Katika hili, namwamini Shetani

Katika hili, namwamini Shetani

Kwanini Mungu aumbe mti wa utambuzi wa mema na mabaya na mti wa uzima na kuiweka bustanini,lengo lake lilikuwa ni nini? Kwani miti mingine haikuwa na matunda yakutosha kwa chakula hadi akaumba hiyo miti miwili?,si asingeiumba tu kama alijua italeta janga kati yake na wanadamu,akaacha Adam na Hawa waishi kwa kula matunda ya miti mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa huruma na neema yake kwa kunifanya mpaka dakika hii naendelea kupumua na kuwa mzima wa afya. Pia kwa mamlaka aliyotupa viumbe wake ya kutawala samaki wa Baharini na ndege wa angani , wanyama na kwa kutuumba kwa mfano wake. MWANZO1:26. Hakika huu ni upendo wa ajabu sana , sifa na utukufu viende kwake.

Mungu huwa hadanganyi kama tunavyojua, lakini kwa nini alimdanganya adam na hawa kuhusu mti wa Tunda la kati kati? , aliwaambia adam na hawa kuwa wakila matunda wa mti wa katikati hakika watakufa. Mwanzo 3:3 " lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema msiyale, msije mkafa.

Kabla ya hapo tukumbuke nyoka alimwambia mwanamke kuwa hatakufa akila mti wa tunda hilo bali watafunguliwa macho yao Na watakua kama Mungu watajua mema na Mabaya .
Mwanzo 3:4 "Nyoka akamwambia mwanadamu hakika hamtakufa. 5. Kwa maana Mungu anajua kwamba, siku mtakapokula matunda ya mti huo, mtafunguliwa macho , nanyi mtakua kama Mungu mtajua mema na mabaya.

Na ni kweli walipokula lile tunda hawakufa kama Mungu alivyosema, kwa hiyo tunaona Mungu alidanganya na shetani aliwaambia kweli kwani walipokula tu hilo tunda wakajua mema na mabaya.kama shetani alivyowaambia.

Mwanzo 3:7 wakafunguliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wako uchi.

Mwanzo 3:22 " Bwana Mungu akasema , basi huyu mtu amekua Kama mmoja wetu , kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije kunyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima akala akaishi milele.

Kama Mungu alituumba kwa mfano wake, kwa nini alikua hataki tujue mwema na mabaya? , na kwa nini alikua hataki tutwae mti wa uzima tuishi milele? , alitudanganya alipotuabia katuumba kwa mfano wake? , hapa hatuoni kuwa shetani ni mwema na ananitutakia mema Kwani baada tu ya kula lile tunda akina hawa wakapata fahamu na kujua mema na mabaya kama shetani alivyowaambia?

Kwa nini wanadamu tumekua tishio kwake baada ya kula mti wa ufahamu na kuamua kutupa laana ya kifo?

Mwanzo 6:3 " bwana akasema, roho yangu haitakaa kushindana na mwanadamu milele, Kwa kuwa yeye ni nyama, basi siku zake zitakua miaka Mia na ishirini"

Mmeona Mungu alivyotugeuka? Hataki tufanane nae Tena kama alivyosema, na kaamua kutupa ukomo wa miaka ya kuishi duniani

Hakika wewe ni Mungu , hakuna wa kushindana na wewe .

Sent from my iPhone using JamiiForums
NGOJA NIKARIBISHE WANAWAKE MAANA PALE EDEN ALIEWEZA KUONANA N KUONGEA NAE MAMBO MENGI KWA WAKATI ULE ALIKUW HAWA, NA SIJUI WALIONGE NIN NJE YA KULA TUNDA LILE, MAYBE TUTAANZA KUPATA UFUNUO WA MENGINE TUSIYOYAJUA KATI YA HAWA NA SHETANI.
 
Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa huruma na neema yake kwa kunifanya mpaka dakika hii naendelea kupumua na kuwa mzima wa afya. Pia kwa mamlaka aliyotupa viumbe wake ya kutawala samaki wa Baharini na ndege wa angani , wanyama na kwa kutuumba kwa mfano wake. MWANZO1:26. Hakika huu ni upendo wa ajabu sana , sifa na utukufu viende kwake.

