Hakuna nilipo tetea mila yoyote.Eeeeeh... Nawewe unatetea mila za kipuuzi namna hii
Watu wa mila wao wana kosea ila jambo la kutahiri wanawake lipo ila inakatwa sehemu ndogo sana kwa lengo maalumu siyo hawa wanao kata kabisa.
Hakuna nilipo tetea mila yoyote.Eeeeeh... Nawewe unatetea mila za kipuuzi namna hii
Eeeeeh.....Sio kila mtu anaandaliwa kwa kusuguliwa kisimi....mwingine ukimgusa njia ya haja kubwa anawika kama kuku na ndo raha yake. Analowa vizuri na kuwa tayari kwa tendo
Lengo maalumu lipi...Hebu nifananulieHakuna nilipo tetea mila yoyote.
Watu wa mila wao wana kosea ila jambo la kutahiri wanawake lipo ila inakatwa sehemu ndogo sana kwa lengo maalumu siyo hawa wanao kata kabisa.
Nakuonea aibu kukufafanulia.Lengo maalumu lipi...Hebu nifananulie
Hata kwenye uzi huu, kinachozungumziwa zaidi ni "tendo la ndoa" linavyoathiriwa na ukeketaji, kwasababu linamgusa mwanaume. Maumivu anayopata mwanamke wakati wa ukeketaji, uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa au hata kuharibu njia ya mkojo na uzazi, hatari anayopata kipindi cha kujifungua - kwa maana lile kovu linazuia njia kufunguka vizuri, au madhara ya kisaikolojia..hayo ni nadra kusikia yakizungumziwa.Ujinga ni janga Sana kwa taifa hili nadhani huo ukeketaji umekaa kishirikina flani hivi Kama matambiko ya kikoo na kikabila na swala Hilo ni zaidi ya tujuavyo. Watanzania ni wagumu wa mabadiliko Kuna marafiki wametoka tarime na ni wasomi Ila wanashabikia huo ujinga
Kule juu nimeandika, wengi wanaelezea kwakuongeza uongo mwingi sana kuliko uhalisia. Fanyeni tafiti muone, uliyemquote pia ameeleza kitu kinachofanana na mimi. Fanyeni tafiti za tohara za miaka ya nyuma kwa watoto wa kike na tohara za sasa.Tanzania bado tuna Safari ndefu Yani mtu kuharibiwa viungo vyako unaona heshima but wanaoamini hayo mambo wako huko kijijini na hawasafiri Ila wanaokuja huku mjini wanapata saikolojiko effects wallah, uchi tu wenyewe unatisha sasa ukikatwa hvo vya ndani ni shida
Kama umeona kupamba badala ya nilichoandika, ni haki yako kuamini kile unachoona ni sahihi. Hv kwenye huu uzi naonekana kama ngariba au mumewe ee?Ukeketaji ni uonevu, usilipambe lionekane la kawaida,hata kama umetoka huko..

maana najitahidi kueleza uhalisia wa hili suala lakini naonekana kama nafaidi. Serikali na nguvu zake zote imebidi wakae meza moja na wazee wa kimila (muulize Glorias Luoga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tarime) ili yazungumzike na elimu kwa ngariba asifanye ya kufanya lakini kuna mtu hapa jf akiwa nyuma ya keyboard anfikiri ni rahisi kumaliza hili janga.
Wachache sana wataongea kuhusu hili. Wengi wanakimbilia kulaumu zaidi.Kitu ambacho hujui ni kwamba katika hizi jamii zenye mila za kukeketa mabinti wenyewe wanapenda na huwa wanajipeleka kukeketwa hata kama mzazi wake alikua hataki hayo mambo.
Hata kwenye uzi huu, kinachozungumziwa zaidi ni "tendo la ndoa" linavyoathiriwa na ukeketaji, kwasababu linamgusa mwanaume. Maumivu anayopata mwanamke wakati wa ukeketaji, uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa au hata kuharibu njia ya mkojo na uzazi, hatari anayopata kipindi cha kujifungua - kwa maana lile kovu linazuia njia kufunguka vizuri, au madhara ya kisaikolojia..hayo ni nadra kusikia yakizungumziwa.
Tujitahidi pale tunapoweza na kuhitajika kutoa elimu na kukemea, tufanye hivyo.
Kama umeona kupamba badala ya nilichoandika, ni haki yako kuamini kile unachoona ni sahihi. Hv kwenye huu uzi naonekana kama ngariba au mumewe ee?maana najitahidi kueleza uhalisia wa hili suala lakini naonekana kama nafaidi. Serikali na nguvu zake zote imebidi wakae meza moja na wazee wa kimila (muulize Glorias Luoga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tarime) ili yazungumzike na elimu kwa ngariba asifanye ya kufanya lakini kuna mtu hapa jf akiwa nyuma ya keyboard anfikiri ni rahisi kumaliza hili janga.
