Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Asanteni sana Madactari wa mahaba mnatririka oipasavyo Hii ndo mmu Hapa elimu dunia kwa sana!
 
Watu wengi mmetoa mifano Mafimbo nyingi, kwa maana hiyo mnakubaliana na mimi kwamba mwanamke anafaidi sex kuliko sisi wanaume?!
 
Watu wengi mmetoa mifano Mafimbo nyingi, kwa maana hiyo mnakubaliana na mimi kwamba mwanamke anafaidi sex kuliko sisi wanaume?!

mkuu id yako imenikumbusha songi1 la olomide enz hzo..,linasema.,"shamkware mamaa pesa mbooongo"..Back to the topic.Naamin wanawake wana enjoy zaid ye2 kutokana na kuwa na sensory nying pupuchini mwao,pia ulain wa ngoz za papuch zao ni factor nyngne
 
Haaaa haaaaa,,, kule ndo kwetu ukifika zaire tunasema "Bokilo la msusu boyeboye lupamba masanga papa na nanzela"
 
mkuu id yako imenikumbusha songi1 la olomide enz hzo..,linasema.,"shamkware mamaa pesa mbooongo"..Back to the topic.Naamin wanawake wana enjoy zaid ye2 kutokana na kuwa na sensory nying pupuchini mwao,pia ulain wa ngoz za papuch zao ni factor nyngne

Haaaa haaaaa,,, kule ndo kwetu ukifika zaire tunasema "Bokilo la msusu boyeboye lupamba masanga papa na nanzela" kama kuna kongo atafasili humu
 
Hapana mkuu, unaweza ukapizi na raha ya game usiione.

Tatizo lingine wengi wetu tunadhani kupizi ndio starehe ya game, SIVYO, ukiweza kukontro kupizi utaona raha ya game kuliko maelezo nakwambia.

Ur vr ryt mkuu,yaan ukitaka upate ile raha ya ukweli, control kupizi, tatizo watu wengi hawajui hii kitu. Tamu we acha tu
 
1. Ni kweli, wanawake ambao hawaja keketwa wanajisikia raha sana kuliko mwanaume ambaye ametahili vivyo hivyo mwanamme ambaye haja tahili anasikia utamu kama mwanamke.

SABABU.

Kila miisho ya kiungo chochote kile cha mwanadamu kuna neva ending za mwili mzima, kwa hiyo usipo tahiliwa/ keketwa govi lako lina baki na neva ending za kutosha hivyo kupata utamu wakuridhisha.

2. Suala la mapenzi ni suala ambalo limewekwa kwaajili ya kuzaliana tu (hii inafanywa na kila aina ya kiumbe hapa duniani) tatizo ni kwetu binadamu ambao tunafanya mapenzi kama starehe.

Ukitoa shahawa mara moja inakadiriwa unatoa mbegu zaidi ya 250 Million, sasa wewe jiulize ni aina gani ya kiwanda kinacho weza kufanya uzalishaji wa aina hii kila siku na raw material wanatoa wapi? ndio maana wanasema utoaji wa bao moja ni sawa na kutembea umbali huo.

Swali je tuache na tuwe tunafanya wakati wa kupata mtoto tu?

Hapana, kufanya mapenzi kama starehe si tatizo (labda kama upo kwenye mchepuko) kinachotakiwa ni kuwa na ratiba sahihi/ kuwa na control na utoaji wa shahawa, hapa namaanisha kuwa KILA UNAPOFANYA MAPENZI SIO LAZIMA UTOE SHAHAWA.

Learn how to control it for the benefit of your health.
how can you control it ?
 
Watu wengi mmetoa mifano Mafimbo nyingi, kwa maana hiyo mnakubaliana na mimi kwamba mwanamke anafaidi sex kuliko sisi wanaume?!

mwanamke anapata raha mara tisa zaid kuliko mwanaume
mi nilishawah kuwa mwanamke kwa wiki miaka mitatu nikaolewa na kuzaa watoo wawil. lakin kwa sasa nimerudia kuwa mwanaume na nina mtoto mmoja
 
Kama kuna mtu alikua mwanamke thn akabadilika na kua mwanaume anaweza kujibu vizuri
 
Hili swala nilishawahi kulisikia mara kibao, Inasemekana eti, Mwanamke anapata Asilimia 70 za utamu wakati wa Tendo na Mwanaume anapata asilimia 30 tu!

Kitu kingine huwa inasemekana kwamba Round moja kwenda kukamilika wakati wa tendo.

Eti ni sawa na mtu aliye kimbia umbali wa kilomita 7 bila kupumzika

Je ulishawahi kuskia hiki kitu?

Ebu tupeni ukweli madactari wa mapenzi najua mpo wengi humu!

fanya zoezi hili: chukua kidole, chovya kwenye asali, halafu kiingize chote mdomoni ukilambe kama unakinyonya.kisha jiulize utamu umeupata wapi,kwenye kidole au mdomoni?
 
how can you control it ?
Dah...kuna mambo mengi sana, nakushauri uingie kwenye jukwaa la jf doctor kule kuna thread inayo husiana na jinsi ya kukontrol kupiz, nakuambia hv 7bu jukwaa hili lina post nyingi kwa wakati mmoja so its validity is so litle.
 
Back
Top Bottom