Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Hapana mkuu, unaweza ukapizi na raha ya game usiione.

Tatizo lingine wengi wetu tunadhani kupizi ndio starehe ya game, SIVYO, ukiweza kukontro kupizi utaona raha ya game kuliko maelezo nakwambia.

tatizo ni namna ya ku-control. hv unawezaje ku-control vipi mkuu?
 
Ebu fanya hivi then urudishe feedback hapa.....

ukiwashwa na skio jikune na kidole skioni then unambie kati ya kidole na skio kipi kimeskia utamu,

Tyta naomba msaada wa picha

mmh! mkuu, hiyo falsafa yako ya kidole na sikio kiboko sana!
 
Last edited by a moderator:
Suala la memory na bao jaribu kufuatilia content za bao na brain uone.

Pia nmeeleza, bao moja unatoa sperm 250Mil. je ni kiwanda gani kinaweza kufanya kazi hii mara kwa mara na hasa wengi wetu tunapendelea kupiga bao tatu na kuendelea kwa tendo moja?
Kwa hali hii unadhani mwili hauathiriki?

tatizo halitokani na kiasi cha sperms produced per ejaculation kwa kuwa testes zina uwezo wa kutenga hizo 3M sperms ndani ya muda mfupi tu.ila ile protini unayopoteza kila unapopizi ndiyo concern kubwa hapa. lakini ikiwa mtu uta-maintain afya ya mwili wako, through proper nutrition, huwezi kupata athari zozote hata utapiga bao 10 @ day.
tatizo ni pale mtu utakapokuwa unapiga mabao huku ukishindia gongo!

back to the topic: kusikia raha kwa mwanamke kunategemea upana na usugu wa papuchi yake; na unene na urefu wa mtalimbo. kuna k zingine pana sana na zingine ni sugu kupindukia kiasi kwamba hata usugue namna gani ni kama vile unatwanga maji kwenye kinu--hakuna utamu wowote atakaoupata!
 
Ebu fanya hivi then urudishe feedback hapa.....

ukiwashwa na skio jikune na kidole skioni then unambie kati ya kidole na skio kipi kimeskia utamu,

Tyta naomba msaada wa picha
1.jpg
 
Kwani mkunwa na mkunaji nani anasikia raha?

Jibu ingiza kidole kimoja mdomoni gusa sehemu ya juu ya mdomo baada na karibu kabisa na meno ya juu fanya kama unapapasa hapo utachohisi ndo jibu
 
tatizo halitokani na kiasi cha sperms produced per ejaculation kwa kuwa testes zina uwezo wa kutenga hizo 3M sperms ndani ya muda mfupi tu.ila ile protini unayopoteza kila unapopizi ndiyo concern kubwa hapa. lakini ikiwa mtu uta-maintain afya ya mwili wako, through proper nutrition, huwezi kupata athari zozote hata utapiga bao 10 @ day.tatizo ni pale mtu utakapokuwa unapiga mabao huku ukishindia gongo!back to the topic: kusikia raha kwa mwanamke kunategemea upana na usugu wa papuchi yake; na unene na urefu wa mtalimbo. kuna k zingine pana sana na zingine ni sugu kupindukia kiasi kwamba hata usugue namna gani ni kama vile unatwanga maji kwenye kinu--hakuna utamu wowote atakaoupata!
Hahaha, ndugu umeongea vema na mimi concern yangu ni raw material ambazo zinatumika kutengeneza bao.Suala la starehe kuna mambo mengi tu yanayo changia ila nnaamini kila uke una uume wake unao faa.
 
hiyo ni kweli Uislam ulisha lizungumza hilo Karne ya saba kwamba mwanamke anasikia raha zaidi kati ya 70%-90% zilizo baki ndio za mwanaume ndio maana mwanamke ukimtosheleza vizuri anaweza kukaa hata mwezi asikusumbue, lakini mwanaume ukimpa maramoja kwa wiki unamtesa, ndiomaana Uislam ukamruhusu mwanaume kuoa wake 4.
 
Hebu chukua zile wanaita ear bud sijui, anza kujisafisha sikio

Je nani anahisi utamu sikio au kile kipamba cha masikioni?
raha ya sikio linalo washa ulikune kwa unyoya wa kuku.pamba za viwandani tupa kule.
 
Mi hili swali jibu lingetolewa na mtu nwenye jinsi mbili harafu ziwe zinafanction sawa ndo anaweza kutoa jibu saahihi maana Hawa wanasayansi siwamini kwa sababu hayupo aliye jaribu kutiwa na kutia akapima ,,Sawa na mtu ambaye hajafa umuulize Swali Et hivi ukifa unajisikiaje wakati hajaonja kifo na hakuna aliye kufa akarudi na kutuambia kuwa ukifa unajisikia hivi na hivi so its beyond the nature becoz no scientific prove on that issue than pre- assuming answer
 
Kwani mkunwa na mkunaji nani anasikia raha?

Jibu ingiza kidole kimoja mdomoni gusa sehemu ya juu ya mdomo baada na karibu kabisa na meno ya juu fanya kama unapapasa hapo utachohisi ndo jibu
Kwa hiyo hiyo ndo Ladha kama unafanywa? May be mbona hata Mwanaume anahisi hivohivo so mi naona inategemea Na mkunanaji anavyo jikunaa
 
Back
Top Bottom