Kuna mabinti wanalazimisha wafanyiwe
Wengi hufanyiwa akishamaliza drs VII maana inaaminika ameshakuwa
Wazee wa kimila ndio walioelimishwa wakaacha kutumia ukale
Wapiga kelele ni wale ambao hawajui hata tohara inafanyikaje wamekaririshwa kinaondolewa kisimi
Ikitumika nguvu ndio kwaanza picha litaanza
Maeneo ambako nguvu haitumiki kuna mabinti waliokataa na wanaolewa
Maeneo nguvu zinakotumika mabinti wanakeketwa kwalazima tena usiku na hapo ngariba hupangusa haswaa.
Tupingane kwa hoja na sio kurushiana madongo, hakuna jambo lenye hasara pekee. Kama lipo mniambie.
Hapana, hizo hizo efforts unazozi undermine,zina matokeo chanya.
Mnhhhh kwa hio siku hizi mnaenda na gloves zenu? makubwa haya....Nakujibu kwaujumla mkuu.
Anza kufanya tafiti mwaka huu maeneo ambako tohara zinafanyika kisha mwakani leta mrejesho uniambie ni asilimia ngapi ya mabinti waliokeketwa wamepatwa na madhara uliyoainisha hapo juu. Nimejaribu kueleza lakini ni kama hatueleweki. Kwataarifa yako tu. Hakuna kovu, hakuna maambukizi kwa kuwa kila mmoja anaenda na wembe yake na gloves yake na mazingira huwa safi, hakuna mwanmke aliyeshindwa kuzaa kisa tohara, hakuna madhara kisaikolojia kwa ukubwa unaoelezwa labda kwawale wanaofahamiana lakini ni rahisi binti aliyefanyiwa tohara kudanganya kuwa hajafanyiwa na ukamuamini kwakuwa haifanyiki vile mnavyowaza.
Unalazimisha nikuelewe ilhali wewe hunielewi.Mnhhhh kwa hio siku hizi mnaenda na gloves zenu? makubwa haya....
Hapo nilipo bold,wacha kutuongopea basi,
Madhara ya kisaikolojia yapo, pale binti atakapokuwa hainnjoy tendo la ndoa, sio madhara yenyewe haya?? au hujui kuto enjoy tendo la ndoa kunaweza kusababisha visirani,na irritability, ugomvi ndani ya ndoa...worse, ni pale atakapokua rejected na wanaume...mkuu pinga FGM.
namaanisha, yale yote yaliyofanywa na serikali na wananchi wa kawaida katika vita ya kupinga ukeketaji yana matokeo chanya japokuwa yanaonekana kwa juu juu kama hayataweza hii vita, so usidharau effort zao,Fafanua.
Unalazimisha nikuelewe ilhali wewe hunielewi.
Nimesema "hakuna madhara kisaikolojia kwaukubwa unaoelezewa" na sio kwamba hakuna madhara. Hizo ni sentensi mbili zenye maana tofauti.
Unajaribu kunifanya nionekane mbaya. Mimi sijasema nadharau juhudi.namaanisha, yale yote yaliyofanywa na serikali na wananchi wa kawaida katika vita ya kupinga ukeketaji yana matokeo chanya japokuwa yanaonekana kwa juu juu kama hayataweza hii vita, so usidharau effort zao,
"Kwaukubwa unaoelezwa." Kama hayo mengine hatuelewani, baki hapa na neno "unaoelezwa." Wasimuliaji wanalikuza zaidi kuliko uhalisia.mnhhhh ...kwa nini unataka 'kulidogolesha' hili jambo?..madhara hata kama ni mmoja anaathirika still ni mtu...
MNHHHHHH.....lazima uwe na evidence ama figures kuonyesha linakuzwa,najua hutaonyesha,good night mkuu,"Kwaukubwa unaoelezwa." Kama hayo mengine hatuelewani, baki hapa na neno "unaoelezwa." Wasimuliaji wanalikuza zaidi kuliko uhalisia.
Ni kweli sitaweza kuonesha lakini nimetoa ufafanuzi jinsi ya kupata ukweli halisi. Wewe ni mwanamke, tembelea mkoa wa mara mwezi huu kuna tohara unafanyika. Fika mpaka eneo inapofanyika halafu uone kama ulichokiandika (ukiachana na madhara ya kisaikolojia kwani hayaonekani siku hiyohiyo) na uhalisia vinaendana. Hasa kutoka damu, kuonfolewa baadhinya sehemu n.kMNHHHHHH.....lazima uwe na evidence ama figures kuonyesha linakuzwa,najua hutaonyesha,good night mkuu,