Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

1. Ni kweli, wanawake ambao hawaja keketwa wanajisikia raha sana kuliko mwanaume ambaye ametahili vivyo hivyo mwanamme ambaye haja tahili anasikia utamu kama mwanamke.

SABABU.

Kila miisho ya kiungo chochote kile cha mwanadamu kuna neva ending za mwili mzima, kwa hiyo usipo tahiliwa/ keketwa govi lako lina baki na neva ending za kutosha hivyo kupata utamu wakuridhisha.

2. Suala la mapenzi ni suala ambalo limewekwa kwaajili ya kuzaliana tu (hii inafanywa na kila aina ya kiumbe hapa duniani) tatizo ni kwetu binadamu ambao tunafanya mapenzi kama starehe.

Ukitoa shahawa mara moja inakadiriwa unatoa mbegu zaidi ya 250 Million, sasa wewe jiulize ni aina gani ya kiwanda kinacho weza kufanya uzalishaji wa aina hii kila siku na raw material wanatoa wapi? ndio maana wanasema utoaji wa bao moja ni sawa na kutembea umbali huo.

Swali je tuache na tuwe tunafanya wakati wa kupata mtoto tu?

Hapana, kufanya mapenzi kama starehe si tatizo (labda kama upo kwenye mchepuko) kinachotakiwa ni kuwa na ratiba sahihi/ kuwa na control na utoaji wa shahawa, hapa namaanisha kuwa KILA UNAPOFANYA MAPENZI SIO LAZIMA UTOE SHAHAWA.

Learn how to control it for the benefit of your health.

yani nifanye mapenzi afu nisipizi? bora nisifanye
 
raha inapatikana pale boo unapokuwa unamfeel kama hakupendi utaishia kumchubua tu manzi wa watu
 
Tumekaa muda mrefuuu ... sitoweza kuwaachaaa ...

Tumekaa muda mrefu ... mimi na nyinyi kama mapacha ....

Tumekaa muda mrefuuu ... sitoweza kuwaachaaa ...
 
Dah! mwanamke mwenye hisia za tendo anapata raha zaidi tangu mwanzo wakati wa kumaliza ndo usiseme,kwangu mie wakati namaliza nahisi mfadhaiko ndo raha yenyewe.
 
Tumekaa muda mrefuuu ... sitoweza kuwaachaaa ...

Tumekaa muda mrefu ... mimi na nyinyi kama mapacha ....

Tumekaa muda mrefuuu ... sitoweza kuwaachaaa ...

uko oke?? au hujapizi. hahaha
 
Ndiyo ukifanya ngono daily unaishiwa nguvu, ila nguvu zipi sasa, utapoteza nguvu maana mwili utahitaji muda upumzike kujipanga upya na kuproduce sperm tena maana utakua umefululiza umezidi rate ambayo sperm inakua produced..
hiyo ya pili ya kucheza mpira haina relation na kupiga bao, sasa kama kupiga bao ni sawa na kukimbia hizo 7km bac kwa nini mtu akicheza asiongeze kiwango maana anafanya tizi za kukimbia 7km daily, kwa nini ndio kiwango kishuke?

Na ukifanya ngono sana unaweza poteza memory ila hilo ni temporary masaa mawili matatu memory inakua imerudi, hiyo sababu japo haijulikani sana wapo wanaohisi ni ubongo mtu anafikiria sana tendo lenyewe kiac cha hhicho kitu kimoja kutawala akili yake hasa wakati wa ngono mtu kichwani anafikiria raha yake tu, ikiwa too much ndo hvo tena.. sema kusema ati mtu anasahau vitu na inatoka moja kwa moja ni uongo pia.

Suala la memory na bao jaribu kufuatilia content za bao na brain uone.

Pia nmeeleza, bao moja unatoa sperm 250Mil. je ni kiwanda gani kinaweza kufanya kazi hii mara kwa mara na hasa wengi wetu tunapendelea kupiga bao tatu na kuendelea kwa tendo moja?
Kwa hali hii unadhani mwili hauathiriki?
 
jiulize,kati ya mkunwa na mkunajin yupi anahisi utamu?then utapata jibu apo.
 
Back
Top Bottom