Mungu huwa hadanganyi kama tunavyojua, lakini kwa nini alimdanganya adam na hawa kuhusu mti wa Tunda la kati kati? , aliwaambia adam na hawa kuwa wakila matunda wa mti wa katikati hakika watakufa. Mwanzo 3:3 " lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema msiyale, msije mkafa.

Kabla ya hapo tukumbuke nyoka alimwambia mwanamke kuwa hatakufa akila mti wa tunda hilo bali watafunguliwa macho yao Na watakua kama Mungu watajua mema na Mabaya .
Mwanzo 3:4 "Nyoka akamwambia mwanadamu hakika hamtakufa. 5. Kwa maana Mungu anajua kwamba, siku mtakapokula matunda ya mti huo, mtafunguliwa macho , nanyi mtakua kama Mungu mtajua mema na mabaya.

Na ni kweli walipokula lile tunda hawakufa kama Mungu alivyosema, kwa hiyo tunaona Mungu alidanganya na shetani aliwaambia kweli kwani walipokula tu hilo tunda wakajua mema na mabaya.kama shetani alivyowaambia.

Mwanzo 3:7 wakafunguliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wako uchi.

Mwanzo 3:22 " Bwana Mungu akasema , basi huyu mtu amekua Kama mmoja wetu , kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije kunyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima akala akaishi milele.

Kama Mungu alituumba kwa mfano wake, kwa nini alikua hataki tujue mwema na mabaya? , na kwa nini alikua hataki tutwae mti wa uzima tuishi milele? , alitudanganya alipotuabia katuumba kwa mfano wake? , hapa hatuoni kuwa shetani ni mwema na ananitutakia mema Kwani baada tu ya kula lile tunda akina hawa wakapata fahamu na kujua mema na mabaya kama shetani alivyowaambia?

Kwa nini wanadamu tumekua tishio kwake baada ya kula mti wa ufahamu na kuamua kutupa laana ya kifo?

Mwanzo 6:3 " bwana akasema, roho yangu haitakaa kushindana na mwanadamu milele, Kwa kuwa yeye ni nyama, basi siku zake zitakua miaka Mia na ishirini"

Mmeona Mungu alivyotugeuka? Hataki tufanane nae Tena kama alivyosema, na kaamua kutupa ukomo wa miaka ya kuishi duniani

Hakika wewe ni Mungu , hakuna wa kushindana na wewe .

Sent from my iPhone using JamiiForums
Adam na Eva hawakufa?
Wako wapi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua Shetani Bado Muongo na anawafuasi wengi kwenye uongo wake zaidi ya Bil 6.
Ameaminisha watu kuwa wanadamu ni Immortal (hawafi) ila wanabadilika tu form.
Ndio Maana watu wanafundishana ROHO/NAFSI HAIFI.
Mungu aliweka wazi '' mwanadamu ni Udongo hakika mavumibi (Sio kwingineko, naa kama kuna kingine kinabaki hicho sio mwanadamu na hakipaswi kujadiliwa) UTARUDI.

Ukisikia mtu anakuambia kuna kitu chenye uwezo wa kibinadamu huwa kinaenda mahala mtu afapo huyo ni Muongo au Product ya Uongo wa shetani (Hamtakufa).
Huyo au kikundi hicho Kinamuamini Shetani kuliko Mungu. '' Kila roho itendayo dhambi ITAKUFA).

Haihitaji ujue kigiriki au kiebrania kung'amua hilo.
Hayo uyasemayo unayajua, umeambiwa au umesoma? Unless Kuwa unajua for sure la sivyo huna rights ya kuwashuhudia uwongo wayaminiayo na wayaishio wengine.
 
