Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

Kuna aina za wizi kuu nne duniani

1.kuibia maskini na kuwapa maskini

2.kuibia matajiri na kuwapa matajiri

3.kuibia maskini na kuwapa matajiri

4.kuibia matajiri na kuwapa maskini

Hapo kwenye matajiri na serkali imo

JPM alikuwa anaiibia matajiri na kuwapa maskini

Samia anaiibia maskini na kuwapa matajiri


USSR
Daa aisee nimetafakari kwa kina sana, na aina za wizi huu zinatumika nchini kwetu tuu au na nchi zilizioendelea au zinazoendelea ukitoa ya kwetu?
 
Hiyo picha uliyoweka hicho kiasi hakifiki hata milion 5.

Je Kuna Shule inaweza kujengwa chini ya milion 5?
 
Task force hawafai kabisa, walikuwa wanapekua mpaka draw ya mauzo wanaangalia umeuza shilingi ngapi na kwenye efd mashine umerekodi shilingi ngapi?
Tax force walikuwa na lengo muhimu, labda walitumia vibaya madaraka yao, na Kama kawaida ya wafanyabiashara, wakawapa rushwa nyingi
 
Daa aisee nimetafakari kwa kina sana, na aina za wizi huu zinatumika nchini kwetu tuu au na nchi zilizioendelea au zinazoendelea ukitoa ya kwetu?
Sera za kibepari no kuibia maskini na kuwapa matajiri

Sera za mijamaa nikuibia matajiri na kuwapa maskini

Ndio maana mama amewaondoa wajamaa wote Kama kina kakulwa na poleople haraka ili ubepari utamalaki


USSR
 
Wakati ule waliojifanya wao ni warefu, walikatwa miguu, na miguu hiyo iliyokatwa iliunganishwa kwa wale wafupi ili wote wawe na kimo sawa.
Kwa sasa warefu wanazidi kuwa warefu zaidi na wafupi wanazidi kuwa wafupi zaidi.
 
Kuna aina za wizi kuu nne duniani

1.kuibia maskini na kuwapa maskini

2.kuibia matajiri na kuwapa matajiri

3.kuibia maskini na kuwapa matajiri

4.kuibia matajiri na kuwapa maskini

Hapo kwenye matajiri na serkali imo

JPM alikuwa anaiibia matajiri na kuwapa maskini

Samia anaiibia maskini na kuwapa matajiri


USSR
Hivi TOZO kumbe zinawakwepa matajiri!!!!.
 
Kuna aina za wizi kuu nne duniani

1.kuibia maskini na kuwapa maskini

2.kuibia matajiri na kuwapa matajiri

3.kuibia maskini na kuwapa matajiri

4.kuibia matajiri na kuwapa maskini

Hapo kwenye matajiri na serkali imo

JPM alikuwa anaiibia matajiri na kuwapa maskini

Samia anaiibia maskini na kuwapa matajiri


USSR
Kwani matajiri tozo haziwahusu
 
Back
Top Bottom