Kwahiyo umbo na sura sio muhimu kwako?!Sasa tabia ndo iweje?!Awe mwoga?!Mkimya?!Asiyejua kubishana .......?!View attachment 33618Huo hapo juu ndo uzuri wenyewe unaosababisha ndoa za leo hazidumu. Uzuri unaangaliwa kwa muonekano wa nje mno these days, sio tena TABIA ya mwananmke ukiwa na umbo km hilo na sura nzuri basi wewe ni mzuri hata kama tabia IMEOZA haifasi kabsaaaaaa. sasa ukiingia mkenge hapo ndugu yangu utaishia kulia na kusaga meno tuu
Ndivyo wanaume wanavyodai...sasa sijui ni kweli au ni visingizio tu vya kukataa kuoa.
Bwoii...kwahiyo tatizo ni kupata mkitakacho?!Sasa mbona bado wapo wanaoolewa hata kama hawajakataa?!Na kwanini mtu akubali kuolewa ili tu mwanaume apate penzi?!Maana hicho ndo kitakachokua kinawakamata!Ingekuwa duniani wanawake huwezi kuwananihii mpaka uwaoe,na wanawake wote wakakubaliana hivyo,basi idadi ya wanawake walioolewa ingekuwa kubwa mno!..My point is,It's the woman who really decides who,when and where to DO,but nowadays most of'em are too loose.So why not bang the hell out of'em and leave'em alone?
Hahahhaha...BAK we maakuli ndo kila kitu ehhh?!Tafuta mpishi au mama ntilie kila siku utafurahi...badala ya masista du kila siku chips na pizza!Nimeipenda hii AG hongera 🙂....Kwa maoni yangu uzuri wa wastani lakini Lizzy naomba ujue kwamba uzuri wa mwanamke unatofautiana kati ya mwanaume na mwanaume (beauty is in the eye of the beholder). Wengi hupenda wowowo, lakini kuna wapenda matiti makubwa, miguu minene kama ile ya kihaya, urefu, wengine hupenda wanene na wengine wembamba ali mradi tu awe na kishtobe siku hizi wanaita wowowo. Kwa miaka hii hata madarasa nayo yameongeza umuhimu wa mwanamke huyo mzuri maana wengine hawatak kabisa O'level hata A'level shurti kwa degree hata moja. Halafu mwenye tabia nzuri, msafi wa mwili na usafi wa nyumba pia na akiingia jikoni anajua kufanya mavitu motomoto kama yaleeeee kwenye ile thread yako nyingine ya makulaji 🙂
Binafsi sitaki wala sitamani kuamini hayo maneno ya wanawake ni wengi zaidi. Alafu kama ni kweli kwamba sisi tumewazidi nyie...inakuaje mwanamke mmoja anazingirwa (takwa ) na wanaume kibaoooo badala ya kusambaa na kutaka na wengine?!Ujue wanawake ni weng zaid yetu,so hata kila mmoja wetu akioa,watabaki weeeeeeeng,ndio maana waislam huoa hata wanawake wanne
HahahahahaBwana aeee mie na tatizoNa hili neno ( Compromise ) sasaBora niwe shellfish kwa sasa kuepuka Hayo mmmmhhhhMpaka hapo ntakapoamua kujifunzaHayo mengine napata mbona teh teh tehYou can say that again AD hahahah lol! Yaani hutaki hata mtu wa kuongea naye, mkakaa mkacheka, mkashauriana, mkacheza, kutaniana n.k.....unataka nanihii tu ndio maana kiama kilikuwa kianzie kwenu 🙂 tuko July sasa hivi October 21 kama sikosei kinaanzia tena kwenu 🙂
Mmhhhh Hivi bado jina ni Wo Wo ...Sante BAK ujumbe umefikaNimeipenda hii AG hongera 🙂....Kwa maoni yangu uzuri wa wastani lakini Lizzy naomba ujue kwamba uzuri wa mwanamke unatofautiana kati ya mwanaume na mwanaume (beauty is in the eye of the beholder). Wengi hupenda wowowo, lakini kuna wapenda matiti makubwa, miguu minene kama ile ya kihaya, urefu, wengine hupenda wanene na wengine wembamba ali mradi tu awe na kishtobe siku hizi wanaita wowowo. Kwa miaka hii hata madarasa nayo yameongeza umuhimu wa mwanamke huyo mzuri maana wengine hawatak kabisa O'level hata A'level shurti kwa degree hata moja. Halafu mwenye tabia nzuri, msafi wa mwili na usafi wa nyumba pia na akiingia jikoni anajua kufanya mavitu motomoto kama yaleeeee kwenye ile thread yako nyingine ya makulaji 🙂
Mmmmhhhhh Nadhani ni ile .. Tuwe na uzuri wa ndani na nje.. Uzuri wa ndani ... upendo wa kweli, respect , Uaminifu, smart, etc, etc, Uzuri wa nje ... kheshima ya mavazi panapotakiwa, physically fit, healthy .... etc Wanataka tuwe na mchanganyiko Wa hivyo vyote na zaidi.. Kuna kaka aliniambia angekuwa na uwezo Angem Muumba mke wake .. loohhhhh
AD ni kama ulikuwa kwenye mawazo yangu,mwanamke mzuri kwangu awe na hivi ulivyovitaja wowowo na mengine sio muhimu japo mvuto kidogo sio mbaya,lakini weeeengi wakishakuwa na mawowo yao wanadhani ndio ticket za kuolewa no way,nilkuwa na mwanamke mzuri kweli kweli ilibidi tuachane tu kwa kweli esp aliponiambia yeye mzuri na kuna nijipange la sivyo nikimuoa nikishindwa kumtimizia vitu flani nitasaidiwa,hawezi kupikia mkaa,hawezi kula mchicha sio kwamba sina uwezo but when a woman hawezi kufikiria leo na kesho hafai na mtaendelea kulalamika hamuolewi
Be specific BOSS.....!Tusaidieni idadi ya wanawake wa kuoa iongezeke jamani!
Hahahahhaha....ndo tatizo la masista du hilo.Maharage...mboga za majani...dagaa hawezi kula kwasababu ni vya kimasikini.Alafu huyo alikua anaringa kupikia mkaa angepewa jiko la kuni sindo msingekaa mpike maisha?!Ni muhimu kupunguza mashauzi kwakweli.AD ni kama ulikuwa kwenye mawazo yangu,mwanamke mzuri kwangu awe na hivi ulivyovitaja wowowo na mengine sio muhimu japo mvuto kidogo sio mbaya,lakini weeeengi wakishakuwa na mawowo yao wanadhani ndio ticket za kuolewa no way,nilkuwa na mwanamke mzuri kweli kweli ilibidi tuachane tu kwa kweli esp aliponiambia yeye mzuri na kuna nijipange la sivyo nikimuoa nikishindwa kumtimizia vitu flani nitasaidiwa,hawezi kupikia mkaa,hawezi kula mchicha sio kwamba sina uwezo but when a woman hawezi kufikiria leo na kesho hafai na mtaendelea kulalamika hamuolewi
Duh!!Kwahiyo wewe asijiuze tu?!
Hizo statistic umezipata wapi? Kwasasa tanzania ratio na wanawake na wanaume ni 49% kwa 51%. Wanawake wameshaanza kuadimika!Ujue wanawake ni weng zaid yetu,so hata kila mmoja wetu akioa,watabaki weeeeeeeng,ndio maana waislam huoa hata wanawake wanne
Mzuri ni yule mwenye utege wa kiushkaji, nyonyo saizi kubwa ya kati, anayependa sana kupika, na mwenye common sense