North Korea ukikamatwa na biblia adhabu yako ni kifo tu.
Nadhani huku ndio pa kumpeleka Papa.
hawapendagi ulaghai

Wewe hujielewi, Kim abusu pete za Freemason?Hata huyo Kim utashangaa akimpigia magoti Papa na kubusu Pete yake!
Sawa mkuu. Na kuwepo kwa Roman Empire kulichagizwa na uwingi wao. Ndo maana wakajiona ni kama watu wa nchi moja waliokiwa scattered katik mataifa mbalimbali, ila wanaunganishwa na kiongozi mmoja POPE, ambaye ukicheki ana hadhi au wadhifa sawa au karibu sawa na president. Yote hii ni katika kurahisisha jamii hii kubwa iliyotawanyika ktk nchi mbalimbali.Kwanza tukubaliane kutokukubaliana!Zaidi,pitia Roma empire!
Dola la kirumi ndio lilisababisha kanisa kupata wafuasi wengi kimafia.USICHOKIJUA WEWE NI KWAMBA, population ya wakatoliki ni kubwa kuliko dhehebu lolote duniani. Na ni katika population hiyo hiyo kubwa, kuna viongozi na figures zenye power katika uso wa dunia..!!! Hapo ndo USHAWISHI WAO UNAPODHIHIRIKA.
Likewise, population kubwa ingekuwa ni kwa ISLAMIC, ingekuwa hivyo hivyo.
Wengi wape...!!! Huujui huu msemo..??
Sawa. Yan haijalishi walipatikanaje, ila ni population kubwa.Dola la kirumi ndio lilisababisha kanisa kupata wafuasi wengi kimafia.
Umekariri porojo za sunday school, kanisa katoliki lilishiriki mauwaji ya kimbari Rwanda mwaka 1994, usisahau kuijumuisha na sifa hii ya kanisa katoliki.Kanisa Katolike ni Kasa la Majeshi, kama Mungu aitwavyo Mungu wa Majeshi. Katika Historia ya kanisa katoliki, vita vilishawahi kuanzishwa na viongozi wake. Pia amani ilishalindwa na viongozi wa kanisa katoliki. Hata kwa nyakati tulizonazo ni ukweli usiopingika kuwa Kanisa katoliki limehifadhi amani ya dunia. Bila uongozi dhabiti wa kanisa katoliki amani ya dunia ingekuwa imetikiswa vibaya kuliko ilivyotikiswa na vita vikuu vya dunia. Kiongozi wa kaniza Papa Mtakatifu ana nguvu nyingi na ambazo wengi hawazifahamu, zingine zikiwa ni siri kuu.
Mbali na yaho kanisa katoliki ndilo pioneer mkubwa wa elimu na afya duniani. Kanisa katoliki kwa enzi na enzi limekuwa likitoa elimu kwa jamii, tena elimu bora kabisa. Limejenga mashule na vyuo. shule zingine zilikabidhiwa kwa serikali za nchi husika. Pia Kanisa katoliki limesaidia katiaka huduma za kijamii hasa afya kila lilipopita. zahanati na hospitali nyingi zilijengwa na kanisa, na hadi leo kuna hostpitali na zahanati zinazotoa huduma nzuri na za kutegemewa, zote zimejengwa na kanisa katoliki. Mengine ni maji, na barabara kwa baadhi ya maeneo.
Historia inalibeba kanisa hili. Ni kanisa la kwanza kabisa kuasisiwa na jamii ya kikristo ilyoanzishwa miaka takribani 50 baada ya Yesu kuzaliwa. Mtume Petro ndiye kiongozi wake mkuu wa kwanza. Alikuwa Papa wa kanisa katoliki baada ya kufika Roma na kuliasisi kanisa kama Yesu alivyomuahidi. Makanisa yote ya kikristo yameanzia katika kanisa katoliki baada ya kuasi na mengine kujitenga.
Kanisa Katoliki ndio kanisa kongwe zaidi duniani. Kila mtu analionea husuda zaidi ya anavyoonea husuda dini yake.