Mkuu warumi, pengine Mungu alizungumzia matokeo ya utambuzi, yamkini mkila tunda mtajua mema na mabaya ambayo yatapelekea maangamizi (kifo).
Mi sina shida na Mungu ingawa kwa hili ali over react sana ukilinganisha na mazingira ya kosa lenyewe, Kwanza alimuumba mtu kwa mfano na sio kitu harisi hivyo alikuwa na uhakika gani hiki kitu cha mfano wake kingeweza kushindana na kuepuka ulaghai wa nyoka. Mtu (bila msaada wa Mungu) alikuwa hana uwezo wa kushindana na Malaika (Shetani) (ukilinganisha nguvu na uumbwaji wao) kwa mantiki hii hata kama Eva angekataa ulaghai wa shetani, shetani alikuwa na nguvu ya kumkamata na kumlisha, kisha akamfata Adam nae akamlisha. Vile vile, Binadam hakuwa mkamilifu hivyo Mungu alikuwa na option yakuumba kitu kikamilifu ina maana Mungu angemuumba Mungu akamueka Eden au angesamee kosa kwa kuwa kitu alichokiumba kilikuwa kina possibility kubwa kufanya makosa (sio kikamilifu).
Lakini mbaya zaidi ni pale Mungu alipoamua ku generalize adhabu kwa watu wote vizazi hadi vizazi. Au pengine hakujua law of causality.

Nimefikiria kwa uandishi tu.
Back soon
Huku ni kumfikiri mungu. Finity thinking of the infinity how is that possible?
 
