Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

Wadau,

Sina haja ya kuunganisha wanawake wote katika suala ninalopitia. Kwa ujumla ninaishi vizuri kabisa na mke wangu mpendwa ambaye tumeoana mwaka 2014. Tulibahatika kujenga na kuhamia nyumbani kwetu mwaka jana.

Kwa bahati nzuri ambayo sasa imekuwa mbaya tulijenga urafiki na familia ya jirani na kwetu, mke wangu na dada wa nyumba ya jirani wakawa marafiki wakubwa.

Hali hii ilipelekea hata kuwa tunatoka wote asubuhi kwa gari ya mke wangu na kurudi pamoja pia muda wa jioni kwa kuwa wote tunafanya kazi katika maeneo jirani. Sasa mke wangu mpenzi amejifungua na sasa yupo ''maternity leave''.

Jumatatu ikabidi nitoke mwenyewe na dada wa jirani ambaye huwa tunampa lift asubuhi na jioni.

Sasa niliporudi usiku huo wa jumatatu wife akaniambia hataki nimpe lift tena dada wa jirani, nikauliza kwa nini?

Akajibu hataki tu; niliwaza usiku ule na kuamua kuendelea kumpa lift huyu dada kwa kuwa wazo la kumpa lift lilikuwa la wife mwenyewe na kwangu ni ngumu sana kumpita huyu dada ambaye ameshazoea kuwa anapanda gari hii ukizingatia kuwa ni wife mwenyewe aliyemkaribisha.

Nilipoamka jumanne nikamkuta huyu dada ananisubiri nje, nikampa lift kama kawaida na jioni pia nikarudi naye nyumbani pamoja.

Sasa mke wangu baada ya kuona hivyo, usiku wa jumanne akaniambia nikubali moja, kuendesha gari yake bila kumpa lift dada wa jirani au niende kazini kwa gari ya staff?!

Hii kauli ya kutamka kuwa gari ni yake ilinipa mawazo sana kwa kuwa mke wangu huyu mpendwa hajawahi kuwa mtu anayeonyesha ubinafsi, tumekuwa na ndoa nzuri yenye amani na upendo wa hali juu.

Ndipo nikauliza ana tatizo gani na huyu dada? bado alinijibu kuwa hataki tu.Nikampigia simu dereva wa staff bus kuwa anipitie asubuhi, na kuwakuwa basi huwa halijai kwa kuwa staff tunaoishi huko ni wachache na huyu dada alikuwa nje muda basi lilipofika kunichukua naye pia akapanda kwenye staff bus.

Niliporudi home wife amenuna na hataki kuongea, nashindwa kuelewa tatizo lake kwa huyu dada ni nini hasa?Kiukweli naishi maisha yenye kuheshimu ndoa na kumpenda mke wangu kwa kiwango cha juu kabisa.

Waungwana, kama hivi ndivyo wanawake wanavyoweza kuwa na maamuzi yasio na chembe ya aibu napata shida sana kumuelewa mke wangu.

acha kuchepuka
 
Wivu unamsumbua mkeo. Lakini uhenda hakuamini pia.
 
Mkuu poleeee but may b anatatizo la temporary insanity kutokana na kujifungua au hakuamin lakin mkuu mbona wazaraulika na hako ka uchawi ka mjapani bhana
 
Yaan huyo mpewa lift nae ana yake kama mwanzon alikuwa anapanda lift sababu ya urafiki wa mkeo na sasa yuko maternity kinachomsubirisha asubuh mpka utoke kitu gan kama sio kutaka kuchepuka nawewe
kiubinadam alitakiwa ajiongeze apande zake daladala mpka maternity ya shoga yamalizike, tena na ivyo unamuita mdada ina mana hajaolewa
KWELI MANFONGO ALIIMBA
 
Ongea ukweli unataka unambie Hugo mdada huhawahi tamani hata matiti take au lips zake au kalio kama umewahi unajua nn wife anamaanisha hawa viumbe sometime wapo sahihi
 
hizo lifti lifti mwisho yanakua mngine.ameshakwambia htaki umpe lifti si uache tu mpaka akimaliza maternity leave yke thn akianza kwnda kazini mtakua mnampitia.. na kwnn ulazimishe kumpa lifti hyo bnti? ni nduguyo?
 
Ndo vizuri sasa haoni kama wife anakupenda sana maana anajua ni ngumu sisi wanaume kukwepa majaribu kama hayo cha msingi u one namna gani hautawagombanisha na huyo mdada kama vipi kubali gari la staff
Mimi binafsi naona wife yuko sahihi sana na wala Hakuna matata wewe tu hapo jiongeze ni vipi utafanya wife aridhike na hasa kipindi HICHI ambacho sisi sote tunakupa hongera kwa kupata mtoto
Hongera sana
wanaume wnye busara ndo kama ww. bora nusu shari kuliko shari kamili. mke akiachia apewe lifti bi shoga mwsho wa siku anachukuliwa mume lawama zinakua kwake aliruhusu shoga ake apewe lifti na mumewe.
 
unataka kukosana na mkeo kisa dem wa jirani?? shame on you chief,
haitaji kukupa sababu kwa sababu si lazima huyo dada kutumia asset zenu ikiwemo gari
Ni kweli kabisa. Na kwa nini umuonee aibu kumwambia?? Mueleze kuwa ni vizuri asubiri shoga yake amalize maternity leave ili muende wote. Akiwa mwenye busara ataelewa.
 