Ndiyo maana nilisema hapo mwanzo,Katoliki ni zaidi ya kundi la waamini. Ki uhalisia Katoliki ni zao la tawala ya Rumi.Tunapoongelea utawala wa Rumi,tunamaanisha nguvu,uwezo na hata ubabe wa kila kitu waliopata kuwa nao na unaoendelea kuwepo kwa mtoto huyu wa Rumi,Katoliki.Sawa mkuu. Na kuwepo kwa Roman Empire kulichagizwa na uwingi wao. Ndo maana wakajiona ni kama watu wa nchi moja waliokiwa scattered katik mataifa mbalimbali, ila wanaunganishwa na kiongozi mmoja POPE, ambaye ukicheki ana hadhi au wadhifa sawa au karibu sawa na president. Yote hii ni katika kurahisisha jamii hii kubwa iliyotawanyika ktk nchi mbalimbali.
mbona umeruka swali ili uwahi mbwembwe. Nakuuliza katika hao wawili Pengo na Mwinzie nani hataolala usingizi?Pengo karuka utaratibu wa ndani kumwanika mwingine ktk mahakama ya umma, kisha kahalailisha kwa kwa utetezi huo huo aliouvunja. Nini huajaelewa wakati unaanza mbwembwe.Ndg,kwa hao jamaa hakuna mbwembwe!Pitia mamlaka yako wanao uwezo wa kukufanya chochote!
Sijawahi kuhudhuria hiyo shule. Tena ukitaka nikuandikie kitabu kuhusu kanisa katoliki utashangaa na kufurahi kwa pamoja. Mauaji ya kimbari Rwanda hayakuhusisha kanisa katoliki moja kwa moja. Ushiriki wake katika mkasa huo ni kutoa misaada kwa wakimbizi na kuhifadhi wengine katika makanisa na shule zake. Kanisa Katoliki lilishiriki katika utoaji wa huduma ya afya kwa majeruhi.Umekariri porojo za sunday school, kanisa katoliki lilishiriki mauwaji ya kimbari Rwanda mwaka 1994, usisahau kuijumuisha na sifa hii ya kanisa katoliki.
Hahaha!Nahisi wengi wetu hatukumuelewa ndg Pengo!Ukipitia maongezi yake,hapapo popote alipotamka kwamba hilo ni tamko rasmi la kanisa!mbona umeruka swali ili uwahi mbwembwe. Nakuuliza katika hao wawili Pengo na Mwinzie nani hataolala usingizi?Pengo karuka utaratibu wa ndani kumwanika mwingine ktk mahakama ya umma, kisha kahalailisha kwa kwa utetezi huo huo aliouvunja. Nini huajaelewa wakati unaanza mbwembwe.
Huyo jamaa ni mchafuzi wa hewa tu!Sijawahi kuhudhuria hiyo shule. Tena ukitaka nikuandikie kitabu kuhusu kanisa katoliki utashangaa na kufurahi kwa pamoja. Mauaji ya kimbari Rwanda hayakuhusisha kanisa katoliki moja kwa moja. Ushiriki wake katika mkasa huo ni kutoa misaada kwa wakimbizi na kuhifadhi wengine katika makanisa na shule zake. Kanisa Katoliki lilishiriki katika utoaji wa huduma ya afya kwa majeruhi.
Ndio. Kunywa pombe hakukatazwi mahali popote katika historia ya biblia, hata kabla ya yesu kuja pombe ilikuwepo na ilikuwa ni fahari kwa wafalme.Ndio zehebu linalo ruhusu waumini wake kunywa pombe
Hivi unafahamu kama mimi ni mkatoliki na ninijuwa vizuri historia ya Catholic?Sijawahi kuhudhuria hiyo shule. Tena ukitaka nikuandikie kitabu kuhusu kanisa katoliki utashangaa na kufurahi kwa pamoja. Mauaji ya kimbari Rwanda hayakuhusisha kanisa katoliki moja kwa moja. Ushiriki wake katika mkasa huo ni kutoa misaada kwa wakimbizi na kuhifadhi wengine katika makanisa na shule zake. Kanisa Katoliki lilishiriki katika utoaji wa huduma ya afya kwa majeruhi.