Utii??kwanini unatii?kitu alichosema shetani ni kwamba ukila tunda la mti wa kati utafahamu mema na mabaya hapo utaweza kutii ukiwa na reasons,see??!shetani alicho ki implement kwa binadamu ni ile reasoning capability.turudi kwenye mfano wa sukari na mtoto,umesema huenda baba alimkataza mtoto kwasababu labda mtoto ana kisukari,lakini jee baba alimwambia mtoto sababu ya kumkataza asiweke sukari?kwanini ali jump kwenye adhabu tuu kwamba nitakuchapa?kwanini mungu alificha kwamba ukila tunda la mti wa kati utajua mema na mabaya?je mungu hajui mema na mabaya?kama anajua mema na mabaya kwanini alimuumba mtu asiyejua mema na mabaya na alafu aseme ni mfano wao?mimi ninaamini kila mtu ana akili yake na maamuzi yanatofautiana kati ya mtu na mtu,si ajabu wewe kwa utii wako uliouonyesha hapa usingekula lile tunda,sasa mbona unazaa kwa uchungu,unatafuta kwa jasho na hakika utakufa.yanakuhusu nini hayo ewe mtiifu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok ni hiviiiiii Mungu sio shetani.Mungu hufunua jambo Kama anaona litaponya lakini Kama halitaponya anaweza asiamue kufunua kulingana Na anavyokuona wewe ukoje.Kwa mfano unaweza ukawa umeokoka Tena vizuri tu Na ukawa umepanga let's say apartment karibu Na mshirikina anaekuroga Na Mungu akakuepusha nae bila kukufunulia kuwa huyo mtu anahangaika kukuroga Ila aka hakikisha anakulinda Na Huyo mshirikina anaehangaika kukuroga hafanikiwi.Na ukawa Na mwingine umepanga nae jirani yako Mwenzio yeye Mungu akamfunulia kuwa huyo jirani yenu Ni mshirikina.Mungu hutuangalia kwanza Kama yafaaa wakat gani kutufunulia yote au kutufunulia baadhi ya mambo au wakati gani asitufunulie kabisa.Kweny huo mfano maybe Mungu ana kujua wwe mtumishi wake una hasira hutoweza ku control Na utatengeneza uadui unnecessarily Na huyo jirani yako hivyo Mungu anakuepushia Na huo mfarakano.so Mungu akaamua kukuepushia Hilo kwa kutokufunulia lakini akakulinda.Ila mwenzako sababu Mungu ameona anaweza ku handle Na kupambana naye kimya kimya Mungu akamfunulia yote.Lakini Kama utaenda Kwa mganga (mchawi) yeye atasema kila kitu haijalishi wewe ukitoka hapo utasababisha maafa Kwa huyo jirani yako anaekuroga au la.Sababu shetani huwa haangalii maafa Na actually ndo anayoyapenda.Ila Mungu hufunua Kwa lengo zuri Na ndo maana andiko linatuambia "unabii haukuwajia Ila Kwa kuponya.Sasa hii ndo ilitokea Eden.(Najibu swali lako sasa).Mungu alimwmbia Adam asile maana atakufa lakini hakusema kuwa ule mti akila atajua jema Na baya why ???Ni sababu alijua akiwaambia hivyo Kwa akili zao fupi Na tamaa zao wangetamani tu kulila Hilo tunda Kwa ajili ya kuupata huo ujuuzi wa jema Na baya bila kuwaza gharama ya huo ujuzi(hukumu).Na hivyo wangesukumwa kula Na mwishowe kufa.Lakini shetani aliamua kulifunua sababu yeye hufunua tu hata Kwa kuharibu Na alijua Kwa kuyasema hayo ambayo Mungu hakutaka kuyasema angewavutia Adam Na Eva kula kitu ambacho Mungu alijua ndo maana hakusema ndo mbeleni tukaona kuwa Kweli baada ya Eva kuambiwa Hilo la ujuzi basi tamaa ikamuingia akala tunda.Ili dhambi iwe dhambi.,lazima kuwa Na uwezo wa kutambua jema Na baya wewe mwenywe kitu ambacho awali Adam Na Eva hawa kuwa nacho.Yaani walikuwa Kama watoto wachanga hivyo Kwa kutokujua Kwao jema Na baya wangeishi bila kuwa Na hatia yoyote Mbele za Mungu maana walikuwa hawajui lolote Na Mungu alitaka waishi hivyo sababu ha kutaka kuwatia hatiani.(Tunajua hata mahakama ikutie hatiani lazima kuwepo na ujuzi wa mema Na mabaya kwa mtenda kosa ndo maana kichaa hahukumiwi au hata mtoto mchanga akiua hahukumiwi)Ndo maana aliwazuia wasile ili wasije kuingia hatiani endapo wakifanya kitu lakini Kwa kutokutii kwao wakala na wakajua jema Na baya Na ukijua baya ukatenda lazima utiwe hatiani na mtu yoyote akitiwa hatiani maana yake lazima aadhibiwe .Nao walipewa kifo Kama adhabu .So Kwa lugha ingine Mungu kuwazuia kula tunda la kujua jema Na baya alikuwa anawasaidia wao wenywe wasiingie katika hatia wakikosea akaona bora wabaki illiterates awaongoze kwa maagizo yake tu Kama mtoto anavyopewa Maagizo Na mzazi Ili wasiwe guilt(maana ukiwa guilt lazima uadhibiwe).Na alijua akiwaambia tu hilo la kujua jema Na baya baada ya kula tunda Kwa akili zao wangeona Ni jambo zuri (Kama Eva alivyoona Ni jambo zuri alivyodangnywa Na shetani)lakini mwisho wa siku kujua mema Na mabaya kuna gharama Yaani adhabu ambayo ndo hii Mungu alikuwa anajaribu kuwasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa Francis amesema,So what?
Hizo ni habari za uzushi (fake news) zilizomo kwenye biblia.. Kwa muijibu hata wa papa Francis:

Papa anakiri kuna "fake news" ndani ya Biblia.

Jamani si yangu haya, nimeyanyofoa BBC anaeweza atafsiri zaidi...

Pope says serpent temptation in Bible 'first fake
news'

_99726234_6c21260a-3cc2-4a16-8b59-d8decdcc1fbd.jpg

Pope Francis has denounced the "snake tactics" of those who spread fake news, saying the first case of misinformation is in the Bible when Eve is tempted by the serpent to eat the forbidden fruit.

The episode showed the "dire consequences" that fake news can have, the Pope warned in a document.

Francis also said it led only to the spread of arrogance and hatred.

He urged social media users and journalists to unmask manipulative tactics that foment division.

The document The Truth Will Set You Free - Fake News and Journalism for Peace was issued ahead of the Catholic Church's World Communications Day on 13 May, and it was the first time the Pope has written on the topic.

