1. Ni kweli, wanawake ambao hawaja keketwa wanajisikia raha sana kuliko mwanaume ambaye ametahili vivyo hivyo mwanamme ambaye haja tahili anasikia utamu kama mwanamke.
SABABU.
Kila miisho ya kiungo chochote kile cha mwanadamu kuna neva ending za mwili mzima, kwa hiyo usipo tahiliwa/ keketwa govi lako lina baki na neva ending za kutosha hivyo kupata utamu wakuridhisha.
2. Suala la mapenzi ni suala ambalo limewekwa kwaajili ya kuzaliana tu (hii inafanywa na kila aina ya kiumbe hapa duniani) tatizo ni kwetu binadamu ambao tunafanya mapenzi kama starehe.
Ukitoa shahawa mara moja inakadiriwa unatoa mbegu zaidi ya 250 Million, sasa wewe jiulize ni aina gani ya kiwanda kinacho weza kufanya uzalishaji wa aina hii kila siku na raw material wanatoa wapi? ndio maana wanasema utoaji wa bao moja ni sawa na kutembea umbali huo.
Swali je tuache na tuwe tunafanya wakati wa kupata mtoto tu?
Hapana, kufanya mapenzi kama starehe si tatizo (labda kama upo kwenye mchepuko) kinachotakiwa ni kuwa na ratiba sahihi/ kuwa na control na utoaji wa shahawa, hapa namaanisha kuwa KILA UNAPOFANYA MAPENZI SIO LAZIMA UTOE SHAHAWA.
Learn how to control it for the benefit of your health.