kuna mengi sana.
Ujinga ni janga Sana kwa taifa hili nadhani huo ukeketaji umekaa kishirikina flani hivi Kama matambiko ya kikoo na kikabila na swala Hilo ni zaidi ya tujuavyo. Watanzania ni wagumu wa mabadiliko Kuna marafiki wametoka tarime na ni wasomi Ila wanashabikia huo ujinga
 
Back
Top Bottom