It comes amid a debate on ways to contain the spread of fake news on social media platforms and how it may have influenced recent elections, including in the US in 2016.

"Spreading fake news can serve to advance specific goals, influence political decisions, and serve economic interests," the Pope said.

Comparing it to the serpent's message of temptation in the Bible, he added: "We need to unmask what could be called the 'snake tactics' used by those who disguise themselves in order to strike at any time and place."

He called for "education for truth" that would teach people how to discern, evaluate and understand information.

Additionally, he said the role of journalists - whom he called "the protectors of news" - was "not just a job, it is a mission".

He said they should focus less on breaking news and more on "exploring the underlying causes of conflicts"

Source: Pope likens fake news to Bible's serpent

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Ulitegemea aseme nini cha tofauti.
Usianzishe vita ya mawe ukiwa katika nyumba ya vioo.Hapa JF kuna watu wenye kufikirisha bongo zao sawasawa jiupeshe kuleta habari nusunusu na vi-stori vya udaku tu kutoka mitaani.

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Mimi kwanza hata siamini kama shetani yupo kweli...kuna siku nimeingia room na demu, binti akanichomolea, sasa kama shetani yupo kazi yake nini?

[Kidding, lol]
 
Mkuu jibu maswali yangu niliyokuuliza,kuna vitu naona unajichanganya mwenyewe,Mungu aliposema yeye ni Mungu mwenye wivu ni kweli imeandikwa hivyo,wewe unatoa wapi maelezo kwamba kama ni mwenye wivu maana yake anaonea wivu miungu wengine wenye nguvu kuliko yeye?Wewe ni wapi kwenye biblia imeandikwa hao miungu wengine wana nguvu kuliko yeye?Hapo ndipo unakua unakosea .
Unaelewa maana ya Mungu Mwenyezi?Almighty God?Kasome biblia vizuri kisha jitahidi kuelewa majina aliyokuwa anayatumia Mungu yana maana gani.Kumbuka maswali yangu kwako yajibu mkuu.Mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu hii haimanishi mwanadamu analingana kila kitu na Mungu,kasome biblia yako kwanini anasema njia zake si kama njia za wanadamu na akili ya juu ya mwanadamu haifikii hata upumbavu wa Mungu ingawa Mungu si mpumbavu hapa anajaribu kuelezea kuna knowledge gap kubwa sana kati ya Mungu na wanadamu.Sasa wewe naona unasoma biblia kweli ila kuna kitu kimezuiwa kwako na ndiyo maanda nikauuliza wewe ni devoted christian au unasoma biblia kwa sababu zako fulanifulani?

Mpango wa Mungu ni tuishi milele na kwa taarifa yako unaposema kifo kuna vifo vya aina mbili kuna kifo cha mwili kwa maana ya mwili kutengana na nafsi na mwili hiki tulichokizoea na kuna kifo cha nafsi na Roho ambayo ni kutupwa katika ziwa la moto.
Ndiyo maana Mungu akasema msimwogope awezaye kuangamiza mwilil tu bali mwogopeni awezaye kuangamiza mwili pamoja na Roho,Mungu pekee anaweza akaangamiza mwili na Roho wengine ni mwili tu.
Mkuu piamkumbuka Mungu wa kwenye biblia ni Mungu wa miungu,hapa sijui kama unaelewa,ni kweli anatambua uwepo wa miungu wengine lakini hawana uwezo kama yeye na wala hao miungu wengine hawakuumba bali yeye ndiye aliyetuumba.Sasa anakuwa na wivu akiona mwanadamu anaabudu miungu wengine na kumwacha yeye.
Kama unataka kuishi milele mbona solution yake ipo ni kumpokea Yesu kufanyika kuwa Bwana na mwokozi wako,ishi maisha matakatifu kama ambavyo biblia inatufundisha utaulithi uzima wa milele.

