Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Wewe kweli ni kituko
Ndio maana yake nini sasa?, yes kweli mimi ndiye Kituko
Wewe kweli ni kituko
Maandiko kivipi...??? Au maandiko gani waongelea wewe...???Hapana si kweli. Kwasababu hata nikikuomba unipe uthibitisho wa unachokisema kwa maandiko hutaweza kunipa.
....na ndilo dhehebu MAFIA!!Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!
Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!
Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!
Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Hawa jamaa kwenye kukusanya mapato wapo vizuri.Yaani mnakamata wenyewe kwa wenyewe hukohuko kwenye jumuiya ndogondogoMifumo yao wa kupata mapato ipo imara kushinda ile ya TRA,ulisahau hii
Reasoning yangu inatokana na Biblia takatifu. Ndiyo maana hatuelewani. Wewe umetumia ubongo mimi nimekuthibitishia kwa maandiko matakatifu ya Neno la Mungu. Chochote kilicho nje ya maandiko( Biblia) ni UBATILI na UONGO wa yule mwovu.Maandiko kivipi...??? Au maandiko gani waongelea wewe...???
Ulipouliza hili swali ulishirikisha ubongo kweli..??
Kama Biblia ni kitabu au mali ya wakatoliki mbona mnayapinga yaliyomo ndani yake?? Biblia si kitabu chenu wala hamjakiandika nyinyi. Usidanganye watu bwanaHahahaha....
Biblia imekuwa compiled karne ya 3 baada ya Kina Paulo na mitume wengine kufa....
Haloo....Biblia ni mali au ni Kitabu cha Wakatoliki...Humo ndani mna vitabu vingi vimeachwa bila kuwekwa kwenye canon unayoina leo...
Katoliki ku-compile bible hakuwapunguzi nyinyi udhehebu wenu(uprotestant)....Ijue historia
Sasa mkuu unavyonifkiria wewe wataeleza secret issues zao hadharani ila kuna watu walikuwemo kwenye iyo secret agencies wakajitoa kuanzisha secret agencies nyingne.. Sasa hao walojitoa ndio wamepambanua yaliyomo kwenye jesuits secretarial
Bible only? Hiyo inaitwa sola scriptura, ni doctrine ya kujitungia, ambayo pia ni unbiblical, bibilia haisemi hivyo. Aaarrrghhh Protestants! When will u come home?Reasoning yangu inatokana na Biblia takatifu. Ndiyo maana hatuelewani. Wewe umetumia ubongo mimi nimekuthibitishia kwa maandiko matakatifu ya Neno la Mungu. Chochote kilicho nje ya maandiko( Biblia) ni UBATILI na UONGO wa yule mwovu.
Kama Biblia ni kitabu au mali ya wakatoliki mbona mnayapinga yaliyomo ndani yake?? Biblia si kitabu chenu wala hamjakiandika nyinyi. Usidanganye watu bwana
Na pia usisahau kuwa Kanisa Katoliki pia ndiyo dhehebu pekee lenye Waumini wenye akili kubwa, nyingi na zilizotukuka kabisa duniani kuliko madhehebu mengine yote yale. Great Thinkers, Think Tank, World Intellectuals na Philosophers wengi huwa ni Roman Catholics ( Wakatoliki )
Mwaka 1528 kwenye crusade war mapadre wa kiroma walikuwa wakiua makumi ya maelfu ya waprotestants kila siku sababu ya kutotii amri za Papa.
Sasa hapo si umeshaipa google maelekezo it a filter sources zinazosema kuwa Jesuit ni evil na secret agency? Nikufundishe kutumia google ? Basi na wewe andika, myths about Jesuits by anti-catholics na wewe ulete majibu.!Ingia Google search One Evil jesuits secret agencies.. Utajua na utakaokutana nayo huko utuletee mrejesho tafadhali
yea, save water drink wine kama mwana wa Mungu
Sio "dhehebu," usahihi ni MADHEHEBU. Hilo neno halina umoja.Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!
Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!
Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!
Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Mm nikikumbuka nyaraka za wakatorik kipindi cha jakaya na wandishi mapadre jinsi walivyokuwa wanaupinga ule utawala? Yani sasaivi wapo kimyaaaa utadhani hakuna linalofanyika duh! Nakumbuka kipindi kile ikifika pasaka woote wana laani jambo hili au lile