Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
Kutokana na malalamiko ya kaka zetu kwamba wanawake wazuri wakimaanisha wanaofaa kuoa hamna siku hizi nashawishika kuuliza maswali kadhaa ili tusiojua tujue ni vigezo gani vinatumika kumtambua mwanamke mzuri.
Je nini haswa mnachoangalia!?Awe maridadi kwa mavazi na
muonekano wake kwa ujumla!!
Je nini haswa mnachoangalia!?Awe maridadi kwa mavazi na
muonekano wake kwa ujumla!!