Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkombozi, Jan 15, 2011.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu ktk tendo la ndoa ni nani anapata raha zaidi?Je ni mwanamke au mwanamme?Wataalam watueleze kitaalamu na sio kishabiki.Nakaribisha maoni na uchambuzi
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,739
  Likes Received: 82,676
  Trophy Points: 280
  Mwanamke hasa kama kajaliwa kufika kileleni maana kuna wengine hawakujaliwa kufika huko. Baadhi ya wanawake huweza kupata hata "Triple Orgasm" kitu ambacho wanaume hatukujaliwa. Na waliojaliwa kufika kileleni huelezea hali hiyo inafanana na kupaa.
   
 3. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Anaepiga kelele! ila sio zile feki
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  haya mashabiki wa jigi jigi!
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe tehe
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hili ni issue ambayo hermaphrodite pekee ndio anaweza kujibu, wengine how can they, wanawake hawajawahi kuwa wanaume na wanaume viceversa
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ni kweli VOR, ni swali gumu kulijibu kwani utajuaje kama mwanamke amefaidi sana tendo la ndoa. Au mwanaume amefaidi tendo la ndoa nashindwa kuamini mtu anakuwa mkweli kihivyo.
   
 8. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hapo kila mmoja anaweza kujibu kivyake kutokana hisia zake, lakini atakayeweza kuwa na jibu la uhakika ni yule aliyewahi kuwa mwanaume then akawa mwanamke and vice versa. Kwa mwenye jinsia moja swali lako ni gumu kujibiwa.
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nitalizungumzia hili kwa kufuata nature ya viumbe hai,inavyoonekana kiumbe dume ndio anayefaidi kumzidi kiumbe jike na ndio sababu katika jamii zote za wanyama huweziona kiumbejike akimtongoza dume ila ni dume anayefuata na sio kila wakati anakubaliwa.Hii inaonesha kuwa dume ndio hufaidi zaidiTukirudi kwa binadamu ni sawa kuwa wanadamu na viumbe vyote tumeumbwa na hisia na wanadamu tumeweza kubuni njia na michezo ya kuhakikisha kuwa na mwanamke naye anapata hisia za kutosha katika tendo hilo lakini ukweli unabaki palepale kuwa mwanaume ndio anayefaidi kuliko mwanamke kwa sababu kwa mwanamke inahusisha vitu vingi sana kumfanya aridhike na tendo tofauti na mwanaume ambaye yeye anachotaka ni upenyo tu na kuachia mbegu zake.I stand to be corrected.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,739
  Likes Received: 82,676
  Trophy Points: 280
  VoR, Kuna wataalamu wa hii kitu walikuwa na swali hili na wakaamua kufanya utafiti wa kina ili kuweza kulijibu. Wakatafuta volunteers ambao waliweza kurekodiwa wakati wanananihii na kuangalia facial expressions za wahusika wote wa kike na kiume. Katika hao volunteers wengine walikuwa wamo kwenye ndoa. Sasa kwa kuangalia zile facial expressions za wahusika wakati wa kunanihii na pia kupata maelezo yao ya jinsi wanavyosikia tangu mwanzo wa tendo hadi mwisho wa tendo wataalamu hao walihitimisha kwamba anayefaidi zaidi katika tendo la ndoa ni Mwanamke na hii ya baadhi ya wenzetu kuweza kuwa na Double/Triple orgasm waliizungumzia kwa kina.

  Niliangalia kipindi hicho kwenye TV channel inayoitwa TLC (The Learning Channel) na kipindi hiki kilikuwa kina umaarufu mkubwa maana kilikuwa kinaangaliwa na watu wengi sana, ni moja ya vipindi vinavyopendwa sana katika hiyo TLC channel.
   
 11. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huu uchokozi naona umezidi sasa. Mmmhhh mwanamke kufikia kileleni ni issue ya chumbani kwa sana. Maana naona kama hii threadi ingehamishiwa kule kwa wakubwa hivi wengine twaona haya kuchangia hapa.
   
Loading...