Katika Ulimwengu wa leo, mwanamke mzuri ni yupi?

umesema anaefaain general hapoukija kwangu mimi,mwanamke akiwa muaminifu kwangu no matter what......hiyo ndo sifa namba moja kwangu.....aweze kunisamehe,kwa kuwa najua i am not perfect....awe muaminifu hata kama ana hisi nina nyumba ndogo sehemu...asiwe wa visasi.......
Kwahiyo na wewe utakua mwaminifu kwake au unataka tu mazuri usiyoweza kumfanyia na yeye?!Akikosea na yeye utamsamehe?!
 
Mzuri ni yule mwenye utege wa kiushkaji, nyonyo saizi kubwa ya kati, anayependa sana kupika, na mwenye common sense
Aiseee!Kwahiyo ukipata mwenye sifa zako hizo unatangaza ndoa?!
 
Kwahiyo na wewe utakua mwaminifu kwake au unataka tu mazuri usiyoweza kumfanyia na yeye?!Akikosea na yeye

utamsamehe?!

nitamfanyia yote but siwezi ku gurantee uaminifu,but nitajitahidi kwa uwezo wangu

yeye akosee yote,but asitoke nje lol
 
Aiseee!Kwahiyo ukipata mwenye sifa zako hizo unatangaza ndoa?!
twaib! Nimerithi ng'ombe mia nne kumi na tatu toka kwa marehemu babu yangu nzagamba ong'wapugu. Kwa hiyo kutangaza ndoa kwangu si ishu
 
kibonge kidogo...sio mrefu wala mfupi...maji ya kunde...macho makubwa...nywele kasokota rasta...mavazi yake pensi nyanya!Mwenye sifa hizo hapo juu mi natangaza ndoa.
 
nitamfanyia yote but siwezi ku gurantee uaminifu,but nitajitahidi kwa uwezo wanguyeye akosee yote,but asitoke nje lol
Sasa kama wewe huna uhakika na uaminifu wako kwanini unataka upate uhakika kwa uaminifu wake?!Na kama yeye atajitahidi usitoke na ukatoka nini kinakufanya utake jitihada zako ziwe na matunda kwake wakati zake hazilipi kwako?!
 
Kila mwanaume anavigezo alivyojiwekea kwaajili ya kumpata mke sahii! Hivyo madai ya kuwa wanaume wanalalamika sikweli! Mtazamo wangu ni kuwa mabadiliko ya mwanamke juu ya mtazamo wa kuolewa ndio mabadiliko ya mwanamume juu ya mtazamo wa kuoa!!
 
kibonge kidogo...sio mrefu wala mfupi...maji ya kunde...macho makubwa...nywele kasokota rasta...mavazi yake pensi nyanya!Mwenye sifa hizo hapo juu mi natangaza ndoa.

utafanya niulize how old are you....
maana kuvaa pensi nyanya na kusuka rasta nazo ni sifa za kuoa????????
akiwa na sifa zote hizo lakini
havai pensi nyanya wala kusuka rasta????????
 
twaib! Nimerithi ng'ombe mia nne kumi na tatu toka kwa marehemu babu yangu nzagamba ong'wapugu. Kwa hiyo kutangaza ndoa kwangu si ishu
Ohhhh kwahiyo uko tayari kuhonga ng‘ombe?!Si mchezo!!!Ngoja niende kwa mchina kutafuta hizo sifa aiseee!
 
kibonge kidogo...sio mrefu wala mfupi...maji ya kunde...macho makubwa...nywele kasokota rasta...mavazi yake pensi nyanya!Mwenye sifa hizo hapo juu mi natangaza ndoa.
Hahahaha...hii copy n paste hata google hawaiwezi.Haya nakukaribisha Machame kama utavumilia kufa kabla yangu!
 
Kila mwanaume anavigezo alivyojiwekea kwaajili ya kumpata mke sahii! Hivyo madai ya kuwa wanaume wanalalamika sikweli! Mtazamo wangu ni kuwa mabadiliko ya mwanamke juu ya mtazamo wa kuolewa ndio mabadiliko ya mwanamume juu ya mtazamo wa kuoa!!
Na hivyo vigezo ‘BINAFSI‘ ndivyo tunavyovitaka!
 
Sasa kama wewe huna uhakika na uaminifu wako kwanini unataka upate uhakika kwa uaminifu wake?!Na kama yeye atajitahidi usitoke na ukatoka nini kinakufanya utake jitihada zako ziwe na matunda kwake wakati zake hazilipi kwako?!

honestly lizzy
una tatizo kubwa mno...
na nilijua utajibu hivi..............

kama unaamini kwamba kwenye relationship lazima kila
unachotoa na wewe upate ujue tatizo lako ni kuubwa mno...

relationship zoote ni za kufaana,
mna compliment each other....hamshindani.....

unajua mwenzio ana weakness na kitu fulani,unasamehe
na yeye hivyo hivyo anakusamehe kwa lingine....
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Kila mwanaume anavigezo alivyojiwekea kwaajili ya kumpata mke sahii! Hivyo madai ya kuwa wanaume wanalalamika sikweli! Mtazamo wangu ni kuwa mabadiliko ya mwanamke juu ya mtazamo wa kuolewa ndio mabadiliko ya mwanamume juu ya mtazamo wa kuoa!!
Nimekugongea thanks ndugu!!!
 
utafanya niulize how old are you....maana kuvaa pensi nyanya na kusuka rasta nazo ni sifa za kuoa????????akiwa na sifa zote hizo lakinihavai pensi nyanya wala kusuka rasta????????
Hizo criteria zipo independent! Kila kimoja kinanipa mvuto wa aina yake!
 
honestly lizzyuna tatizo kubwa mno...na nilijua utajibu hivi..............kama unaamini kwamba kwenye relationship lazima kilaunachotoa na wewe upate ujue tatizo lako ni kuubwa mno...relationship zoote ni za kufaana,mna compliment each other....hamshindani.....unajua mwenzio ana weakness na kitu fulani,unasamehena yeye hivyo hivyo anakusamehe kwa lingine....
Wala sio mashindano....kwenye akili yangu nimejijengea kwamba siku zote inabidi niwatendee watu wengine haki.Kama sipendi kudharauliwa basi nisimdharau mtu mwingine kwasababu nae hastahili.Kwahiyo linapokuja swala la mahusiano ntajaribu kumfanyia mwrnzangu yale mazuri yote ambayo ningependa kufanyiwa na ntajitahidi kukwepa kumfanyia mabaya yote ambayo sipendi kufanyiwa.Unachojaribu kutetea wewe ni ubinafsi.KuCOMPLIMENT each other kwa mmoja kucheat na mwingine kutakiwa kusamehe sio haki.Kama wewe hutaki akufanyie hivyo kwanini wewe utake kumfanyia yeye?!Je wewe ni bora kuliko yeye?!Hisia zako ni muhimu zaidi?!Una kinyaa zaidi yake?!
 
nimekwambia una tatizo kubwa sana
na bado hujagundua hilo

kibailojia wanaume na wanawake ni tofauti sana
linapokuja suala la sex....
wanawake sex ni tuzo kwa anaempenda
wanaume sex ni kitu kingine,
sometimes ni kuondoa tu stress.....
so cheating ya mwanaume na ya mwanamke ni vitu viwili tofauti
scientist na wanafalsafa wote wamekiri hilo....
 
Back
Top Bottom