Unajua sikuelewi kama kweli unasoma biblia kwa nia ya kujifunza au kuikosoa injili,Yesu alipokutana na mwanamke msamaria alimwambia yeye ni maji ya uzima.Kifo cha kwanza kinatokana na dhambi ya Adam na Hawa,lakini Mungu aliamua kumtoa mwanaye wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.Haya maandiko hujawahi kukutana nayo au ni ubishi tu mkuu?
Mimi nikushauri endelea kusoma biblia,ukitaka maelezo just pm me nitakusaidia kuliko kuja hapa ,kuandika vitu ambavyo vitawapotosha wengine wasiosoma maandiko na mwishoni uwe na cha kujibu mbele ya Jehova.Sikuzuii kuandika ila nakutahadhalisha kuna adhabu kubwa kwa walimu,unapokuwa unawafundisha watu make sure una uhakika na unachoandika.
Mambo haya tunayoyaandika na kuyaongea yatatumika juu yetu kama ushahidi mbele za Mungu hata kama unatumia jina ambalo si lako lakini Mungu ananijua mimi ni nani na wewe ni nani na nitatoa hesabu ya yote ninayoyafanya kwenye mitandao.

Waswahili wanasema ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze,tumeona matendo makuu ya Bwana,tumeona mapepo yakiomba yapelekwe kwa miungu wengine huko hakuna moto ila huku kwetu tukiliita jina la Yesu moto unawaka.Sasa huwezi kuwa nje kisha ukadai unayajua sana ya ndani,ingia full na si mguu nje mguu ndani,you will never know the full picture.
Mkuu nilitumia muda sana kufuatilia haya mambo njoo pm ukitaka kujua zaidi nitakuambia na vitu uvifuatilie mwenyewe katika dunia hii ndiyo utajua Jehova ni Mungu mwenye uweza na nguvu wala hakuna mwingine kama yeye.
Shida ya siku hizi za mwisho watu wanataka watumie akili zao kureason mambo ya Mungu ,huwezi kuujua ukweli utapotea.
Kasome kumbukumbu la torati29:29.Kuna mambo Mungu ameyafunua kwetu na mengine hajayafunua kwetu,kuwa makini hapo shetani hata leo ameendelea kuwakamata watu kwa kuwaletea elimu mpya,nao wanaona ni uhuru waomkujifunza hayo mambo bila kujali chanzo chake ni nini Mungu au shetani.
Hapo mkuu umeandika kweli hata sisi tulio kuwa wagumu kuelewa naona somo limeingia shukrani!
Kupata ufahamu wa kujua mema na mabaya hiyo haiwezi kufanya uwe sawa na Mungu hapo inadhibitisha hata shetani mwenyewe alikua mwongo kwa kuwaambia wakila wangekua sawa na Mungu.

Hakika acheni Mungu aitwe Mungu.Tunakifanyia kufuru ya level hii Kitu Chenye nguvu za kutuzima Kama kibatari katikati ya upepo wa bahari lakini bado uko hai unavuta pumzi yake.Kweli Mungu anatupenda saaaana,ingekuwa ndo Mimi Nina nguvu hizo wewe nakuhakikishia sahivi ungekuwa ulishalala mautini.Hivi ukijiuliza kusema akisema apige akuue atakuwa Na hasara gani hakuna!!!lakini bado anakuach yamkini unamkashifu yeye Mungu ambaye akisema akikuwekea mkono tu unanyauka unaacha kumchafua huku unapotea kweny ramani.Unamsifia adui yake Na bado anakuachia Na pumzi yake kesho tena uamke asubuhi afu unaamka unakuja kumdhalilisha tena .Aisee acheni Mungu aitwe Mungu maana Nami Nina ya kwangu Ila ananivumilia.Hakika hakuna aliye Kama wewe Mungu wa Israel.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mtu Ana uhuru wa kuabudu anachojisikia kuabudu, na ndio maana kuna wanaoabudu sanamu , Ng'ombe, Nyoka na Miti

Acha kuwa na mawazo Mgando ndugu na nidhamu ya uoga, kwa hiyo unamuabudu Mungu kwa kuwa unaogopa kufa au ? , ebu jisikilize Tena , come out of your shell , be free , emancipate yourself from mental slavely

It's me

ISHMAEL
 
Back
Top Bottom