smartfocus
Member
- Oct 4, 2015
- 62
- 50
Just simple km hujavutika na huyo dada ungefanya hivi;
Kwa kujua wife wako hana interest tena na huyo dada ilibidi mumjulishe yule dada kuwa gari mbovu so ajitafutie usafiiri mpm hapo mtakapomjulisha.then wewe utachonga na dereva wa staff bus angekuja kukuchukua kisirisiri.after sometimes huyu dada angezoea kujitaftia usafri mbadala na wewe ungerudia kutumia gari yenu.
Namna hii ingekua ya busara na haikuharibii kwa mkeo wala kwa dada wa jirani.mana pia dada wa jiran akigundua ni mkeo hataki atajenga chuki.sa nyingine chuki hiyo ni hatari kwa familia yako kwani kuna siku utasafiri na mkeo akahitaji msaada wa jiran.kama kuna chuki utakosa msaada.jua wanawake wengine wambea sana anaeza sambaza mtani ukashtukia wife wako hapendwi kabisa na jamiii pale unapoishi.so jiongeze kaka.check n balance.
Pili, ni kweli siyo fair sana kwa wewe kuendelea kutoa lift.mimi binafsi nikimpa mdada lift mara nyingi naanza kukosa amani mana mimi nimeoa tayari.pamoja na kwamba ni msaada ila bado linda Ushuhuda bwana.
Tatu, wewe umesema mkeo ni rafiki sana na huyo dada .dt min anaeza fahamu mazuri na mabaya yake ambayo sio lazma mkeo akuambia.so jst b wise bro.
Mwisho naona wewe mwenyewe una haribu mana unaita gari ya wife.kwenye ndoa mkishaanza tu hizo hii yangu hii yako ni shiiiida.bora hata hii yangu kwa baba ila kwa mwanamama lol mara nyingi ni matatizo.napendekeza muwe na kitu cha familia sio ya mtu binafsi.hayo machache tu kaka.