cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Kwani wakikeketa huwa wanakata vinini aisee, na hyo papuchi huwa inakuwa Kama shimo au?Issue ni kwamba hataki kuonekana/ kujulikana kwa hiyo hataki kufanya mchana, coz utaona makovu na ule ubutu
Kwani wakikeketa huwa wanakata vinini aisee, na hyo papuchi huwa inakuwa Kama shimo au?Issue ni kwamba hataki kuonekana/ kujulikana kwa hiyo hataki kufanya mchana, coz utaona makovu na ule ubutu
Baba mm nimekaa kule kanda maalum katika hii michezo ya kufukua fukua unaona ni kweupe kabisa. af ile kanda maalum pendwa wana ile kitu ni ndefu kama ile ya Bata mzinga, sasa ukikuta imekatwa huwa inajitahidi kukua huku ikiwa butu
Yani ukimchukua ukamvua nguo ukamuweka kwenye upepo utasikia mlio kama umepuliza chupa ya soda![]()


hii kitu ni uonevu mkubwa kwa wanawakeDaah poozeni kiu wajumbe.Kwani wakikeketa huwa wanakata vinini aisee, na hyo papuchi huwa inakuwa Kama shimo au?
Kijana, ebu shika adabu yakoWengi humu wanajadili kwa kusikia.
Hakuna mahali nilipotaja wala kuvunja heshima ya mtu. Wengi naona mnaeleza kwahisia na sio uhalisia.Kijana, ebu shika adabu yako
Clitoris kinapandisha hamu na Raha ya tendo kwa 95% kuliko hyo ku pump ukeketaji kwa wanawake ni uovu mkubwaSuala la kumridhisha mwanamke ni pana. Unaweza kuta mwingine ana kila kitu lakini hajawahi kufikishwa. Kuridhika kwa mwanamke kunategemea hisia zake na namna anavyoandaliwa.
Mkuu, hii inauzwa wapi??Daah poozeni kiu wajumbe.View attachment 1646231
Aisee!! Nisiseme sana. Mpaka stationary ilipotolewa hii kadi napafahamu.
Kwa hiyo below 30 haiwezi kuwa below 20? Ww nyumbu wa wapi? Unless angesema below 30 lakini >=20Hapo kwa below 30 hisia zangu zinaniambia umedanganya ni below 20
THIBITISHA KAMA HUJADANGANYA
Utopolo kwake ni YANGAOna huyu nae kwako wewe utopolo ni nini?
Hahahahaha......Daah poozeni kiu wajumbe.View attachment 1646231
Basi anisamehe😀Utopolo kwake ni YANGA
Aisee, sasa hapo kinabaki nini?
Faida zipo, ila siyo kwa mtoto anayekeketwa.Faida ya kukeketwa ni nn? Na nani anapata hiyo faida, tuanzie hapo.
Faida zipo, ila siyo kwa mtoto anayekeketwa.
Kwa mfano za kiuchumi kama fedha na zawadi wanazopata mangariba kila misimu ya ukeketaji, washereheshaji wanatengeneza hela, wauza ng'ombe, vitenge, khanga...washonesha nguo za sherehe...kuna uchumi mkubwa kwenye ukeketaji sio mila pekee. Hata mahari ya binti aliyekeketwa na ambaye hajakeketwa ni tofauti
Kuna mengi sana nyuma ya ukeketaji. Kosa tunalofanya nikudhani ni "mila potofu" tu. Ukeketaji una madhara makubwa kwa lile tendo, ila ndani yake kuna mila zenye faida ambazo zinaweza kuendelezwa.