Kwani mzazi wako wa kike anasemaje?
Kwani mzazi wako wa kike anasemaje?
1. Ni kweli, wanawake ambao hawaja keketwa wanajisikia raha sana kuliko mwanaume ambaye ametahili vivyo hivyo mwanamme ambaye haja tahili anasikia utamu kama mwanamke.
SABABU.
Kila miisho ya kiungo chochote kile cha mwanadamu kuna neva ending za mwili mzima, kwa hiyo usipo tahiliwa/ keketwa govi lako lina baki na neva ending za kutosha hivyo kupata utamu wakuridhisha.
2. Suala la mapenzi ni suala ambalo limewekwa kwaajili ya kuzaliana tu (hii inafanywa na kila aina ya kiumbe hapa duniani) tatizo ni kwetu binadamu ambao tunafanya mapenzi kama starehe.
Ukitoa shahawa mara moja inakadiriwa unatoa mbegu zaidi ya 250 Million, sasa wewe jiulize ni aina gani ya kiwanda kinacho weza kufanya uzalishaji wa aina hii kila siku na raw material wanatoa wapi? ndio maana wanasema utoaji wa bao moja ni sawa na kutembea umbali huo.
Swali je tuache na tuwe tunafanya wakati wa kupata mtoto tu?
Hapana, kufanya mapenzi kama starehe si tatizo (labda kama upo kwenye mchepuko) kinachotakiwa ni kuwa na ratiba sahihi/ kuwa na control na utoaji wa shahawa, hapa namaanisha kuwa KILA UNAPOFANYA MAPENZI SIO LAZIMA UTOE SHAHAWA.
Learn how to control it for the benefit of your health.

bila kupizi hapo gemu halijafanyika
ni kweli kuhusu mwanamke kuenjoy zaidi sababu simply ka jamaa alivosema hapo juu wana nerves nyingi sana maeneo yale.. Ila kusema ati kupiga bao ni sawa na kukimbia kilometre saba hua ni story za uongo tu hakuna kingine. Ingekua hivo watu wanene wanaofanya ngono daily wangekua wamekonda sana tu... Mtu anaproduce sperm nyingi sawa, kuongelea idadi ya milioni mia kadhaa ati ndo tukasema ni nyingi mno kulinganisha na kukimbia 7km unakosea, hizo sperms ni ndogo sana kiasi cha kutengenezwa mwilini ndani ya muda mfupi sana tu..
Mmh! Hii wikend hii!!
bila kupizi hapo gemu halijafanyika
Ndiyo ukifanya ngono daily unaishiwa nguvu, ila nguvu zipi sasa, utapoteza nguvu maana mwili utahitaji muda upumzike kujipanga upya na kuproduce sperm tena maana utakua umefululiza umezidi rate ambayo sperm inakua produced..Ndugu unajua ukifanya ngone daily unaishiwa nguvu?
Nadhani huwa unaangalia mpira ya huku uswazi, mtu yeyote yule ambaye anacheza chini ya kiwango chake watu humwambia amezidisha wanawake, je unadhani ni kwa nini?
Pia unajua kuwa ukipiga mabao mengi sana kadri siku zinavyo kwenda unaendelea kupoteza kumbu kumbu?
mada za wiki end kiboko