Maana sii wewe ulimkaribisha na hujamuoa yeye na umeoa mkeo yaanini mpite tuu kwani atakusaidia nini ?
Ukimpita siku mbili atajua hutaki mazoea akifanikiwa kukuliza kwanini mwAmbie mke wangu hayupo na mimi nasina agenda na wewe aliyekukubali hayupo akiwepo atakupa lift ila kwa sasa ni vema tu utafute uamuzi nisamehee sana sina choice endelea na maisha kwani kabla ya yote alikuwa anaendaje kazini?
Acha kukosana na mkeo atafute ustaarabu wake bhana kwani akikaribishwa kupanda gari la mtu siku moja ndio kila siku anahamia kachangia kulinunua eti unakubali mpaka muuingie naye gari la staff unang'ang'ania kumpendezesha ya nini? Acha hizo bhana
 
Wadau,

Sina haja ya kuunganisha wanawake wote katika suala ninalopitia. Kwa ujumla ninaishi vizuri kabisa na mke wangu mpendwa ambaye tumeoana mwaka 2014. Tulibahatika kujenga na kuhamia nyumbani kwetu mwaka jana.

Kwa bahati nzuri ambayo sasa imekuwa mbaya tulijenga urafiki na familia ya jirani na kwetu, mke wangu na dada wa nyumba ya jirani wakawa marafiki wakubwa.

Hali hii ilipelekea hata kuwa tunatoka wote asubuhi kwa gari ya mke wangu na kurudi pamoja pia muda wa jioni kwa kuwa wote tunafanya kazi katika maeneo jirani. Sasa mke wangu mpenzi amejifungua na sasa yupo ''maternity leave''.

Jumatatu ikabidi nitoke mwenyewe na dada wa jirani ambaye huwa tunampa lift asubuhi na jioni.

Sasa niliporudi usiku huo wa jumatatu wife akaniambia hataki nimpe lift tena dada wa jirani, nikauliza kwa nini?

Akajibu hataki tu; niliwaza usiku ule na kuamua kuendelea kumpa lift huyu dada kwa kuwa wazo la kumpa lift lilikuwa la wife mwenyewe na kwangu ni ngumu sana kumpita huyu dada ambaye ameshazoea kuwa anapanda gari hii ukizingatia kuwa ni wife mwenyewe aliyemkaribisha.

Nilipoamka jumanne nikamkuta huyu dada ananisubiri nje, nikampa lift kama kawaida na jioni pia nikarudi naye nyumbani pamoja.

Sasa mke wangu baada ya kuona hivyo, usiku wa jumanne akaniambia nikubali moja, kuendesha gari yake bila kumpa lift dada wa jirani au niende kazini kwa gari ya staff?!

Hii kauli ya kutamka kuwa gari ni yake ilinipa mawazo sana kwa kuwa mke wangu huyu mpendwa hajawahi kuwa mtu anayeonyesha ubinafsi, tumekuwa na ndoa nzuri yenye amani na upendo wa hali juu.

Ndipo nikauliza ana tatizo gani na huyu dada? bado alinijibu kuwa hataki tu.Nikampigia simu dereva wa staff bus kuwa anipitie asubuhi, na kuwakuwa basi huwa halijai kwa kuwa staff tunaoishi huko ni wachache na huyu dada alikuwa nje muda basi lilipofika kunichukua naye pia akapanda kwenye staff bus.

Niliporudi home wife amenuna na hataki kuongea, nashindwa kuelewa tatizo lake kwa huyu dada ni nini hasa?Kiukweli naishi maisha yenye kuheshimu ndoa na kumpenda mke wangu kwa kiwango cha juu kabisa.

Waungwana, kama hivi ndivyo wanawake wanavyoweza kuwa na maamuzi yasio na chembe ya aibu napata shida sana kumuelewa mke wangu.
Mambo mawili yafanye
1. Tumia gari ya staff
2. Kama hapendi mwambie amweleze huyo bint kuwa kwa kipingi hiki anafute means nyingine ya usafiri, kama hawezi kumweleza mwambie utamweleza ww ikiwa mkeo ndo kakutuma ili hilo jumba bovu likiepuke maana maskini w Mungu huyo bint wa watu hata hajui kinachoendelea, na akijua tuu atajiweka pembeni
 
Maana sii wewe ulimkaribisha na hujamuoa yeye na umeoa mkeo yaanini mpite tuu kwani atakusaidia nini ?
Ukimpita siku mbili atajua hutaki mazoea akifanikiwa kukuliza kwanini mwAmbie mke wangu hayupo na mimi nasina agenda na wewe aliyekukubali hayupo akiwepo atakupa lift ila kwa sasa ni vema tu utafute uamuzi nisamehee sana sina choice endelea na maisha kwani kabla ya yote alikuwa anaendaje kazini?
Acha kukosana na mkeo atafute ustaarabu wake bhana kwani akikaribishwa kupanda gari la mtu siku moja ndio kila siku anahamia kachangia kulinunua eti unakubali mpaka muuingie naye gari la staff unang'ang'ania kumpendezesha ya nini? Acha hizo bhana
Duu ww ww kama unaweza kuyafanya haya uliyoandika basi inaonekana ni una roho ya kikatili sana lol[emoji15] [emoji15]
 
Dada nae hana hata soni,yani yy ana amka anawaza lifti tu,we ht ningekuwa mimi ningekasirika,ukizingatia ndo nipo likizo ya uzazi,
 
Back
Top Bottom